Wenye kujua gharama ya masomo kwa mwaka kwa hizi shule kwa primary anijuze tafadhali (Morogoro Mjini)
- Baptist primary school
- St. Ann's primary school
- Top stars primary school
- Theresia...
Wadau nauliza kati ya Muhimbili na Kcmc ni wapi pazuri zaidi kufanya internship kwa mwanafunzi baada ya kumaliza Md.sijasoma katika vyuo hivyo hivyo sina ufahamu mzuri wa hizo...
Mimi ni Mwalimu wa Masomo ya sayansi. Nataka nirudi shule 📘
Vipi kuhusu hii course ya Public Health nasikia inalipa.
Naomba maoni yenu wakuu. Natanguliza shukrani.
Wanaojua kuhusu hi kozi ya food science and technology kwa diploma ukimaliza unaweza kuomba degree baada ya kumaliza diploma na kwa GPA ya ngapi kuomba kwenda degree ya hii kozi?
Bodi ya mikopo imetoa awamu mbili za mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Kwa kweli inashangaza kuona watoto wa wanyonge tena waliofaulu vizuri masomo ya sanaa na sayansi wamekosa mkopo.
Mtaa...
Wakuu habari za jioni.
Naomba kujuzwa ni kwanini Shahada ya Utabibu/Medical Doctor (MD) au Shahada ya Utabibu wa Wanyama/ Bachelor of Beterinary Science (BVM) hazijaweka kwenye makundi (e.g...
Hapo zamani tulizowea kusikia Kaskazini ndio shule zilitoa wanafunzi bora ila this time naona kanda ya ziwa mpaka kwa mkuu wa Taifa eti ndio wenye akili.
Samahani lakini natamani kujua, ni...
Miezi kadhaa iliyopita, UDSM walifanya uchaguzi wa serikali ya wanafunzi DARUSO. Kama vile COHU, katika uchaguzi ule kulijawa na kila namna ya hila na unyama ambao ulifanywa na wajumbe kadhaa wa...
Nilidhani UDOM ni chuo bora sana katika mambo ya IT lakini kumbe nilikuwa najidanganya.
Ebu fikiria tangu mchakato wa kuomba vyuo uanze website yao ikaanza kugoma kufunguka, tukadhani ni tatizo...
Nimeona niandike hili baada ya kuona wengi mkihangaikia kozi za kusoma vyuoni. Iwe diploma au digrii, kuna kozi binafsi sishauri kusomwa na wenye mkondo kama wangu (low and middle family class)...
Naombeni mnieleweshe mimi naingia Second Year kozi ya Education lakini sijapata mkopo baada ya kukosa First Year nikaomba tena lakini mpaka awamu mbili zimetoka sijapata.
Je, sisi tunaondelea...
Jamani naomben ushauri serikali imenichagua nikasome course ya procurement na logistics je ni course nzuri na inafaida gan msaada jaman ushauri wenu ni muhimu kwangu
Wadau,
Kwanza pole na kazi. Naombeni ushauri. Nataka nijiendeleze kimasomo kwa sasa nina Bachelor of Arts in Economics. Nichukue Masters ipi ambayo itaendana na kasi ya ajira kwa sasa? Nahisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.