MUZIKI ULIOCHELEWA WA OMARI KUNGUBAYA
Omari Kungu Baya alikuwa mpiga guitar maarufu katika miaka ya 1970.
Nyimbo yake, "Salaam za Wagonjwa," ilikuwa ikifungua kipindi cha Radio Tanzania Dar es...
Inasemekana alihamia Uingereza na Malkia Catherine wa Aragon kutokea Hispania. Alikua mtumbuizaji kwenye mazishi ya Mfalme Henry VII na aliburudisha siku Mfalme Henry wa VIII anawekwa wakfu...
In the United States, the anti-vaccinationist movement, using pamphlets, court battles, and fights in state legislatures, succeeded in repealing compulsory vaccination laws in California...
WAZEE WANA USEMI "CHINI KUNAKWENDA WATU"
Picha hizo mbili hapo chini hazihitaji maelezo mengi ni picha za Abdul Sykes na Julius Nyerere na wake zao.
Picha ya Abdul Sykes imepigwa Government...
JIFUNZE HISTORIA YA TANU KUTOKA MAKTABA YA MOHAMED SHEBE
Angalia umma uliokuwa unahudhuria mikutano ya TANU Mnazi Mmoja.
Nimefahamishwa kuwa shajara (diary) za Abdul Sykes zina hotuba za Nyerere...
Shekhe Amri Abeid ni mmoja ya washairi maarufu Tanzania na Meya wa kwanza Mwafrika ambaye pia ni mwanafunzi mwenzake wa Baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakiwa wamesoma wote shule...
Habari ya uzima wanaJF, natumaini mko wazma sana. Kazi iendelee. Nimepokea jumbe nyingi kutoka kwa wadau mbalimbali wakiomba niweke bandiko kuhusu Sutherland’s Seven sisters, Kwani niliwagusia juu...
Israel haina mamlaka juu ya Gaza wala Jerusalem wala West bank. Israel ilivamia tu maeneo hayo ya Palestine toka miaka ya 1960s.
Palestine ilikuwepo na kihistoria ilitawaliwa na Uingereza. Je...
NAMKUMBUKA RASHID KHERI BAGHDELLEH RAFIKI WA BABA YANGU
Anza kwa kuangalia picha hapo chini.
Baba Said Salum, Babu Salum Abdallah na juu ni Kheri Rashid Baghdelleh.
Baba na Baghdelleh...
Tuendelee tulipoishia....
Mara baada ya kufariki kwa wazazi wao, basi ule usemi wa “wazazi ni nguzo; zikidondoka basi nyumba haina faida tena” ukachukua maisha ya mabinti hawa.
Walitumia fedha...
ABIRIA CHEO CHA PILI
DARAJA yangu katika kazi sasa ilikuwa imeniwezesha kusafiri kama abiria wa cheo cha pili katika gari moshi. Mapendeleo haya
yanayotamaniwa yalinijia baada ya miaka kumi na...
Tarehe 6 August 1926 mdada huyu alikuwa mwanamke wa kwanza Kuvuka mlango bahari kati ya Uingereza na Ufaransa (The English Channel) kwa kuogelea Kilomita 56.327 kwa masaa 14½ tu. Aliporudi kwao...
Mshiki: Dada
Mamkwe: Mtoto wa Pili wa Kike katika Familia
Haikaelly: Asante Mungu - Jina la kiume
Haika: Asante,Jina la kike
Finyaelly: Nguvu za Mungu
Ndekarisho:
Ndekirwa:
Nderingo:
Elikunda...
TGOS A
TGOS A 1. (Sh240,000), TGOS A 2. (Sh245,600), TGOS A 3. (Sh251,200), TGOS A 4. (Sh256,800), TGOS A 5. (Sh262,400), TGOS A 6. (Sh268,000), TGOS A 7.(Sh272,000), TGOS A 8(Sh279,000), TGOS A...
Mji wa songea upo mkoani Ruvuma ndiyo manispaa pekee iliyopo katika mkoa wa Ruvuma
Huu mji bhana ukiwa meajiriwa unakufaa kuishi na hutopata tabu Ila ukiwa mtafutaji wa kilasiku songea ni ngumu...
Mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka 1347 karne ya 14, meli 12 ziliwasili katika bandari ya messina mji wa Sicily nchini Italia zikiwa zimetokea bahari nyeusi maarufu kama The Black Sea.
Sababu ilikua...
TAAZIA YA DR. DAU KWA BENJAMIN WILLIAM MKAPA NA YALE MAKUBWA NA MAZITO AMBAYO HAKUYASEMA
Hakuna kitu kinagusa fikra na linabaki akilini na kuhifadhika kwengineko kama neno lililoandikwa...
Tangu Disemba 27 hadi 18 Januari 2009 vyombo vya habari duniani vilitawaliwa na taarifa za mapigano kati ya Israel na kundi la Hamas la Palestina. Katika vita hiyo takriban wapalestina 1300 na...
Mnamo karne ya uwepo wa Mrusi hapa nchini, wakati huo Hayati baba wa taifa,Mwl. JK Nyerere alipomruhusu Mrusi awekeze katika ujenzi wa bwawa la kufua umeme katika eneo la Kijungu, maarufu kama...
EVERTON VS SAIGON 1967
Rafiki yangu Mohamed Abdulrahman kutoka Ujerumani leo asubuhi kaniandikia kitu kilichonirudisha nyuma sana udogoni.
Soma stori:
"Baada ya kuundwa Saigon Everton ilibaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.