CHIEF DAVID KIDAHA MAKWAIA NA DR. WBK MWANJISI KATIKA WASIFU WA JULIUS NYERERE
Siku moja rafiki yangu Edward Makwaia tulikuwa tunasoma darasa moja St. Joseph’s Convent School Dar es Salaam...
BIBI Titi Mohammed alizaliwa juni mwaka 1926, Dar es salaam, katika harakati zake za kuwakomboa wanawake ,Bibi Titi alikaririwa siku moja akisema; " Dhumuni langu kubwa ni kuhakikisha naamsha...
Inasemekana kabla hata ya Yesu waafrika walikuwa wamefika bara la Amerika na kuanzisha ustaarabu huko ulioitwa olmecs. Hawa ndiyo waliwafundisha watu wa Amerika kujenga mapiramidi na kuchonga...
Pesse canoe, Uholanzi. Miaka 10,000 iliyopita. Urefu mita tatu upana cm 44.
Dafuna Canoe, Nigeria.Miaka 8000 iliyopita.
Hii waliikuta chini kama mita 5 mchangani huko Nigeria. Urefu mita 8...
Na.Mohamed Said
MANGI MKUU THOMAS MAREALLE KATIKA NYARAKA ZA SYKES
Kuna vijana naamini wamehamasika kutafiti na kuandika upya historia ya uhuru wa Tanganyika na kwa kweli nawapongeza na nawatakia...
SIMULIZI NDEFU ZA KUVUTIA ZA PROF. ABDULAZIZ LODHI, KTK MAHOJIANO MAREFU NA MTAYARISHAJI WA KIPINDI CHA GUMZO LA GHASSANI
Mzalendo mzanzibari Profesa Abdulaziz Lodhi, bingwa wa taaluma za...
Bibi Titi Mohammed alizaliwa mnamo 1926 jijini Dar es saalam na alipoteza maisha tarehe 5 Novemba 2000 alikuwa mmoja wa wanawake wa kwanza mzalendo kushika nafasi za ubunge na uwaziri nchini...
JUMAMOSI Agosti 1, 1970 Mahakama Kuu ya Tanzania iliambiwa na mkurugenzi wa mashitaka jinsi Bibi Titi Mohamed alivyogharamia mapinduzi ya kumuua Julius Nyerere na kuiangusha serikali yake...
Jee ni kweli Mohamed Iqbal Dar, mwenye asili ya kihindi, aliyekuwa akiishi Tanga, mnamo mwaka 1964 ndiye aliipa nchi yetu jina zuri la "Tanzania".
Kama ni kweli huyu mtu yuko wapi kwa sasa?
Na...
AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA (UMOJA WA WAISLAM WA TANGANYIKA) 1930s
Picha hiyo hapo chini inawaonyesha Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) wakiwa...
MWANZO MEDIA: MATENGENEZO YA KIPINDI MAALUM KUHUSU MAISHA YA BI. TITI MOHAMED (1926 - 2000)
Mwanzo Media wamenihoji kuhusu maisha ya Bi. Titi Mohamed.
Huu ni upepo mpya kuona kumekuwa na mwamko...
BI. TITI MOHAMED (1926 - 2000)HANA MFANOWE
Historia ya Bi. Titi haijaandikwa.
Naamini ni watu wachache sana wanajua kuwa Bi. Titi Mohamed amepanda jukwaani kuhutubia mkutano wa TANU Viwanja Vya...
Ndugu yangu Kheri katufanyia hisani kubwa sana.
Kaniletea picha hizi za Kariakoo Market na aliyepiga picha hizi kaweka na tarehe mwaka wa 1955.
Huu ndiyo mwaka TANU ilimsafirisha Mwalimu Nyerere...
Pichani ni kabila la Mumuila kutoka nchini Angola Kabila hili lina urembo wa aina yake na wa kipekee haswa.
Wanawake katika kabila hili husiliba nywele zao na aina fulani ya msago wa rangi...
MOHAMED SAID: HAMZA KASSONGO ON SUNDAY NYERERE DAY 2
Namzungumza Mama Maria Nyerere na juhudi zake za kusaidia familia yake kujikimu baada ya Mwalimu Nyerere kuacha kazi na kuwa mtumishi wa TANU.
NYERERE DAY: TUWAKUMBUKE MASHUJAA HAWA WAWILI KWA PAMOJA ABDULWAHID KLEIST SYKES NA JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Leo tarehe 13 Oktoba ndiyo siku aliyozikwa Abdul Sykes siku ya Jumapili mwaka wa 1968...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.