Siti binti Saad alizaliwa katika kijiji cha Fumba, Zanzibari mwaka 1880. Alipozaliwa alipewa jina la 'Mtumwa' hii ni kwa vile alizaliwa katika kipindi cha utumwa wa Kiarabu. Jina la Siti alipewa...
By Malisa GJ
Wakati wa uhai wake Kim Jong-il baba mzazi wa Kim Jong-Un, Kiongozi mkuu wa Korea Kaskazini alioa wanawake wawili ambao ni Hong Il-chon na Kim Young-sook. Lakini aliishi kinyumba na...
2003 INVASION OF IRAQ: Kanisa Katoliki Vatican na ushawishi wake juu ya msamaha kwa Waziri Tariq Aziz. Mkristo kindakindaki na swahiba mkuu (Inner Circle) wa Saddam Hussein.
Waziri wa zamani wa...
Aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zambia mzee Kenneth Kaunda amefariki dunia katika hospitali ya jeshi mjini Lusaka, alikokuwa amelazwa kutokana na kuumwa. Kuumwa na kuaga dunia kwa Mzee Kaunda, sio tu...
‘Seppuku’ au ‘Harakiri’ inamaanisha “kukata tumbo kwa kisu”, hii ni aina ya tamaduni ya kujikafiri kwa kujikata na kulichana tumbo kwa kisu iliyokuwa ikifanyika Japan ya kale. Mila hii ya kikatili...
Alizaliwa tarehe 10.7.1951
Elimu
Alisoma shule ya msingi ya Mawenge Middle School mwaka 1961 hadi 1964
1965 hadi 1965 St. Francis College Pugu
1969 hadi 1970 Shinyanga Secondary ‘’A’’ Level
1971...
TIMU YA TANGANYIKA GOSSAGE CUP 1961
Majina ya wachezaji wote na maelezo ya ziada kayatoa John Limo baada ya kumfikishia hii picha.
Tumshukuru kwa kutufanyia hisani hii:
Kutoka kushoto: Henrick...
KENNETH DAVID KAUNDA NA ALLY KLEIST 1953
Leo Kenneth Kaunda katimiza miaka 97.
Nimeangalia picha ya Kenneth David Kaunda na picha hii ikanikumbusha uhusiano wa Kaunda na Ally Kleist Sykes wakati...
Mpaka mtoto afikishe miaka miwili + ndiyo anaweza kutambua kuwa anahitaji haja kubwa au ndogo hapa ndipo anafundishwa kujistiri.
Enzi tuna vaa magome ya miti watoto walitunzwaje ili kinyesi...
+ Katika Vitabu maarufu vya historia vinavyotolewa na "UNESCO World Heritage" kuna Makala ambazo huwa zinahusu orodha ya miji mikongwe ambayo mpaka leo inakaliwa na watu (List of oldest...
Siku moja nimepita ofisini kwa Bwana Ally Sykes na katika mazungumzo yetu akaniambia kuwa alikuwa siku ya pili anasafiri anakwenda London.
Palepale ikanijia fikra nimpe Bwana Ally makala yangu...
Salute wakuu,
Kuna muda huwa nakaa najiuliza kama wazungu (wakoloni) wasinge tutawala Afrika tungekuwa wapi leo na uchumi wengi ungekuaje ukilinganisha na maisha mengine kama India, Amerika...
Wengi wamekuwa wakiuliza kama kuna Mtanzania mwenye ujasiri wa kukataa uteuzi wa Rais.
Ukweli ni kwamba wapo na imepata kutokea kwa Mwalimu Mishael Muze ambaye alikataa uteuzi wa kuwa mkurugenzi...
Baada ya kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Rais wa Kwanza wa Tanganyika na pia Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) tarehe 14 Oktoba 1999 mengi yamesemwa na kuandikwa kuhusu...
Mama Samia leo asubuhi aliamkia Soko la Karikaoo kuangalia biashara inavyokwenda na kuzumgumza na viongozi wa soko.
Allah ana rehma zake na hutukumbusha mengi kwa njia ambazo mtu huwezi...
KIFO CHA JOHN LENON 8 December 1980
Watu waliotumika kufanya mauwaji ya watu wakubwa , wengi wao ukiwafuatilia wanakua walipata mafunzo ya kijeshi. Au mafunzo na kufanyiwa unyama huu wa...
H
Kumbukumbu ya wapagazi Waingereza kwenye Sanamu ya Askari, Dar es Salaam.
Wapagazi Waafrika upande wa jeshi la Kijerumani
Kikosi cha wapagazi (ing . Carrier Corps ) kilikuwa kitengo cha jeshi...
SALIM HIMIDI (1945 – 2020): JAHAZI LILILOZAMA NA SHEHENA YAKE YOTE YA VITO VYA THAMANI KUBWA
Nimemfahamu Salim Himidi kiasi cha miaka 20 iliyopita kupitia kwa rafiki na ndugu yangu Mohamed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.