Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

BURIANI BI. ZAINAB SYKES MUHIFADHI WA HAZINA YA NYARAKA ZA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Baada ya kupata taarifa ya msiba wa mama yangu Bi. Zainab Sykes baada ya mshtuko kupita...
10 Reactions
13 Replies
4K Views
NINAVYOMKUMBUKA MAALIM Kumtembelea Maalim Seif nyumbani kwake ni mfano Waingereza wangesema ‘’a walk in the park,’’ Kiswahili chake labda mtu ungesema unatoka chumbani kwako unakuja sebuleni...
26 Reactions
109 Replies
47K Views
MAALIM: "THE GREATEST OF ALL TIME" KUTOKA CUF HADI ZAMBARAU Washehereshaji wa masumbwi Muhammad Ali alipokuwa ulingoni waliongeza kibwagizo katika kumtambulisha. Baada ya kutaja jina lake...
10 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama kichwa cha Habari kinavyojielekeza Simba dume maisha yake ni ya Furaha na huzuni Kubwa sana Wanapozaliwa simba katika kaya yao na Mama zao wanalelewa wote kwa pamoja na Dada zao Wanapofikisha...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani samahanini wadau naomba kuuliza kwa wale wakali wa QADIRIYA kuna yeyote anayeijua kwa ufasaha historia ya SAYYID OTHMAN BIN MUHAMMAD NUR wa Tunduni Mchangani Zanzibar? Kama yupo tafadhali...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nyaraka nyingi na picha za historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika zipo mikononi mwa watu binafsi. Nimepata picha kutoka kwa watoto wa akina Dossa Aziz, Sheikh Abdallah Chaurembo, wanafunzi wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
JAJI MARK BOMANI KATIKA KUMBUKUMBU ZA PROF. KIGHOMA MALIMA UCHAGUZI WA RAIS DODOMA 1995 Nimesoma makala ambayo imezunguka sana katika mitandao ya kijamii kuhusu Mark Bomani katika kinyang’anyiro...
13 Reactions
31 Replies
6K Views
Ni kweli mababu zetu, ndugu zetu tumepoteza sana kwa hawa leo tuna sema wana demekrosia wana haki za binafamu wana umoja wa mataifa. Afrika ilikuwa na historia yake ila kwa wale wana siasa na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
BURIANI ASAYYID SHARIF HUSSEIN AHMAD BADAWIY Shariff Hussein Badawiy kaacha athari kubwa sana Dar es Salaam katika usomeshaji wa Qur'an Msikiti wa Badawiy (sasa Rawdha) hadi pale alipofukuzwa...
5 Reactions
5 Replies
3K Views
PLUS TV BURIANI MAALIM: WAPI MAALIM KAFANANA NA MWALIMU? Leo asubuhi Plus TV walinitembelea nyumbani kunihoji kuhusu vipi Maalim alivyojenga Demokrasia Tanzania. Kipindi cha saa nzima...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Assalam allaykum wakuu, Naomba kujua mchango wa wa-missionary katika maendeleo ya elimu Afrika.
0 Reactions
66 Replies
11K Views
Maalim Seif akizungumza na Mwandishi (haonekani kwenye picha) nyumbani kwake Dar es Salaam Mwandishi akimkabidhi Maalim Seif kitabu cha Kumbukumbu za Ali Muhsin Barwani ''Conflict and Harmony...
4 Reactions
25 Replies
5K Views
Hapo ni baadhi ya Ma Chifu wa enzi hizo. Wanaonihusu hawaonekani vizuri. Kwenye maktaba yangu nahitaji kuweka mambo sawa sasa bahati mbaya picha imechakaa. Nillipata jamaa yangu alileta kazini...
3 Reactions
21 Replies
6K Views
LEO SIKU IMETIMU NA ALLAH KADHIHIRISHA KILA KITU BURIANI MAALIM Unatafuta ushahidi wa mapenzi ya Wazanzibari kwa Maalim? Hili ndilo jibu. Hayajapata kuonekana Zanzibar maziko kama haya. Hawa...
13 Reactions
28 Replies
3K Views
VIFO VYA MABINGWA WA SIASA ZA ZANZIBAR VILIVYOPISHANA MUDA MFUPI: DKT. MUHAMMED SEIF KHATIB NA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD Nikiwa bado katika maombolezo nimeingia Maktaba kuangalia picha na makala...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama umesahau Basi nakukumbusha wachache. Alistabrus Elvis Musiba - Kufa na kupona, Njama, Kikomo Faraj Hassan Hussein Katarambula - Simu ya Kifo, Pili Pilipili. Hawa waandishi vitabu vyao...
4 Reactions
29 Replies
5K Views
HATARI KATIKA UKWELI WA HOFU: KISA CHA DEREVA WA GARI LA FARASI NA WAGENI WA COUNT DRACULA Kuna movie ilikuwa maarufu sana katika miaka ya 1960 iliyochezwa na muigizaji ambaye alijipambanua...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
KUMBUKUMBU YANGU FUPI YA MOHAMMED SEIF KHATIB Mara yangu ya kwanza kukutana na Mohammed Seif Khatib uso kwa macho ilikuwa Makka wakati wa Hijja mwaka 1998. Balozi Ramadhani Dau alinichukua...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom