GAZETI LA UHURU LILIPOSEMA KUWA PROF. MALIMA ATAJITOA CCM MSIKITINI TABORA 1995
Ijumaa moja tarehe 15 Julai mwaka wa 1995 gazeti la Uhuru, lilibeba kichwa cha habari katika wino mweusi uliokoza...
Sote tunaelewa kuwa mkutano wa Berlin wa mwaka 1984 ndio ulioigawa Afrika kuwa katika mipaka tuliyo nayo leo. Mkutano huo uliitishwa na Otto von Bismarck ili kuigawa Afrika miongoni mwa mataifa ya...
LEO NI IMETIMIA MIAKA 36 TOKA KIFO CHA BOB MARLEY.
Alikuwa msanii wa reggae na mwanaharakati aliimba siasa na nyimbo za kutetea watu weusi JAMAICA mpaka serikali yake kumsaka vibaya na kukimbilia...
ABDALLAH TAMBAZA NA MOHAMED SAID PAMOJA NUSU KARNE NA KUMBUKUMBU YA SHAMA
Alhamdulilah.
Picha ya kwanza kushoto ni Abdallah Tambaza na huyo mwingine ni mimi.
Hapo ni Jamhuri Park Nairobi katika...
Sio tu Tanzania, ni kanisa la kwanza Afrika Mashariki.
HOLY GHOST CHURCH
KANISA KATOLIKI
BAGAMOYO, TANZANIA
LILIJENGWA 1872
Wakiongozwa na Sultan Majidd binafsi, Waislamu wa Bagamoyo...
Huyu Jamaa alikuwa Anakubalika sana na watu, Maana wakati wa kipindi cha kwanza cha uraisi wa Clinton, Bunge la Marekani, lilikuwa linamilikiwa na Republican. Hata hivyo, Clinton alimshinda...
This is where they sat in 1884(Berlin) and divided Akebulan (Africa) among themselves without inviting a single African. They destroyed our heritage and made us become beggars of foreign aid.
The...
Watu wengi huamaini kuwa nchi za kiislamu huwa haziwaheshimu wanawake na haziwezi kutawaliwa na wanawake. Hata hivyo miaka ya hivi karibuni imeonakana kuwa hilo siyo kweli kwani kule Pakistani...
Majeshi ya Libya yaelemewa na JWTZ nchini Uganda.
#Sehemu #ya - 20.
Toleo lililopita tuliona jinsi askari wa Libya walivyo elemewa nchini Uganda na namna wengine walivyouawa na wengine...
KIPINDI MAALUM KUHUSU HARAKATI ZA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA 1954 - 1961
Swahili Villa on line TV ya Washington DC wamefanya Kipindi Maalum na Mwanahistoria Mohamed Said kuhusu harakati za...
TANZANIA THE STORY OF JULIUS NYERERE
From the pages of Drum
Picha ya kushoto ni mswada alionipa Jim Bailey mmiliki wa jarida la Drum kuhariri na kutafuta mchapaji yaani "publisher. "...
Tukio hili limetokea miaka ya 1970's wakati wa mchakato wa Ujenzi wa Reli ya Tazara inayounganisha nchi za Tanzania na Zambia.
Mradi huo wa kimkakati ulifadhiliwa na na Serikali ya China...
WATU MASHUHURI KATIKA UHURU WA TANGANYIKA
Vitabu hivi vina historia ya kusisimua ya wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika katika chama cha TANU lakini historia imewasahau.
Ukianza kufungua...
Zaidi ya miaka elfu 7 iliyopita, eneo tambarare la jangwa la Atacama lilikuwa linakaliwa na kikundi cha wavuvi ambao walitengeneza teknolojia ambayo leo dunia inaitamani .
Inahusu "utamaduni wa...
KUMBUKUMBU ZA PROF. KIGHOMA MALIMA NA SHEIKH IBRAHIM MAVUMBI WA TABORA UCHAGUZI WA 1995
Radio ya gari yangu siku zote wakati wote ninapokuwa naendesha kituo changu ninachosikiliza ni TBC Taifa...
Siku kama ya leo miaka 60 iliyopita Kwa mara ya kwanza Gari aina ya Volvo PV444 na Nyambizi iliyoitwa Hayen III ziligongana.
Ajali hii ilitokea Mjini Liskill huko Sweden, mwaka 1960, hii ilikuwa...
Hii ilikuwa ni mwaka 1961 August 13
Askari wa Ujerumani Mashariki aliyeitwa Berlio akifanya kinyume na maagizo Directly na kumsaidia mtoto kutengana na familia yake kwa kuvuka ukuta wa Berlin.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.