Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haya, kwa wale madogo mliochaguliwa STEMMUCO uliza chochote ujibiwe. Mi ni miongoni mwa waasisi wa chuo hicho, nimegraduate 2012. Karibuni!
0 Reactions
9 Replies
5K Views
SHULE GANI NZURI YA ADVANCE INAPATIKANA MWANZA AU ARUSHA NAOMBEN MNISAIDIE
0 Reactions
2 Replies
983 Views
Habari JF, Matokeo yake ya kidato cha sita ni haya -Economics 'C' -Geography 'D' -A/Maths 'E' Katika kuangaliaangalia kozi mbalimbali nimekutana na kozi tajwa hapo juu na moja wapo ya vyuo...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
New
New
0 Reactions
2 Replies
670 Views
Naomba msaada, Ni chuo gani kwa mkoa wa Dar, wanatoa kozi hizo kwa certificate au diploma
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna mitoto hudeka sana kwa wazazi kwenye kusoma kwa kisingizio cha mazingira magumu hebu tizama watoto hawa wa wanavyohangaika kutafuta elimu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
wakuu pengine hiyo heading haijakaa vizuri lakini kikubwa ni kwamba naomba kujuzwa juu ya maamuzi yangu ya kuchagua course ya agriculture in general ili nikaisome diploma .... nimemaliza form six...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habar zenu wakuu Bila kupoteza muda, naomba msaada jinsi ya kufanya confirmation kwa wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya elimu na mafunzo ya ufundi niki maanisha walio chaguliwa kutoka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Salamu. Mwanafunzi kachaguliwa human resource vyuo viwili; mzumbe na NIT. Ushauri a-confirm kipi? Yeye lengo lake ni hiyo HR ila hajui which one is the best between mzumbe and NIT.
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Naomba kuulza kati ya udsm na DIT wap wanatoa Civil engneerng iliyo bora I mean more practical usaidizi jaman
0 Reactions
0 Replies
631 Views
kumekuwepo na malumbano siku nyingi kuhusu suala la elimu Tanzania, hususani katika vyuo vikuu. Ifuatayo ni sehemu ya utafiti wangu someni na mtoe maoni. Utafiti wangu ulilenga makundi mawili ya...
0 Reactions
69 Replies
9K Views
Habari za mida hii wakuu! Nna mdogo angu yupo tanga yy afanyakazi km mtendaji wa mtaa wa kata flani huko huko tanga! Anataka aondoke tanga ahamie DSM! Je kwa huko DSM anaweza kupata nafasi ya kazi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana jamvi,naomba kupata ufafanuzi kati ya DIT na Udsm wapi wanatoa kozi nzur kwa Civil ambayo vtendo vng kulko theory plz naomben msaada wenu kwa mliosomea kwny ivo vyuo ahsantenj
0 Reactions
0 Replies
391 Views
najaribu kuapply SUA kila nikimaliza na kupress NEXT naletewa "failed to fetch your results from NECTA pls try again later" mpk nimechoka mxaada wen wadau
1 Reactions
5 Replies
805 Views
Naomba kujua ni ufaulu gani wa diploma ya education utaniruhusu kusoma degree?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Naombeni kujuzwa kwa wale wanaofahamu hili tatizo,kwenye kufanya application za chuo inapofika sehemu ya kuweka namba ya mtihani form four na six inaandika no connection to necta try again later...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana Jamvi! Nimepata Changamoto katika ku upload picha ya mdhamini mtandaoni. Kila nikijaribu inakataa na picha ina vigezo vyote. Au ni print fomu hivyo hivyo niibandike kawaida? Ahsante!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom