Salaam alekyum wana JF.
Nina tatizo kwenye kujaza form za bodi ya mkopo kila nikiingiza namba ya shule ya Jikomboe Secondary 4535 inasema NO SCHOOL FOUND WITH THIS NUMBER ,,nimejaribu kuwapigia...
Hi,
I am eager to get my driving license in Tanzania, however I am 16 years old. The Tanzanian law book says 16 years of age for motorbikes. Even the TRA website says 16 years of age for...
Naombaa ushauri kuhusu engineering nzuri za kuapply kwa sasa ? Na mwenye ujuzi juu ya soko Biomedical engineering and aircraft maintenance engineering nchini?
Update:
DIRISHA LA BODI YA MIKOPO LIKO WAZI SASA KWA WAKOPAJI WA VYUO VIKUU.
Bofya sasa hii link https://olas.heslb.go.tz/index.php/olas/Olas kuingia ndani ya dirisha la mikopo kwa wanafunzi wa...
Napenda kuuliza na kujua hizi kampuni ya Global na Universities Abroad zinazopeleka wanafunzi nje ya nchi wapo chini ya wizara ipi. Kama ukienda pale na ukalipa pesa lakini ukaona unazungushwa au...
Habari wa jm msada tafadhali kila nikijaribu kuprint na kudownload form inagoma na hatua zooote taar nmehakiki kila hatua akuna makosa ila tu ikifka stage ya kupriview zen kuprint inakataa shida...
Wakuu nilikuwa namfanyia dogo application UDOM,sasa kwenye zile three choices naona kama wanataka nijaze zote,mimi nataka nimuombe moja tu..nifanyaje hapa wakuu??
Habari wana jamii, Mimi nilichaguliwa ktk chuo fulani mwaka Jana but sikuwai kuripoti chuo maisha yakaendelea but now naambiwa jina langu lipo TCU so ctachaguliwa mwaka huu adi nitapofuta hiyo...
Hebu vuta picha,namna ulivyosota kuipata hiyo degree yako. Miaka isiyopungua 16 imeteketea darasani! Umebeba vidumu na ufagio kama wafagiaji wa jiji ukiwa shule msingi. Umepiga jaramba maili...
Aliefanikiwa kufanya application kwa ngaz ya bachelor naomba kujua km alifanya bila shida,Mimi inanisumbua system yao nashindwa ht kulog in ,nikijaribu kujisajiri naambiwa nimeshakuwa registered...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.