Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
msaada tafazal mwenye kufaham shule ya eagle high school naomb anijuze ada yao ni bei gan. na je wanapokea private candidate? kwa {FORM FIVE}
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu Habari za Usiku. Natamabi kusoma Masters open University. Nimetembelea website yao na nimepata some information. Naomba kujua njia ya kusoma na pamoja kama kuna mtu ana experience anipe Real...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina diploma ya education! nataka kuomba chuo so naipateje hii kitu inaitwa AVN. na kwa gharama gani?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natumain ni wazima wa Afya, Dhumuni la Uzi huu ni kuwashauri walio soma PCM advance na wakafaulu vizuri,Basi wasiyumbishwe au kukariri kozi kama civil,computer,Telecomunication, nazingine...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jf ,ningeomba kujua kama mtu uli disco chuo na ulikuwa na mkopo ,una kaa muda gan kuomba tena mkopo na chuo? Na je taratibu za mkopo zinakuwaje na chuo unaomba tena? .ahsanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hapo awali vigezo vya kujiunga na uuguzi ngazi ya cheti lilikuwa linafanana na kozi nyingine za afya kama maabara,Utabibu,ufamasia,Miozi,n.k ni vigezo ilikuwa ni ufaulu wa alama D katika masomo ya...
1 Reactions
60 Replies
96K Views
TUJIFUNZE KISWAHILI: 1. Charger - kimemeshi 2. Remote - kitenzambali 3. Password - nywila 4. Akala (bladder shoes) - kirikiri 5. Passion fruit - karakara 6. Kangaroo - bukunyika 7. Fridge - jokofu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
pakueni hapa muangalie vyuo na kozi zake ikiwa ni pamoja na kujua cut off point muhimu.
3 Reactions
3 Replies
4K Views
nina mdogo wangu kamaliza form six pgm kapata division ya 8 anapenda kusomea urubani kwa apa bongo kozi za ulubani zipoje na bei zake kwa anaejua plizz matokeo physic B math B geo D
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nina physics E chemistry E na biology C, naomba msaada ni course ipi naweza soma upande wa afya katika ngazi ya degree. Tafadhali naitaji msaada wa mawazo.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari zenyu! Wiki kadhaa zilizopita, tulimsikia mbunge mmoja bungeni akizungumzia mstakabali wa elimu yetu Tanzania, Sote tunafahamu kuwa Elimu yetu inatumia miaka mingi mpaka kupata ajira ama...
1 Reactions
1 Replies
985 Views
TCU Guide book imechelewa sana, au ile almanac yenye kuonyesha min requirements ndio hiyo hiyo tu? Mwenye majibu tafadhal
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau wa Jukwaa naomba kuuliza... Eti mtu aliyesoma CBG hawezi kusoma kozi yeyote ya afya??? Amepata div 2
0 Reactions
0 Replies
493 Views
Kuna ndugu yangu anataka peleka mtoto wake yeye yupo mikoani mbaya kwenye website yao hawajaonyesha
1 Reactions
9 Replies
2K Views
wakuu naomben wenye kujua mnielekeze namna ya kutuma maomb ya kaz kwa kutumia email ndan ya simu
0 Reactions
1 Replies
819 Views
Mwanangu amechaguliwa kutoka Alliance Girls Mwanza kusoma HKL kidato cha tano shule ya Kisimiri high school iliyoko Meru mkoa wa Arusha. Binafsi sikuwahi kujua kama kuna wilaya ya Meru ila najua...
0 Reactions
49 Replies
29K Views
Naomba kufaham ni course gan naweza kusoma inayoendana na hyo comb ya HGE?msaada kwenu jamen niko njia panda kbsa, ushauri wenu ni muhmu sana kwangu kwani utanifnya kuwa na chaguo zuri
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Habari wakuuu poleni na majukum , Naombeni anaetambua juuu ya hizi mofcom scholarship za China ukisha fanya application kama huwa Kuna usaili (interview) Natanguliza shukrani za zati.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau naombeni kuuliza, Hizi scholarship zimeshatangazwa na Utumishi kama wanavyofanya miaka yote>????
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom