Habari jamani,ninatatizo apa matokeo ya chuo yanachelewa kuwa confirm na nacte ili nipate AVN NUMBER niapply kozi za degree sijui nifanyaje km Kuna njia yoyote msaada jamani
Wakuu mdogo wangu kachaguliwa hizo DEGREE program Nursing ni Udom na Bugando na Lab technology ni KCMC anataman kujua asome hipi na kwanini...
Ufahulu wake alikuwa na Division 1:9
Phy D, Chemi B...
Nianze kwanza kwa kueleza kuwa nimekuwa na passion kubwa ya kujifunza programming tangu nilipomaliza kidato cha sita .
Hivyo basi nikaamua kujiunga na course ya bsc Software engineering ambayo...
Chuo hakiwezi kucreate fast web page yenye kuzungumzia Masters program zinazofundishwa hapo chuo, hivi kweli mtaweza kufundisha masomo kama vile Advanced object oriented programming au Artificial...
Jaman naomba msaada kuna chuo nimechaguliwa lakin system yao inagoma kuCANCEL ADMISSION na mm stak kusoma hcho chuo, nmewasiliana nao et ndo mfumo wao ulivyo huwez kucancel nifanye nn ili...
Habari zenu wadau.
Je siku ya kwenda kujisajili chuo ni lazima kwenda na birth certificate?
Je ni vitu gani vingine vya muhimu wakati wa kujisajili chuo?
Naombeni msaada wenu wadau.
Tafadhari mwenye uelewa na kozi tajwa aniekeze vipi ina soko, ajira, mahitaji, competition kwenye ajira, n.k
Nimechaguliwa hiyo kusoma pale SUA but sina uelewa nayo sana
Wana jamii .
Naomba kuuliza .
Mtoto wangu anayefanya mtihani Leo Wa darasa la saba .
Wameambiwa katika.mtihani asije na pen .mtihani itafanywa na pencil .
Je hii nisheria ya wizara?
Kufanya...
Ndugu wana JF, Nawasalimu wote
Naomba tushiriki katika utafiti huu mdogo juu ya hiki chakula na kwa sababu sitaki watu wawe biased sitapenda kufafanua zaidi utafiti huu umelenga nini hasa. Ila...
Shikamoo baba na mama, natambua mna furaha iliyo kuu Sana kwa kuwa wadogo zangu wamemaliza masomo yao ya shule ya msingi.
Hivi ndivyo vitu mtakavyowaambia
waambieni wasianze kuzagaa mtaani...
Jaman Samahani kwa walioomba chuo cha udom awamu ya tatu je kuna kulipia au ni bure mana ad namaliza application na kusubmit hawajanipa control number wakati usipolipia huwez ingia kwenye...
Gharama ya kumwangamiza mtu ni kubwa kuliko gharama ya kumuokoa.
Inapotokea labda mwanafunzi 1st yr ana GPA ya 2.5 na second yr ana GPA ya 2.2 lakini 3rd yr akadondokea mathalani kwenye GPA ya 1.6...
Wakuu naomba kwa anayefahamu chuo kizuri cha utalii kwa Arusha., kiwe mjini. Pia pamoja na ada zao. Nilizoambiwa ni Key field na Tropical ila sina uzoefu navyo. Mwenye kujua zaidi naomba anijulishe.
Lengo la uzi ni kuwapa moyo vijana wanaoendelea na masomo yao na wanaokaribia kuanza masomo yao.
Maana kumekuwa na maswali mengi kuhusu uzuri wa degree program nzuri.
Ni vyema ukataja ulichosomea...
kuna msanii mmoja wa bongo flava aliwahi kusema kuwa "vyote kushoto na kucheka kinyume chake ni kulia"
wanafunzi wa Arusha Technical College(ATC) waliamini mwalimu kutaka rushwa ya ngono kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.