THE MAN WHO USED TO URINATE ON MY HEAD WHEN I WAS IN THE PRISON
Nelson Mandela: "After I became president, I asked some members of my close protection to stroll with me in the city and have lunch...
Lugha ya Kiswahili imeanza takriban miaka 1000 iliyopita kwenye pwani ya Afrika ya Mashariki. Neno Swahili lina asili ya Kiarabu: Sahil ina maana ya pwani; sawahil ’’ a-sawāhilī’’ ni wingi wake...
PAUL KAGAME WA RWANDA
Kagame alikulia mafichoni nchini Uganda , ambapo wazazi wake walikuwa wamemchukua akiwa mdogo wakati wa ghasia za watu wa kabila la Hutu na Tutsi ziliposambaa kabla ya taifa...
Alifanya sherehe, aligharamia chakula na kununua zawadi. Wajakazi wake wote walipata zawadi. Mama aliyeleta mpira wenye marashi alipewa £488 na aliyeimba shairi alipewa £2,400.
Pesa aliyotumia...
Camilo akiwa na Che Guevara
Hapa akiwa na Castro
Jina lake kamili ni Camilo Cienfuegos Gorriaran alizaliwa February 6, 1932 huko Havana, Cuba.
Alikuwa ni Mwanamapinduzi aliyepambana mstari...
Hiki kitabu ninakisoma hivi sasa.
Bado sijakimaliza lakini nimejifunza mengi katika historia ya Makomredi wa Zanzibar na ushawishi wa Abdulrahman Babu katika fikra za siasa za mrengo wa kushoto...
Historia ya TAA kama ilivyoelezwa na CCM hapo juu inahitaji kusahihishwa.
Naweka hapo chini kipande kutoka makala niliyoandika mwaka wa 2019 kusahihisha makala ya Mzee Pius Msekwa kuhusu...
Kwa waliowengi wanalijua hili neno la “Buffalo Solders” kutokana na Wimbo wa Bob Marley. Ukweli ni kwamba neno hili lina historia kubwa sana katka kuelezea histori ya Waafrika- Waamerika. kwa...
MAY DAY TUWAKUMBUKE WAFANYAKAZI WA TANGANYIKA YA MKOLONI
Toka jana nilikuwa nawaza niandike nini kuhusu May Day na Wafanyakazi.
Ikawa nimekwama.
Siku hizi kuna Kiswahili vijana wanasema, ''mara...
JamiiForums ni tovuti ya mtandao wa kijamii iliyoko nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 2006.
Na Mwanzilishi wake Maxence Melo Mtandao huo ni jukwaa maarufu mtandaoni.
Ukurasa wa kwanza wa...
Habari ya uzima WanaJF; pole kwa wagonjwa na walio na afya muendelee kuwa afya njema zaidi. Kama ilivyo Kawaida yangu kuleta nyuzi au makala za kuongezeana maarifa kwenye mambo mbalimbali. Hivyo...
Sylvia Kinigi ndie mwanamke wa kwanza kuwa Waziri Mkuu nchini Burundi na kwa Afrika Mashariki. Na 1993-1994 akapata kuwa acting president wa Jamhuri ya Burundi.
Mama Samia Suluhu Hassan, anapata...
DARSA LA TAFSIR YA QUR'AN LA SHEIKH ABDALLAH IDDI CHAREMBO MWEZI WA RAMADHANI MSIKITI WA MTORO MIAKA YA 1970
Hukaa nikaangalia nyuma na ''nostalgia'' yaani simanzi.
Naangalia ujana wangu...
“Mgeni Wa Mvua Hafukuzwi, Mwache Aweke Mzigo Wake”
Na; Norbert Mporoto
Tanzania.
28042021
Baruapepe: uhurunifikra9406@hotmail.com
Ilikuwa siku ya mwaka mpya kijijini Rani, katika mji wa King...
MUNANKA ROAD BUNJU
Nimeuona mtaa huo hapo chini wa Munanka Bunju.
Naingia Maktaba kumtafuta Bhoke Munanka.
Bhoke Munanka nimekutananae wakati natafiti maisha ya Ali Migeyo.
Katika kitabu cha...
JAPHET KIRILO MTANGANYIKA WA KWANZA KUZUNGUMZA UNO 1952
Katika makala ya nyuma nimemtaja Japhet Kirilo na kuna msomaji kaniandikia na kunieleza kuwa ningemtaja Kirilo kwa sifa ya ushujaa...
Sunanda Kumariratara alikuwa ni malkia wa Thailand alikufa kwa kuzama maji baharini. Wasaidizi aliokuwa nao hawakumuokoa kwasababu kumshika malkia ilikuwa ni kosa na adhabu yake ni kifo!
Sent...
HILI NI JUMA ZIMA LA VITABU DUNIANI 5
''Rajabu Ibrahim Kirama Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam''
Mwandishi: Mohamed Said
Mchapaji: Readit Books Ltd Dar-es-Salaam
Ukoo wa Rajabu Ibrahim...
Wazee wenzangu tujikumbushe maneno ya wimbo ambayo ndio uliokuwa ukiimbwa hapa Tanganyika
GOD SAVE OUR GRACIOUS QUEEN
LONG LIVE OUR NOBLE QUEEN,
GOD SAVE THE QUEEN.
SEND HER VICTORIOUS HAPPY AND...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.