Kuna ndugu yangu kapeleka cheti eti kuhakikiwa, toka mwezi wa tano mpaka sasa, eti matokeo bado! Au huu pia ni urasimu?
Yaani kitendo cha kuhakiki tu, ndo miezi miwili? Ama kweli hii ni serikali...
Wanafunzi wa mwaka wa kwanza kazi kwenu
Na wengine
Hp elitepad 900
Laptop ya kisasa yenye uwezo wa kuwa tablet
Inakaa na charge mpaka masaa 7
Win 8.1
Ram 2gb
Ssd 64gb
Bei 300,000/=
Karibu...
Wakuu naomba ushauri,
Nimepata daraja la III.15 kwa mchepuo wa Physics, Chemestry and Mathematics(PCM). Kwa matokeo haya je naweza kusoma shahada ya Uhandisi?
Na kama kuna uwezekano huo, je...
Habari wakuu,
Jirani yangu amechaguliwa Ardhi university na IFM,hivyo akawa kwenye list ya wenye mutliple selection. Sasa taratibu zilisema atatumiwa confirmation code kwa njia ya simu au email...
Amesoma EGM na amepata matokeo haya
Economics .....D
Geography ......D
Advanced Mathematics ....F
Matokeo ya O-level ni haya
Commerce ....C
Bookkeeping ...C
Mathematics ......C
Geography...
Sorry kwa mwenye Uelewa na hostel za dar es salaam zinakuwa na bei gani.... Ambazo Zina facilities zote Sababu vyuo tulivochaguliwa havina hostels.. Regards Merci beacoup
Vijana wengi kipindi hiki wameomba vyuo na wengine bado wanaendelea kuomba vyuo. Ila cha ajabu wengi wao hawajui lolote kuhusu future yao, yaani wapo wapo tu.
Utakuta kijana mpaka anamaliza...
*LaserJet Printer HP, iko faster xanaa pia bado ipo clean as new.......... Ina FAX, PRINT, COPY, SCAN & WIRELESS PRINT...... inauzwa bei cheee kabxaaa 330k (330,000)
*Pia Desktop complete (RAM...
Kama kuna mtu kaweza kureapply chuo Kikuu cha Utatibu cha Bugando atoe maelekezo aliwezaje ili pengine walioshindwa wapate msaada wa namna ya kufanya
Kwa aliyefanikiwa naomba atueleze amewezaje?
Hivi kuna to fauti gani kati ya kozi zifuatazo.... BACHELOR OF SCIENCE IN COMPUTER SCIENCE IN SOFTWARE ENGINEERING NA BACHELOR OF COMPUTER SCIENCE
NA IPI KATI YA HIZO NI BORA ZAIDI
Msaada tafadhali mwanzo niliomba vyuo first round sikubahatika kuchaguliwa nataka kurudia tena second round swali lang nitarudia kulipia tena kwa vyuo ambavyo niliomba mwanzo?
Habar👋🏽 zenyu wana JF
naomba kupata ufafanuz kuhus hizo kozi hapo kama kichwa cha habar kisemavyo ambazo zinatolewa chuo cha DMI
ningependa kujua pia zimekaaje kifursa! maan nalikuwa natak niombe...
Katika hizi course ukisomea utabase au kuajiriwa ama kujiajiri katika fani zipi?.
1.Bachelor in social work
2.Bachelor in economic development
3.Bachelor in community economic development
Nina bwana mdogo amemaliza form six. Nimekuwa nikimsaidia kuapply chuo.
MUHAS kwa walioapply chuo siku ya jumapili mliwatoza Tsh 51,000/- na sasa TCU wamewaelekeza kutoza Tsh 10,000/-. Ni vizuri...
NENDA CHUO , NENDA MDOGO WANGU.
Nakupongeza kwa kufaulu kwenda Chuo Kikuu , aya nenda Mdogo wangu.
Wanafunzi wengi watapata mkopo , na wewe utapata mdogo wangu nenda.
Najua hujawahi kumiliki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.