Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Mohamed Said anaeleza historia fupi ya Balozi Abbas Sykes: 1: 18
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SIKU YANGU NA ALQUAM KIOBYA MJUKUU WA SAADAN ABDU KANDORO Alquam Kiobya ni kijana mdogo kama mnavyomuona. Huyu ni mjukuu wa Saadan Abdu Kandoro mmoja kati ya wazalendo 17 waliounda chama cha...
5 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarii wandugu, Poleni na majukumu ya mwanzoo wa wiki nimeonelea leo tuwakumbuke watu waliowahi kuwa makamu wa raisi wa Tanganyika 1962-1964 na baadae Tanzania 1964 mpaka sasaa. Wajuvii wa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wengi wetu huamini sisi (Waafrika) ni dhaifu na bila mzungu tungekuwa bado tunavaa majani, binafsi sikubaliana na hili. Labda niwakumbushe, katika zama zote za binadamu wa kale alikuwa akipiga...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
1957 kabla ya kuunda chama cha ASP, Mwalimu Nyerere aliwasihi sana Waarabu Zanzibar wawaruhusu Waafrika kupiga kura, walipokataa aliwaonya kuwa that was the last chance. Usiku huohuo akaanza...
16 Reactions
135 Replies
20K Views
MAONI YA MHESHIMIWA (HAYATI) TUNTEMEKE MESAKA NNUNG'WA SANGA KUHUSU MUUNGANO MWAKA 1993. MBUNGE mashuhuri kutoka Makete, Tuntemeke Sanga, ambaye mitaani habari zilipata kusambaa kwamba ni msomi...
5 Reactions
27 Replies
16K Views
Nyaraka kutoka kwenye old archive:
1 Reactions
0 Replies
909 Views
Ivi karibuni masikio na macho ya duru za kimataifa yote ya meelekezwa uko barani ulaya ambapo kumeshuhudiwa vita kubwa baina ya mahasimu wa muda mrefu ambao ni ARMENIA NA AZERBAIJAN. Kutokana na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Warumi wa kale ndiyo walikua wazalendo wa kweli. Katika jeshi wa Warumi kuanzia cheo cha Major kwenda juu ni lazima uwe Mrumi kwa kuzaliwa. Askari wa wa chini ya cheo cha Major walikua ni raia...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Tabora ni moja ya mkoa unaopatikana upande wa magharibi mwa nchi ya Tanzania. Ni miongoni mwa mkoa mkubwa nchini Tanzania. Ukiwa mkoani Tabora unaweza kufika kwenye wilaya zenye historia na...
3 Reactions
9 Replies
5K Views
Mwaka 1965 Fidel Castor na Che Guevara waliingia katika ardhi ya Tanzania, walifikia katika ubalozi wa Cuba mtaa wa Lugalo Upanga. Wakiwa na maofisa wa ubalozi wao. Dhamira ya safari yao ilikuwa...
12 Reactions
13 Replies
7K Views
TUSOME HISTORIA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA Hawa vijana wamevutiwa sana na historia ya Abdulwahid Sykes wameagiza vitabu hivyo kutoka Dar es Salaam. Hawa vijana wako Shinyanga. Wana nakala...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
OPERATION WET-I-E COUNTER-COUP; MAPINDUZI PEKEE AFRIKA YALIYO JIRATIBU YENYEWE, YAKAPINDUA NAYO YAKAPINDULIWA KISHA YAKAIGEUZA NIGERIA KUWA UWANJA WA MAPINDUZI. Na. Comred Mbwana Allyamtu...
12 Reactions
15 Replies
3K Views
Hii makala niliiandika siku kama ya leo mwaka jana. Leo niko hapa najibu maswali kuhusu Abdul Sykes. Ndugu zangu hebu someni hayo makala hapo chini: TAHARUKI YA BI. MUGAYA NYANG'OMBE NA WANA...
6 Reactions
2 Replies
2K Views
mimi mutwa mukulu nawakilisha kizazi cha dot com. nikiwa shule ya msingi ilembula njombe kwa mzee nyimbo, nilibahatika kusoma baadhi ya vitabu vya zamani kwani kijiji kile watu walianza kusoma...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Hii ni Ikulu ya Alexander aliipendelea sana Tsar Nicholas II Kabla ya Ujamaa walimuamini Yesu
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Rasputin with his wife and daughter Matryona (Maria) in his St. Petersburg apartment in 1911 Rasputin ni mzaliwa wa Urusi, alikuwa mshika dini sana na alijitangazia uwezo wa kuponya magonjwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya vifungu kwenye Bible uki connect dott unapata picha tofauti kabisa kuhusu Dini. Wakati wa Biashara za watumwa, Watumwa walivyo kuwa wanafika kule hawakuruhusiwa kujifunza kitu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hili Jambo limekuwa likinitatiza sana hasa nchini Misri na Israel. Kumekuwa na mtindo wa kufukua makaburi ya watu wa kale kwa kisingizio cha kufanya tafiti za kihistoria. Hivi hao watu...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…