Utangulizi
HISTORIA MPYA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA
Utangulizi
Nami nasubiri patulie In Shaa Allah nataka niandike jinsi Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alivyochaguliwa...
Ndilo jina la mama mzazi wa pilot alieipiga miji ya Hiroshima na Nagasaki mwaka1945.
Alipopewa heshima ya kupendekeza jina la ndege ile iitweje alichukua maka pen akaenda kuandikwa enola Gay ndio...
TUTEMBEE KATIKA BARABARA YA KUMBUKUMBU...VINGINEVYO ITAOTA MAJANI
Siasa za kikoloni zilikuwa zikibadilika na kwa hivyo zilihitaji damu changa zenye mawazo na mbinu mpya ili kuongoza harakati za...
Kabla ya wakati wetu wa kawaida, Mwaka 399BC Socrates Mgiriki alihukumiwa kunywa kikombe cha sumu aina ya Hemlock kwa kosa la kuwafundisha vijana uasi dhidi ya dini na serikali.
Kimsingi hukumu...
GUMZO LA HARITH GHASSANI: MOHAMED SAID ANAMWELEZA ABDUL SYKES KUTOKEA BURMA INFANTRY 1945, DOCKWORKERS UNION 1949 HADI TAA 1950 NA KUUNDA CHAMA CHA TANU 1954
Baada ya Kipindi Cha Kwanza...
Ameandika Francis Daudi
Hayati Bibi Christina Mgaya wa Nyang'ombe alikuwa mke wa tano(Kati ya wake 22) wa chifu Nyerere Burito. Hayati Bi. Mgaya ndiye mama mzazi wa baba wa Taifa la Tanzania...
Nicolae Ceausescu: Swahiba wa Julius Nyerere, Rais wa Romania na mjamaa kindakindaki aliyeuawa kifo cha kumiminiwa risasi na wanajeshi (Execution by Firing Squad )
Nicolae Ceausescu akiwa...
Mtu anapoondokewa na wake akili inahangaika sana lakini mara mtu anasahau na maisha yanaendelea.
Hizi ni katika rehma za Allah vinginevyo maisha yetu yote duniani yangetawaliwa na huzuni kwa...
Habarini za asubuhi wanaJF poleni kwa wagonjwa wote na wale wazma niendelee kuwa na afya njema. Baada ya kukaa kimya kirefu bila kuleta uzi wa kuongezeana maarifa basi leo Naomba nilete uzi huu...
NAMKUMBUKA PROF. KIGHOMA MALIMA
Siku kama ya leo tarehe 5 August 1995 mida ya kama saa nne asubuhi mpwa wangu akitokea Makao Makuu ya NRA Kariakoo alinifahamisha kuwa Prof. Malima amefariki mjini...
SALIM HIMIDI KATIKA PICHA KATIKA MAZUNGUMZO
Mtu anapoondokewa na wake akili inahangaika sana lakini mara mtu anasahau na maisha yanaendelea.
Hizi ni katika rehma za Allah vinginevyo maisha yetu...
Kwanini Akina Hamza Mwapachu, Ally Sykes, Paul Rupia, Dr. Lucian Tsere, Dr. Vedast Kyaruzi na Stphen Mhando hawatajwi sana kwenye Historia ya TAA na TANU?
Wana historia wa Tanzania kuna makala...
Leonard de Vinci mdadisi wa kila kitu asilia katika historia huenda alikuwa raia wa Uturuki.
Katika makamala iliotolewa na jarida la The Guardian, mwanahistoria wa sanaa Simon Hewitt amesema...
SALIM HIMIDI KUMBUKUMBU MWAKA MMOJA
Leo imetimu mwaka mmoja toka rafiki yangu na kwa hakika rafiki ya wengi waliojaaliwa kumjua kufariki Paris alipokuwa anaishi uhamishoni toka Comoro ilipovamiwa...
Dinka ni watu gani?
Mamia ya miaka iliyopita , watu wa jamii ya ki Dinka walikuwa wakijuoikana na kuitwa Moinjung, ikiwa na maana watu wa watu. Hili ndilo kabila la watu warefu kabisa barani...
Hizi bunduki(neno la kiarabu) ulaya zilianza kutumika miaka ya 1500. Asia, Uarabuni , India na kwingineko hawakuchelewa kuanza kuzitumia. Hata wakati wazungu wanaenda kuchukua makoloni walikutana...
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2019 AKINA MAMA WAZALENDO KATIKA TANU, KWA MSAADA WA Mohamed Said NIMEJIFUNZA JAMBO KUBWA KATIKA HISTORIA YA TAIFA LETU. Moza Shillingy Omar Ahmed Sheikh Ayoub Omari Nundu...
Habari wana JF,
Hivi kuna yoyote aliwahi kuona makala (documentary) inayohusu maisha ya Muasisi wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere?
Mimi binafsi sijawahi. Ila ingekuwa fursa nzuri...
Ancient Egyptians were more closely related to people from the Middle East and Europe than those from Central Africa, according to a genetic analysis of mummies’ DNA.
A team of international...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.