Kabla ya ujio wa wakoloni wahenga walikua wawindaji. Wenye nguvu waliwinda wanyama na wengine wakitembea kutafuta mizizi na matunda. Matunda ya asili yalikua ni pamoja na matango.
Wawindaji...
Tujumike kutizama ni wapi tulipotoka enzi mababu zetu wakati wa ukoloni,hiizi picha chini picha za jiji la mbeya kwa sasa ambazo zilipigwa miaka ya 1936-1937
[18/09, 22:27] MOHAMED SAID: Historia Ya Uhuru Wa Tanganyika |1950 - 1961 | Mohamed Said | Shemu Ya Kwanza
[18/09, 22:27] MOHAMED SAID: Tutaaza Saane na nusu Usiku Huu, LIVE usikose Sehemu ya Kwanza
Picha hiyo hapo chini ya Bi. Titi na akina mama wa Bukoba wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika nimeletewa kutoka Bukoba na mmoja wa watu ambao nawaheshimu sana katika kuhifadhi kumbukumbu...
ALIPOISHI BABA WA TAIFA BAADA YA KUACHA KAZI YA UALIMU 1955
Hapo ilipo nyumba hii ilikuwapo nyumba ya kawaida ingawa kwa wakati ule nyumba hiyo ilikuwa nyumba ya kuvutia pia.
Nyumba hiyo ilikuwa...
From Adam hadi Abraham (around 2000 years) patriachs ndio walikua watunzaji wa tumaini la injili. From Abraham hadi Yesu (around 2000 years) Abraham, Isaac, Jacob na uzao wao (Taifa la Israel la...
GREAT DISAPPOINTMENT
Great disappointment katika harakati ya Millerite ilikuwa majibu ambayo yalifuata tangazo la mhubiri wa Baptist Miller kwamba Yesu Kristo atarudi Duniani kufikia 1844, kile...
KINYOZI MWINGEREZA NA BARZA YAKE KATIKA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA
Miaka ni 1950 kuendelea hadi 1960 hapo kwenye hiki kiwanja na hilo jengo alikuwa kinyozi jina lake Muingereza.
Mwingereza...
LEO KATIKA KUMBUKUMBU KUTOKA IKULU
Naangalia picha hiyo hapo chini iliyowekwa na Ikulu kama kumbukumbu na kwa hakika imenirudisha nyuma.
Ninapogeuza shingo kuangalia nyuma mimi hupenda kuingia...
JENGO LA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA
Lango kuu la kuingia jengo la Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) lililojengwa katika miaka ya mwanzoni miaka ya 1930...
NGOME NDOGO ALIYOJENGA HERMANN VON WISSMAN BAGAMOYO
Kiasi cha miaka 10 iliyopita nilifika kwenye hii ngome ndogo aliyojenga Hermann von Wissman wakati jeshi lake lenye askari wa Kinubi na Kizulu...
MTOTO WA GEREZANI ANAGOMBEA UBUNGE CANADA
Originally a native of Tanzania, I immigrated to Canada settling in Ottawa where I graduated from Ridgemont High School, followed by attending the SUNY...
OFISI YA EAST AFRICAN MUSLIM WELFARE SOCIETY (EAMWS) DAR ES SALAAM
Hilo jengo hapo chini ndipo ilipokuwa ofisi ya East African Muslim Welfare Society (EAMWS)kabla ya kupigwa marufuku na serikali...
Kwa wale waliosoma History huyu ndiye Luteni Zachariah Hans Pope wa JWTZ alieshiriki Ktk jaribio la mapinduzi ya kumpindua baba wa Taifa mwl JK Nyerere 1982 akishirikiana na kina kapteni Eugene...
Mwenye kufahamu vyema historia ya mwafrika mwenzetu anayetajwa kama mtumwa jeuri naomba atujuze hapa jamvini.
Nawasilisha.
=====
KUNTA KINTE NA SIMULIZI YA UTUMWA WAKE HUKO AMERIKA
KUNTA...
Mimi napenda kujua kwa mwenye habari zinazohusu kesi ya uhain ktk miaka ya tisini na kifo cha komando tamimu kilitoke vp mwenye kujua aniabarishe hapa jamvin
Wengi huita siku ya MaShambulio ya al-Qaida dhidi ya Marekani, Mashambulio ambayo yalichukua takribani uhai wa watu zaidi ya 3000.
Kulitokea mashambulio Manne ambayo yalitumia ndege Nne...
Ni vizuri viongozi wa Tanzania (na viongozi wa Afrika) wakayajua Majina haya Matakatifu ya kwenye Biblia: Adonai YAHWEH na Adonai Yahushua Masiha. Labda hii itawasaidia wawe viongozi bora.
Ni...
Mtaa wa Congo upo Kariakoo Jijini Dar es Salaam Mtaa huu umekuwa Maarufu sana kwa Wingi wa Watu toka Mwaka 1920 mpaka leo.
Je, UMAARUFU wa Mtaa huo ni NINI?
Kwanini Muda wote una Watu Wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.