DUKA LA MAFUTA YA TAA LA MAMA MARIA NYERERE KARIAKOO NA MAGOMENI 1955
Duka la kwanza la Mama Maria Nyerere lilikuwa Mtaa wa Livingstone na Mchikichi kisha Mama Maria akafunga duka hili la...
UCHAGUZI WA RAIS WA TAA: ABDUL SYKES NA JULIUS NYERERE UKUMBI WA ARNAUTOGLO 1953
Kumekuwa na mwamko mpya wa kutaka kuijua historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
Wadau wengine wa historia ya...
ABDULWAHID KLEIST SYKES ANAMKABIDHI JULIUS KAMBARAGE NYERERE CHAMA CHA TANU 1954
''Chama cha TANU kama vuguvugu la siasa kilikuwa katika fikra za Abdulwahid kwa miaka mingi na alijitahidi sana...
SIASA ZA WAZI KUDAI UHURU WA TANGANYIKA 1950
Mtangazaji Khalid Gangana kalipenda neno, "Wazimu," na kalitumia kwenye kipindi hiki.
Neno hili mimi nimelichukua kutoka kwa Dr. Harith Ghassany...
MSHUME KIYATE ALIKUWA NA UHUSIANO GANI NA JULIUS NYERERE?
Wadau wa historia ya uhuru wa Tanganyika wanataka kufahamu Mzee Mshume alikuwa na uhusiano gani na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage...
ALIPOISHI BABA WA TAIFA BAADA YA KUACHA KAZI YA UALIMU 1955
Hapo ilipo nyumba hii ilikuwapo nyumba ya kawaida ingawa kwa wakati ule nyumba hiyo ilikuwa nyumba ya kuvutia pia.
Nyumba hiyo ilikuwa...
Habari za Wikendi wanaJamvi.
Bado inawaumiza vichwa sana wana Historia na wanaanthropolojia hawa watu walifikaje India kwenye visiwa vya Andaman na Nicobar? Nadharia tofauti zinadai hawa watu wa...
MATAYARISHO YA NYERERE DAY 2021
Tukielekea Nyerere Day 2021 wadau wa historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika na kwa hakika ndiyo historia ya Mwalimu Nyerere wamekuwa wakinihoji mengi kuhusu maisha...
Kibao cha Ouija
Kwa kipindi cha karne na karne binadamu wamekuwa na shauku kubwa ya kuongea na wapendwa wao waliokufa au aina nyingine za roho.
Hali hiyo ilipelekea kuvumbuliwa kwa kibao (OUIJA...
ALLY SYKES, JULIUS NYERERE, ALLY MWINYI TAMBWE NA BI. MAIDA SPRINGER MOSHI 1957
Kutoka mswada wa Ally Sykes, ''Under the Shadow of British Colonialism The Autobiography of Ally Kleist Sykes.''...
HAVE YOU EVER READ THIS? LET'S KNOW WHERE OUR MEN STARTED FROM
The history of the Tanzania Peoples Defense Force (TPDF) stretches back to when the Germans ruled the area known then as German East...
ZAIDI YA MIAKA 50 ILIYOPITA
Shule ni St. Joseph's Convent School.
Mwaka wa 1967.
Darasa Form 1D.
Class Teacher Mrs. De Souza.
Darasa hili mchanganyiko Wasichana na Wavulana.
Form 1C Wasichana...
Bwana Yesu Kristo (Adonai Yahushua Masiha) alizaliwa during the Feast of Tabernacles.
Hii ni hakika na kweli kabisa kabisa.
The biblical Feast of Tabernacles starts from the 15th day of the...
JOHN LIMO WA TPC NA CHAKI WA COSMOPOLITAN
Picha ya kwanza ni ya John Limo na picha ya pili ni ya Chaki mbae katika miaka ya 1960 alikuwa golikipa wa Cosmopolitan na Timu ya Taifa na aliacha...
Waarabu wa kale waliweza kuchonga miamba na kuifanya makazi, waliweka milango na madirisha kujikinga na baridi pia wanyama wakali hata wezi.
Walikwenda mbali zaidi katika mazingira ya Zama za Mawe.
MAZUNGUMZO MAFUPI NA KITUKUU CHA ABUSHIRI BIN SALIM AL HARITH
Leo jioni nimeingia katika duka moja.
Baada ya salaam kijana aliyekuwa pale dukani nyuma ya counter akanishukuru kwa kumwandika babu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.