Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari za majukumu ndg zangu,poleni na majukumu pia,naomben mnisaidie hapa ,kuna ndg yangu amechaguliwa chuo cha ualim kasulu,tatzo likaja kwenye kujaza taarifa tukakosea jina LA shule ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu hivi karibuni niliamua kupada zile daldala zinazopita ktkt ya chuo kikuu udsm. Nikiwa siti ya mbele nilikuwa nawafanyia usahili vijana ninaowaona wakirandaranda maeneo ya chuo. Wengi...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Morning fam ! Naomba kuuliza kuna western union Inayofunguliwa Jpili hapa Dar ?
0 Reactions
2 Replies
820 Views
Mwanangu amemaliza kidato Cha sita kwa HGL. Akasome chuo gani ambacho ana uhakika wa kuajiriwa? Maisha magumu kwetu balaaa. Naomba kuwasilisha
0 Reactions
3 Replies
889 Views
Heshima mbele wadau, Najua hapa jamvini kuna manguli wa kila ainaHivyo basi napenda kuomba msaada wako/wenu kujaziwa hiyo questionnaire kwenye link hapo chini. Hii ni kwa maajili ya masomo ya...
1 Reactions
2 Replies
775 Views
Hbr wana jf,naomba kujua ofisi za TCU ni wapi nimesekia wameshahama hapo mliman city
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Samahani wakubwa nilikuwa naomba kufahamishwa je na matokeo Yangu haya ya form four nikienda chuo nitaanza kusoma Kwa ngaz ya cheti au diploma Engl-C Hist-C Kiswahil-D Geography-D Biology-D...
0 Reactions
2 Replies
391 Views
Wakuu shikamooni ! Njia gani rahisi salama na ya uhakika naweza kupokea pesa kutoka nje ?
0 Reactions
3 Replies
791 Views
Naomba kujua orodha ya vyuo vikuu vinavyotoa shahada za masuala ya gesi an petrol kwa Tanzania na pia kama kuna waliowahi somea fani hiyo kwa hapa tanzania. Asante.
0 Reactions
58 Replies
11K Views
Habar wadau: Mdogo wangu alipata Scholarship ya Masters katika chuo cha "NYU WAGNER" Wakataka Recommendations tukafanya kila kitu, baadae Familia tukastuka hivyo tukaona its better to Confirm...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama wewe ni mwanafunzi au una ndugu au jamaa anahitaji kufanya maombi ya mkopo karibu sana napatikana MKOLANI JIJINI MWANZA... Nafanya kwa wakazi wa Mwanza na nje ya Mwanza (mikoa yote Tanzania...
0 Reactions
2 Replies
986 Views
Kwenye self registration ya loan board kwenye applicant category imeweka post graduate nikitaka kubadili haitaki nataka niweke undergraduate
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Kutokana na janga la vijana wengi kumaliza vyuo na kukaa nyumbani bila ya ajira wala uwezo wa kujiajiri, tatizo kila mdau anasema tatizo ni mfumo wetu wa elimu. Mimi pia nakubaliana nao. Sasa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za saizi? Leo ningependa kila mmoja ataje topic yoyote na ya somo lolote Ambayo ulisoma kwanzia darasa la 3 mpaka form 6 Na mpaka leo haujajua ni lini utaitumia katika maisha na...
2 Reactions
119 Replies
10K Views
Je?? Ni nzuri au magumashi
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Chato international Airport ivi Dodoma wanayaona haya madude
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nipo katika mchakato wa kuomba mkopo elimu ya juu..system haitambui jina la shule (ya o level) inaniambia shule hiyo haipo..msaada wadau
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Igweeeeeeeeeeeeeee, Wakuuu Kuna hizi scholarship za watumishi wa umma mofcom maombi yake yanayopitia utumishi zilizokuwa zimefunguliwa mwezi MAY Je scholarship hizi zina usaili (interview) ...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
systeam inaniambia shule yangu ya o level haipo...msaada tafadhar
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom