Zeppelin ni meli ndege iliyopewa jina la mbunifu aliyeiunda aliitwa Count Ferdinand von Zeppelin. Zeppelin ilileta mabadiliko makubwa katika usafirishaji wa mizigo kwa njia ya anga.
MWANAMKE MWANAMAPINDUZI
Hiki ni kitabu kinachohusu maisha ya Biubwa Amour Zahor kilichoandikwa na Zuhura Yunus.
Kitabu hiki kinahusu maisha yake Bi. Ubwa akiwa msichana mdogKio wa Kiarabu katika...
KITABU CHA BIUBWA: KARUME, BIUBWA NA BARUA YA ENGEN
Kitabu "Mwanamke Mwanamapinduzi," kinachohadithia maisha ya Biubwa Amour Zahor ni, "thriller," katika viwango vya James Bond.
Zuhura Yunus...
KITABU CHA BIUBWA: KARUME, BIUBWA NA BARUA YA ENGEN
Kitabu "Mwanamke Mwanamapinduzi," kinachohadithia maisha ya Biubwa Amour Zahor ni, "thriller," katika viwango vya James Bond.
Zuhura Yunus...
[emoji117]Ruby Bridges alizaliwa mnamo mwaka 1954 akiwa na umri wa miaka 6 alikuwa mtoto wa kwanza marekani mwenye asili ya Afrika alisoma katika shule mchanganyiko na wazungu.
[emoji117]Mtoto...
Huyu ni mmoja kati ya watu wachache wenye uwezo mkubwa kuwahi kutokea duniani.
Kazaliwa 15April 1452 na kufariki 2May 1519. Huyu jamaa hakuwahi kanyaga shule ila alijaliwa kila aina ya kipaji...
Mkataba huu ulitiwa sahihi miaka mitano baada ya kifo cha Archduke Franz Fernand aliyekua mrithi wa Ufalme wa Hungary, Bosnia na Austria, hii ilikua falme moja kabla ya mgawanyiko.
Sababu ya...
BI. TITI MOHAMED ALIVYONIKUTANISHA NA ISMAILI BAYUMI
Tuwekeni kumbukumbu kwani kumbukumbu ikihifadhiwa hukumbusha.
Leo ni siku yangu ya furaha kubwa sana.
Nimekuwa nikiitafuta picha ya marehemu...
KUMBUKUMBU YA UHURU WA TANGANYIKA 9 DESEMBA 1961 2
KISA CHA FUNDI MUASHI, FUNDI CHERAHANI NA WASOMI WA CHUO KIKUU CHA MAKERERE 1955 SEHEMU YA KWANZA
Katika sehemu ya kwanza tumeoa jinsi wananchi...
Thomas sankara alikua ni raisi wa Burknafaso kati ya miaka ya 1983 hadi 1987
Haya ni moja ya machache yaliyo fanywa na Thomas Sankara enzi za uongozi wake[emoji116]
[emoji117]Aliuza Mercedes Benz...
Naeleza mazishi yalivyokuwa kuanzia dakika ya 7.
Labda unaweza kujifunza kitu kitokana na historia hii ambayo kwa hakika ni historia ya watu wa Dar-es-Salaam na utamaduni wao na vipi historia hii...
Naomba msaada kutoka mtu anayejua vizuri historia ya Zanzibar. Abdulrazak Gurnah aliyeshinda Tuzo la Nobel la Fasihi alizaliwa 1948 akaondoka kwenda Uingereza alipokuwa na umri wa miaka 18...
MASJID RAWDHA NA SOKO MJINGA KISUTU
Masjid Rawdha ni huo msikiti kushoto ambao zamani ulikuwa ukijulikana kama Masjid Badawy na hili ndilo jina nililolikuta mimi wakati napata akili.
Kulia ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.