Leo hii ni kumbukizi ya kifo cha aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania na kipenzi cha watanzania mh Edward Moringe Sokoine kilichotokea 12.04.1984.
Marehemu alipata ajali ya gari akiwa njiani kutokea...
We have to learn this Philosopher who make critical thinking to make choice between White colour job at St. Francis and Politics.
After he made a critical thinking he come up with a conclusion...
Nyelwa Kisenge alikuwa DC huko Mbulu miaka ya 1980s, alikuwa DC mkali na mchapakazi sana. Alikuwa pia mfuatiliaji sana na aliibadilisha sana Mbulu. Miaka hiyo kulitokea ugonjwa wa Tauni na...
William Henry Harrison alihudumu kwa muda wa siku 31 pekee, mwaka 1841.
Mfahamu kidogo
William Henry Harrison (9 Februari 1773 – 4 Aprili 1841) alikuwa Rais wa tisa wa Marekani kwa mwezi mmoja...
UANDISHI WA HISTORIA YA UZALENDO TANZANIA
Somo la historia ya Tanzania litaanza kufundishwa katika shule za msingi kuanzia Machi, 2021 baada ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kukamilisha...
Mwanamfalme Philip, Mtawala wa Edinburgh, aliheshimiwa na wengi kwa sababu ya kujitolea kwake kikamilifu kumuunga mkono Malkia wa Uingereza katika shughuli zake nyingi.
Huo ulikuwa wajibu mgumu...
JOHN INNISS MSWAHILI WA NEW YORK
Nimemfahamu John Inniss miaka ya 1980 mwishoni kwa kutambulishwa na Bi. Riziki Shahari miaka hiyo yeye mwanafunzi Columbia University, New York ambako ndiko...
Nawauliza wazee wangu mliokuwa na ufahamu wakati nchi inaingia kwenye vita vya Kagera. Je, kulikuwepo na ulazima wa kuingiza nchi kwenye vita ya Uganda ambayo tangu wakati huo mpaka sasa madhara...
Chagos ni visiwa visivyojulikana sana ambavyo vipo katikati ya Bahari ya Hindi. Kwa miaka 150, vilikuwa sehemu ya nchi ya Mauritius iliyotawaliwa na Uingereza. Hata hivyo, miaka kadhaa kabla ya...
Malcolm X alizaliwa kama Malcolm Little Mei 19, 1925 huko Omaha, Nebraska. Baba yake, Earl Little alikuwa mchungaji asiyeogopa kusema ukweli, na pia alikuwa msaada mkubwa sana wa kiongozi wa...
KARUME DAY NA TBC
Leo nimetembelewa na TBC ili tufanye kipindi kuhusu Mzee Abeid Amani Karume.
Mtangazaji Bakari Msuya kaniuliza maswali mengi.
Nimemweleza Mzee Karume nikianza na uhusiano wake...
Leo ni miaka 56 tangu Mwanaharakati Mr.El Hajj Shabazz maarufu kama Malcolm Little daima tutakukumbuka kwa Mengi aliyoyafanya japo tumeyakuta kwenye historia.
Endelea kupumzika kwa Amani MALCOLM...
AZAM TV KARUME DAY: ABEID AMANI KARUME - "THE MASTERMIND" MAHOJIANO NA IRENE KILENGA 2015
Picha hiyo hapo chini ya Mzee Abeid Amani Karume ilipigwa Dar es Salaam mwaka 1948.
Kushoto waliokaa ni...
Darius Philip alizaliwa Tanganyika, wazazi wake walivutiwa na utawalawa wa British East Africa Empire na kusikia Tanganyika kuna ardhi kubwa walihamia miaka ya 1940 na kufanya kilimo cha biashara...
KITENDAWILI CHA PICHA YA WAASISI WA TANU 7 JULAI, 1954: "NOW YOU SEE HIM NOW YOU DONT"
Nimepokea ujumbe huo hapo chini:
Asalam Aleikum Warahmatullah Wabarkatuh,
Poleni kwa msiba, wanasema hiyo...
Mwaka 2021, Tanzania inaomboleza kifo cha kiongozi wake wa nchi aliyefariki akiwa madarakani, John Pombe Magufuli aliyefariki kwa ugonjwa wa moyo.
Hii hapa orodha ya Wakuu wengine wa nchi za...
HADITHI YA PASAKA
KISA CHA YAHUDI JUDAH BEN HUR NA MRUMI MESSALA KATIKA MOVIE ‘’BEN HUR’’ THE STORY OF CHRIST
Mwandishi wa kitabu Ben Hur Lew Wallace alikuwa askari wa cheo cha juu katika jeshi...
Taj Mahal (Kiajemi تاج محل - tāj-maḥal, taji la mahali) ni jengo zuri la kaburi lenye umbo la msikiti mjini Agra (Uhindi). Mara nyingi huhesabiwa kati ya majengo mazuri duniani.
Taj Mahal.
Taj...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.