Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wakuu,wapi naweza kupata soft copies za past papers( maswali na majibu).Ni zile za Necta. ahsanteni
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Hadi muda huu ninaongea, kuna wanafunzi wengi sana wenye vigezo hawajapata vyuo.Wana one ,two na three. Mwezi Juni 2017 ,pale UDSM Mh.Rais aliagiza wanafunzi waombe vyuo kupitia chuo chenyewe na...
2 Reactions
55 Replies
10K Views
VP bsc in municipal and industrial services engineering ajira zake ?
0 Reactions
2 Replies
623 Views
Ndugu mimi niliomba MD Bugando mwaka huu nikapata na nashukuru mungu na nyie wana jf kwa ushauri wenu. nimefuatilia sana ada ya pale nikajuanaweza ku topup ela itakayo baki kama nikipata mkopo was...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu msinicheke kuuliza si ujinga. Sielewi tofauti za hivo vitu,je ni level gani kati ya hizo ipo juu zaidi? Je inachukua mda gani kusomea doctorate,na je kuhusu Phd inakwaje?
1 Reactions
27 Replies
13K Views
Jaman magreat thinker,mwanzo nilichaguliwa single nikakomfim,ila sasa nipo multiple na ckuomb tena xaxa nafanyaje celew nipen mawazo tafadhali!
0 Reactions
5 Replies
749 Views
Tafadhali wadau mm niliomba third round na kwenye multiple selection iliyotolewa na tcu Leo simo, na nikijaribu kuingia kwenye account zangu zote udsm na udom bado sijawekewa selection...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Grades za ufaulu za private candidate na za school candidate zinatofautiana?
0 Reactions
2 Replies
646 Views
Hlw Naomba msaada wa kujua jinsi ya kupata vyuo vya afya vya selikali, Diploma in nursing, dada yangu alimaliza form six mwaka jana na kupata divion three 15-CBG. Mwaka jana ameomba awamu mbili...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanafunzi wanaodisco vyuo vikuu ni wengi sana. Je, huu ni mpango wa kubakiza wachache ili bodi ya mikopo isitoe fedha nyingi mbona hali hii ni mbaya sana? Nimepata kusikia hali ni mbya sana ni...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu fourth edition guide book walitoa tcu ina maanisha nini wakuu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanabodi, nina ndugu yangu (wakike) kafeli somo moja katika mitihani yake ya mwisho wa semester, (ana supp). Sasa wakati huu wa likizo mwalimu wa hilo somo kamtafuta kwenye simu kaomba ngono ili...
1 Reactions
116 Replies
9K Views
Qualification : Should be able to teach A- Level Bachelor Degree holder and above in relevant field. Should be able to communicate fluently in English (spoken & written) You should be ready for...
0 Reactions
6 Replies
858 Views
Habarini, Nina ndugu yangu amemaliza chuo mwaka Jana na kupata GPA ya 4.3/5.. Ndoto zake ni kusoma DEGREE YA DOCTOR OF MEDICINE (MD) JE ANAWEZA KUFANIKIWA, MAANA GAIDBOOK LA TCU HAWAONYESHI...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Habari wanajukwaa naomba msaada wa mawazo nijue katika vyuo tajwa hapo juu kipi kipo vizuri kwa kozi ya INFORMATION TECHNOLOGY ngazi ya degree ushauri wenu muhimu kabla sijafanya uamuzi wa mwisho
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Nimekutana na hili tangazo website ya nacte sasa lina nipa utata lina husu institutions zp private tuuu au na govment msaada wakuu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini za jioni,Leo kwenye account yangu ambayo nilitumia kuapply chuo kwa upande Wa Udsm wameandika hivi STATUS : Successfully selected on : Bachelor of Arts with Education (UD012) RESULTS...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu Kwa yeyote anayejua au mwenye ufahamu juu ya course hii Animal health and production basi achangie kwa kule anachokifahamu aidha iwe ni changamoto zake, inahusiana na nini n.k...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Baada ya kukamilika kwa maonyesho ya Vyuo Vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini, TCU, Kampuni ya Global Education Link, imetangaza kuanza kwa Wiki ya Udahili kwa vyo vya nje Maonyesho...
2 Reactions
29 Replies
7K Views
Kwa anaeifahamu course ya DIPLOMA IN HEALTH INFORMATION SCIENCES. kazi zake, Uwepo wa ajira, Salary ya mwajiriwa wa diploma au hata information yoyote kuhusu hio course naomba anisaidie
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom