Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Je naweza pata mkopo nikisoma bsc in multmedia and animation technology udom?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimechaguliwa chuo cha kairuki kozi ya MD, mkopo nimepewa wa meal and allowance bas, nimekwama ada maana ni million 7. Je naweza kwenda nikalipa kidogo then nifanye transfer ya chuo kingine, je...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Habari za mchana nacte wametoa selection zote kwa urahisi sana ingia kwenye page yao kwa wale ambao walikuwa wanasema haoni chochote. Mlete mrejesho pia kila laheri
3 Reactions
55 Replies
6K Views
Nipende kuwapongeza kwanza wale wote waliopata nafasi ya kuchaguliwa katika chuo kikuu cha Dodoma(UDOM). Pia niwapongeze wale wote waliochaguliwa course hii ya bach of science in multmedia...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Samahani wakuu naomba msaada kwa yeyote anayeielewa course ya Bachelor of arts in anthropology,misingi yake na hatima yake baada ya kuisoma unaweza kuja kuwa nani? Natanguliza shukrani.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nilituma maombi kwa njia ya online kwa kozi ya Clinical medicine naomba mnipe njia mbadala za kufany I'll nipate chuo cha serikali Natanguliza shukrani kwenu
0 Reactions
21 Replies
6K Views
.
0 Reactions
0 Replies
815 Views
habari zenu wadau...nimechaguliwa Ardhi kozi ya B.a in econmcs...nipo arusha,nackia kupata hostel chuoni ni ngum sana ukizngatia tumechaguliwa wengi..so mwnye uwezo wa kunisaidia khs upatikanaji...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Waungwana kuna jamaa yangu nlimuombea vyuo(vyote alipata)kimojawapo ni chuo hiki sasa kilichelew kutoa majina ya first round wakasema watayaambatanisha na ya second selection cha ajabu majina...
0 Reactions
1 Replies
957 Views
MSAADA tafadhari Nmechaguliwa St. Augustine Mbeya na Stella Maris Mtwara nijuzeni jamani hali ya maisha kiujumla na gharama za vyumba maeneo hayo ili nijue wapi ni-confirm isije ikala kwangu.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
HP Probook 430 G1 Its Portable Screen size:13.3-inch diagonal HD LED-backlit anti-glare (1366 x 768) RAM: 4GB Processor core i5 4th Generation i think HDD: 500GB Intel HD Graphics Flexible...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
nimechaguliwa kusoma MD pale cuhas ndugu nipeni jinsi chuo kilivyo kwa wanaokifahamu. Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sorry wana jf nilikuw naomba mnijuze wenye kuelewa kuhusu hii course ,, where it is applicable ,,, and if it is marketable
0 Reactions
0 Replies
376 Views
Habarin,wadau mm ni mwanafunzi niliyemaliza form IV mwaka juzi nilikuwa ninatak kusom koz ya ICT kwa ngaz ya cheti,ila kuna kitu kinanitatiza maan kuna watu wananiambia hii koz n yeboyebo,watu...
0 Reactions
71 Replies
12K Views
Baada ya kuwaambia vijana kuwa kuna fursa kwenye Nursing na wengine kutueleza kuwa jibaba haliwezi kusomea Nursing, leo nimeangalia selections za UDOM round One na Two (wasiokuwa na multiple...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
hii ni special thread kwa mtu yoyote anae taka kujua chochote kuhusu chuo cha afya na sayansi shirikishi muhimbili karibuni
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu ni matumaini yangu mko poa... Kama heading inavyojieleza,naomba kufahamishwa namna ya kupata likizo ya bila mshahara kwa watumishi wa serikali kada ya Elimu,nimepata scolarship ya kwenda...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
habarini humu ndani? ningependa kufahamu au kupewa maelezo kwa yeyote atayokuwa nayo, kuhusiana na akaunti za udom kutokufunguka na kuambiwa tumekosea passowrd ilihali password azjakosewa and pia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani watoto wa siku hizi Kwa kuchukulia mambo easy, amesoma PCB akafaulu 1.8 Yani P-C C-B B-C Alitaka soma medicine, pharmacy au nursing.Sasa alijaza kozi hizo akachanganya na zingine...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom