We must be really grateful for the "colorful past" technology that allowed us to recognize the face of the Ancient Egyptian pharaoh Ramses ||, also known as Ramses the Great, the third pharaoh of...
Huyu mtu nimeanza kumsikiliza majuzi hasa kupitia youtube. Nimegundua ni kati ya watu ambao walikuwa na ufahamu wa hali ya juu sana. Sasa najiuliza tu, kweli kifo chake japo kilikuwa ni ajali ya...
Baada ya kuona swali la JMushi ambalo ni kilio cha kusikia kuwa Babu yake Mangi Sina alikuwa msaliti, kauli ambayo JMushi anasema ilitolewa na John Mnyika, nimeonelea nifungue hii thread ili wenye...
During the construction of Uganda railway, The British imported about 7,500 skilled laborers from India and retained the services of about 20,000 unskilled laborers, made up of Indians and East...
ALI HASSAN MWINYI: MZEE RUKHSA SAFARI YA MAISHA YANGU
Bi Lucie wa Mkuki na Nyota Wachapaji wa kitabu hiki amenifahamisha kuwa mimi hapo dukani kwao ni mtu wa pili kununua kitabu hiki.
Mtu wa...
ABDUL SYKES WA LEO 2021 NDANI YA HISTORIA YA TANU 1954
Kuna video ya Mbunge wa Kigoma Mjini Mh. Kilumbe Shaban Ng'enda anamtaja Abdul Sykes kama Mzee Abdul.
Video hii nimerushiwa na watu wengi...
Watu walikuwa smart na wababe, mtu anayeogopwa na Rais na vyombo vyote vya dola huyo sio wa mchezomchezo. Umewahi kuwaza ni namna gani vitengo vya usalama vinamtambua mtu kwa kutumia alama za...
SIKU MWALIMU NYERERE ALIPOTOA HOTUBA YAKE YA KUWAAGA WATANZANIA YA NOVEMBA 5 MWAKA,1985 WAKATI ANASTAAFU URAIS KWA WAZEE WA DAR ES SALAAM.
‘"Mimi nimeanza siasa na wazee wa Dar es Salaam; na...
MASAHIHISHO PICHA TAWI LA TANU: DUA NYUMBANI KWA ALI MSHAM SAFARI YA UNO 1955
Hapo chini ni picha ya Mtaa wa Jaribu Magomeni Mapipa nyumbani kwa Ali Msham ambako alifungua tawi la TANU mwaka wa...
MAENEO 15 YA KIHISTORIA YENYE KUVUTIA JIJINI KINSHASA.
Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA)
Saturday-10/07/2021.
Marangu, Kilimanjaro, Tanzania
Yafuatayo ni maeneo 15 ambayo ni alama ya jiji la...
Historia ya jina la Kariakoo na soko la Kariakoo inaanzia tangu enzi za ukoloni wa Mjerumani wakati Tanzania Bara ikiitwa Tanganyika.
Mahala lilipo soko hilo palijengwa jengo la utawala wa...
WALIFIKAJE TAREHE 7 JULAI 1954 NA KUUNDA TANU NA TUNAWAADHIMISHAJE WAZALENDO HAWA?
Kuna mtaa Dar es Salaam sisi tulimezaliwa tumeukuta ukiitwa Stanley Street.
Baada ya kupatikana uhuru mtaa huu...
Ili kabila linalotambulika kama mashujaa wa kuua Simba ili uonekane kidume cha mbegu.
Kabila ambalo kabla ya kujigeuza kuwa walinzi na wasusi mjini kila mtu alikuwa akiowagopa kutokana na tabia...
INAKUWAJE MTU KWA VIGEZO VYOTE NI MWENYE AKILI ZA ZIADA KUMBE MJINGA?
Toka udogo wangu nikipenda senema.
Baba alikuwa na "prejector" nyumbani lakini ni ile "silent," haitoi sauti na filamu zake...
Jina lake ni Mtwa Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga, mtoto wa Chifu Munyigumba. Ukitaka kumzungumzia wala usizunguke sana, sema tu Chifu Mkwawa inatosha.
Kwa nini aliitwa Mkwawa? Hilo linatokana...
Buriani rafiki yangu Wendo Mwapachu!
Leo jioni katika makaburi ya Kisutu tumemzika Wendo Mwapachu.
Nimemjua Wendo kwa kujulishwa kwake na Ted kama tulivyozoea kumwita.
Ted sasa hivi Chief...
HIVI NDIVYO MTAKI MSALITI ALIVYOUDONDOSHA UTAWALA WA CHIFU MKWAWA
Jina lake ni Mtwa Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga, mtoto wa Chifu Munyigumba. Ukitaka kumzungumzia wala usizunguke sana, sema...
HIVI NDIVYO ALIVYOKUWA SHEIKH AHMED HAIDAR
Picha inasema maneno elfu moja.
Jicho la camera halisahau kile jicho la binadamu liliona.
Angalia picha hiyo hapo chini Sheikh Ahmed Haidar amekaa...
"Nashukuru nimemwona Abdul Sykes vizuri katika picha hizi.
Sikubahatika kumuona akiwa hai alikuwa na ukaribu sana na baba yetu mdogo Mzee Mrisho kuliko ndugu zake.
Wao walizoeana sana kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.