Habari wana Jf,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka,naomba kufahamishwa chuo bora kinachotoa kozi ya Human Resources Management mkoani Shinyanga
Asanteni
Habari za asubuhi ndugu zangu? Ningependa niende moja kwa moja kwenye mada ,nina mdogo wangu nilimwombea vyuo kupitia mfumo wa udahili nacte sikukamilisha kuomba yani niliomba course nne nikawa...
HIVI UNAWEZA UKIWA UNASOMA DEGREE YA KWANZA,BAADA YA KUMALIZA MWAKA WA PILI UKAAMUA KUCHUKUA MATOKEO YA MIAKA MIWILI,UKAENDA KUMALIZIA MWAKA WA TATU KATIKA CHUO KINGINE??
Kama inawezekana vigezo...
Wadau Mimi ni mmoja ya waliopiga foundation programme open
Ki ukweli ile mitihan haikuzingatiwa ubora kabisa
Unakuta mitihan inatungwa migumu na isitoshe huo mitihan mnafaufanya pamoja na wale...
Kama mada husika inavyo jieleza mimi ni mhitimu wa diploma ya community development kwa sasa nipo tu home kama mwaka. mwaka huu nimependelea kuendelea na elimu ya degree na fursa zaidi naiona iko...
Samahan wakubwa kwa mwenye kujua bei ya kupanga vyumba mwanza SAUTI mana kukaa hostel hawaruhusu kutumia Pasi wala tv sasa nataka kujua bei ya vyumba ni sh.ngap kwa mwaka yaan ghalama ndogo na...
Habari zenu wanajamvi ,naomba kuuliza kuhusu utaratibu wa kupandishwa madaraja mbona halmashauri zingine walioajiriwa mwaka 2013 wamepandishwa lkn halmashauri yetu bado kuna nini? N.b Mimi nipo...
Wanajamvi kuna ndugu yangu ameniomba nimfanyie application za mkopo na chuo, yeye n muhitimu wa diploma mwaka huu, shida inakuja pale system ya kuomba mkopo inapohitaji aatach cheti ili hali bado...
Kwa miaka miwili tangu wameanza system ya kuomba chuo moja kwa moja TCU baada ya raundu ya kwanza wamekuwa wakitufahamisha wadau udahili unaendeleaje. Kwa mfano wamekosa chuo wanafunzi wangapi...
kwa wale tuliopita enzi izo mnamkumbuka hawa walimu:
1) kabig: huyu alikuwa mkuu wa shule mfupi ni balaa alikuwa anatandika bakora mbaya
2) geta: mzee wa table na mitihani ya ijumaa kimbembe j3...
Naomba kuuliza: Hiyo shule hapo juu inapokea wanajeshi watarajiwa au ni wanafunzi wa aina yote/wote.
Je ukiwa pale military courses/classes/kwata etc zinakuhusu kama wewe umetoka shule za kawaida?
Na mdogo wangu namfanyia application ya bachelor lakini naona dirisha la usajili umefungwa kwa vyuo vyote, ningependa kujua hakuna nafasi ya usajili wa pili???
naomba msaada hapo.
Niko namfanyia mwanafunzi application hapa ngazi ya diploma katika website ya NACTE
Nimekwama hapo kuingiza izo option
Yeye kamaliza form 4 tu! Na anataka ajiunge na vyuo vinavyotoa fani ya afya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.