Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naomba kufahamishwa udahili kwenye vyuo vya afya mwaka huu najua unaaza 15/may Ila tatizo langu sijui ndio tarehe ya kuanza kutuma maombi vyuo ni au? Tafadhali saidia
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa yeyote mwenye uelewa na course hii anijuze tafadhali.... Mahali inapotolewa tanzania na vigezo ufauru wangu nina BBB Comb Hgl
0 Reactions
5 Replies
2K Views
https://chat.whatsapp.com/D3fpWZZFM7SBFUWCM7D1TS
0 Reactions
3 Replies
843 Views
Salute kwenu wakubwa! Nahitaji kufahamishwa namna ya kutambua vyeti feki hasahasa vyeti vya O level na A level. Waungwana niko serious na nategemea msaada kwenu maana napata changamoto...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Habari za saizi WanaJF Baada ya matokeo ya kidato cha sita kutoka,Nina dogo alichukua HKL na kwa balaka za Mungu katunukiwa Div 1.9 yani History-D Kiswahili-B English-C Gs-E Asa kwa ufaulu huo...
0 Reactions
49 Replies
12K Views
Habari za humu wana jf.... Mbona mwaka huu vyuo vinavoruhusu kufanya udahil kada ya afyya ni vichache sana alafu pia ni government pekee au kuna sehem nakwama
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Wakubwa natumai mko cool. Kuna dogo mmoja kaniambie leo asubuhi post za suggestions za shule zimetoka.Cha ajabu waliopiga 4 ya 26,27 wamechaguliwa. Wana jf kuna ukweli juu ya...
0 Reactions
21 Replies
10K Views
I'm Studying Procurement and Supply chain management. Currently need to conduct a research as part of my study. I never done any research before. Looking for advice, knowledge. 1. Research...
0 Reactions
1 Replies
947 Views
Jamani naombeni mwongozo jinsi ya kuomba vyuo vikuu kwa mwaka wa masomo 2019-2020
0 Reactions
4 Replies
3K Views
GPA
Sorry ivi hua GPA kwa diploma wanakua wanachukuaga GPA ya semester ya mwisho tu au hua wanachukua GPA ya semester one plus semester two divide by two au hua inakuaje , au wanafanyaje kupata GPA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna auncle wangu mmoja alimaliza form six mwaka 2013,alisoma PCB,matokeo yake yalikuwa PHYSICS (S) CHEMISTRY (E) BIOLOGY (D), alipata nafasi ya kuajiriwa sehemu flani hivi, akasema ataenda kusoma...
0 Reactions
13 Replies
38K Views
Napenda na ni kutoka moyoni kusomea tour guide je chuo kizuri ni wapi na mnanishaurije mdogo wenu juu ya chaguo langu .Ahsante
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Dogo amezngua fom six ila fom four alijitahd kidogo ana div 2:19 na fom six ana 3:16 naomba mnsaidie kumshauri yy alkua ana malengo ya food science,food processing engineering na medical lab
0 Reactions
3 Replies
712 Views
Na wenye uwezo wa kutufafanulia haya tunaomba ufafanuzi... New Government Salary Scales: Approved. TGTS B1 = 419,000/- and TGTS C1 = 530,000/- TGTS D1 = 716,000/- and TGTS E1 = 940,000/- TGTS...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Msaada kwa anae fahamu kuhusu hizi kozi Bsc human nutrition Bsc food science and technology Bsc biotechnology and laboratory science
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wana Jf, Naombeni ushauri wenu wana janvi, kuna dogo ana div 2 ya 11 Bios C, Chemia C, Physics E na Bam E. Awali alitamani sana kwenda kuchukua degree ya udaktari au Pharmacy, ila kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwanza niwapongeze wote mliofaulu, na nawaombea mfike mbali na elimu yenu. Pia si kwamba hatupendi usumbufu wenu, ni haki yenu kuuliza, ila sasa kila mtu akiuliza habari za uwezekano wa kwenda...
1 Reactions
20 Replies
7K Views
Nalisema bila kupepesa, Kisimiri haiwezi kuizidiMarian. Tungelikuwa kwenye just state, just education environment, tungelichukua kumi bora kutoka kila shule , kumi kati na kumi mwisho kila shule...
0 Reactions
5 Replies
987 Views
Back
Top Bottom