Hawa ni watu ambao walikuwa wakipatikana katika msitu wa Kongo, walikuwa na utamaduni wa kuchonga vichwa na kuwa virefu kama status ya familia inayojulikana kama ‘Lipombo’, lakini baadaye iligeuka...
NILIVYOKUTANA NA MZEE SUED KAGASHEKI KATIKA MAZUNGUMZO NA DOSSA AZIZ 1980s
Mmoja katika marafiki zangu ameniletea picha kadhaa za wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika Kanda ya Ziwa, Bukoba...
[emoji117]Mwaka 1958 alichapisha kitabu kilichopata umaarufu mkubwa duniani kote kikitafsiriwa kwa lugha zaidi ya hamsini. Kitabu hiko kiliuza takribani nakala milioni 15 huku kikitumika...
MATAYARISHO YA NYERERE DAY NA HAMZA KASSONGO ON SUNDAY
Hamza Kassongo amenihoji historia ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na jinsi alivyoishi na marafiki zake aliojuananao siku...
Nyumba ilikua na basement au sakafu ya chini. Hii ilikua na wine seller , jiko la familia, chumba cha baridi kwa kuhifadhia nyama, vyoo na mabafu ya wafanya kazi dining ya wafanya kazi pamoja na...
Inasemekana kuwa kuhamisha watu waishi kwenye vijiji vya ujamaa ndiyo uhamishaji wa watu mkubwa zaidi kuwahi kutokea Africa. Inasemwa kuwa katika miaka minne, toka 1974 hadi 1977 watu milioni 11...
THE ONE AND ONLY HAJI SUNDAY MANARA
Nimemjua Haji bado mtoto mdogo Mtaa wa Bonde karibu na Msikiti wa Sheikh Idrissa bin Saad.
Baba yake Sunday "Computer," Manara rafiki yangu na sote...
Mtoto wa chifu aliyekuwa na Wake 22, akaanza shule akiwa na miaka 12 akahitimu kama Tanganyika One(T.O). Akasoma Tabora Boys, Makerere na Edinburgh huko Scotland. Akafundisha Pugu na Mkapa alikuwa...
Serikali changa ya mwalimu Julias Kambarage Nyerere ilikabiliwa na changamoto nyingi sana. Mwalimu aliwahi kuainisha mojawapo ya changamoto kuu: Ujinga, Magonjwa, na Umaskini. Hata hivyo mnamo...
JEAN BEDEL BOKASSA
To the French who’d once ruled the Central African Republic, Colonel Jean Bedel Bokassa must at first have seemed a good bet. For it was soon clear, after he seized power in...
INaMurtadha Ridhwanifar, msomi wa masuala ya utamaduni nchini Iran amefanya safari Afrika Mashariki kufanya utafiti
Msomi hiyo ni mjumbe wa Kituo cha Utafiti cha Shrika la Utamaduni na Utalii la...
Salim Msoma kwangu alikuwa kaka, rafiki na pia mwalimu wangu lau kama hili la mwisho naamini hakulijua.
Mimi na yeye tulikuwa tukiandikiana faragha na tukisomana sana katika makala zetu...
WanaJF,
Mfahamu Dr. Sebi: Mwafrika Aliyetibu Ukimwi Wazungu Wakamla Kichwa!
Alfredo Bowman maarufu kama Dr. Sebi, hakutibu ukimwi tu, alitibu hadi kansa na kisukari biashara za watu...
The story of Salim bin Khalfan, Liwali of Mombasa (1884 - 1912)
In the picture, he is seated at the centre.
it's important to note that the Omanis ruled Mombasa from 1698 and had their...
AHMAD RASHAD ALLY OFISINI KWA JOMO KENYATTA NAIROBI 1963
Nimeeleza kuwa Ahmad Rashad alikuwapo siku Abdul Sykes alipokutana na Jomo Kenyatta Nairobi 1950.
Mzee Ahmad Rashad ana historia ndefu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.