Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Mfahamu Jenerali James Kabarebe Kwa Ufupi • In 1990, Kabarebe became aide-de-camp to Kagame — later becoming Commander of the High Command Unit at Mulindi, and head the Republican Guard. • In...
7 Reactions
57 Replies
9K Views
Habar JF siasa. Wilayani Kahama kuna shule ya secondary inaitwa ABDULRAHIM BUSOKA. Shule hii ina kidato cha kwanza hadi sita. Ni wazi hili ni jina la Mtu. Sijajua huyu Abdulrahim Busoka ana...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
UKUTA MKUU WA CHINA 中国的万里长城 THE GREAT WALL OF CHINA Kimetungwa na Luo Zhewen (罗哲文)na Zhao Luo (赵洛) Kimetafsiriwa na Tumaini UTANGULIZI Kwa wageni, “Ukuta Mkuu” hutajwa pamoja na China...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MAZUNGUMZO NA MAGGID MJENGWA WASIFU WA JULIUS NYERERE: PROF. HAROUB OTHMAN NA PROF. AHMED MOHIDDIN Prof. Haroub Othman naamini ndiye mtu aliyetaka sana uandikwe wasifu wa Mwalimu Julius Nyerere...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
MAZUNGUMZO YANGU NA MAGGID MJENGWA WASIFU WA JULIUS NYERERE: KWAYA YA TANU YA RAJAB MATIMBWA NA WENZAKE Ukishughulishwa na maisha ya Mwalimu Nyerere peke yake ukawasahu wale aliokuwanao kuna...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
BARAZA LA WAZEE WA TANU 1954 - 1963 Mara tu baada ya kuundwa kwa TANU mwaka wa 1954 Baraza la Wazee wa TANU liliundwa katika makao makuu, New Stret Dar es Salaam. Baraza hili lilikuwa na...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Wenye viwanda walitangaza kazi na watu kutoka vijijini walihamia katika miji yenye viwanda. Nyumba zilikua na umeme lakini vyoo na bomba la maji vilikua nje. Kulikua na mabafu ya kulipia na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kauli ya kuwa Julius Nyerere aliwaambia, "Wavunje chama chao," Mzee Msekwa kamkusudia Abdul Sykes lakini kukosa ujasiri wa kulitaja jina la Abdul kwani jina hili kutajwa na kuhusishwa na TANU...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu natumai wote ni wazima wa afya. Kama title inavyojieleza hapo, katika anga za kimataifa kwasasa habari zinazovuma ni huu mzozo uliopo kati ya Ethiopia na Tigray. Basi kwa anae jua naomba...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
WASIFU WA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE Ndugu Mohamed, Salaam kutoka Dar es Salaam. Tunatumai uko mzima. Tuna furaha kukujulisha kuwa kile kitabu cha wasifu wa Mwalimu Nyerere...
5 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini za Jumatatu wakuu, natumaini mpo wazma wa afya na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku; Naomba niwatakie afya njema wote hasa wale wagonjwa mpate nafuu. Kama ilivyo Kawaida yangu ya...
7 Reactions
23 Replies
5K Views
Ilikuwa ni Oktoba 28, 1958 mjini North Carolina US ambapo watoto wa kiume wawili wenye asili ya Afrika David Simpson (na Hanover Thompson (9) raia wa Monroe walipewa kesi kwa kumtazama tuu binti...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Jina lake kamili anaitwa 'Shaka kaSenzangakhona' alikua maarufu kwa jina la 'Shaka Zulu'. Alizaliwa mwaka 1787 huko Kwazulu-Natal Afrika Kusini na kufariki mwaka 1828 akiwa na miaka 41. Alikuwa...
2 Reactions
65 Replies
16K Views
Unamjua mtu anaitwa Kanali Seif Bakari? Huyu ndie alikuwa kitendea kazi mhimu cha Mzee Karume katika utawala wake. Mathalani, Kiburi cha madaraka kilipokolea, Karume alianza kuwa mwiba kwa Mwl...
14 Reactions
39 Replies
9K Views
''Nashukuru nimemwona Abdul Sykes vizuri katika picha hizi. Sikubahatika kumuona akiwa hai alikuwa na ukaribu sana na baba yetu mdogo Mzee Mrisho kuliko ndugu zake. Wao walizoeana sana kila...
13 Reactions
23 Replies
5K Views
Rais wa zamani wa Marekani, George Herbert Walker Bush Alifariki nyumbani kwake huko Houston, katika jimbo la Texas. Alikuwa na umri wa miaka 94. Alikuwa rais wa 41 wa Marekani, Mrepublican...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
TAA HAKIKUWA CHAMA CHA KUSHUGHULIKA NA MASLAHI YA WAFANYAKAZI WAAFRIKA WA TANGANYIKA Abdul Sykes alikuwa na fikra ya kuunda chama cha siasa toka yuko Burma wakati wa Vita Vya Pili Vya Dunia (1939...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…