AFRICAN SPORTS YA TANGA
Jana mtaani pangu nimesikia washabiki wa Wekundu wa Msimbazi, Simba Sports Club wakiwatupia madongo mazito mazito washabiki wa Yanga kwa kufungwa goli moja na African...
Miaka 3500 iliyopita katika nchi ya Misri walipata kupata ustarabu na mariifa ya hali ya juu. Karne ya 19 kuligunduliwa michoro ya ajabu katika pyramidi ukionesha sehemu za ubongo wa mwanadamu...
KALAMU YA ABDALLAH TAMBAZA INAPOOMBOLEZA HUTOA MACHOZI
SHAJARA YA MWANAMZIZIMA:
Buriani Sheikh Ahmed Haidar
Na Alhaj Abdallah Tambaza
JUMUIYA ya wanazuoni wa Kiislamu kote ulimwengu; wafuasi wa...
ENZI ZA AFRICA EVENTS
Msomaji wangu mmoja kaniandikia maneno hayo hapo chini baada ya kusoma makala yangu niliyomtaja Prof. Hamza Njozi:
"Makala ya Prof.Hamza Njozi katika jarida la Africa...
HATUA ZANGU CHACHE PEMBENI YA ABDILATIF ABDALLA, UINGEREZA, UJERUMANI NA KENYA
Abdilatif Abdallah alipokuwa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam tukionana kwa mbali labda kwa kuwa hapakuwa na kitu cha...
Habari wakuu,
Mimi ni mtu ambaye huwa napenda kujifunza mambo, nimesoma nadharia tofauti tofauti kuhusu huyu rais wa Urusi
Napenda kujua historia yake maana kuna vitu vinanichanganya sana kama...
KAGERA NI MUHAYA Turejee Historia. Wahaya ni nani? Jina Wahaya lilianza kutumika lini? Jina Wahaya linatokana na nomino IHAYA. Huu ni mwambao wa Ziwa Lweru.
Hadi ujio wa Wazungu lilimaanisha...
Niko Zanzibar kiasi cha miaka miwili mitatu hivi na ni Mwezi Mtukufu wa Ramadhani hoteli niliyopanga iko karibu sana na pwani.
Inakaribia Maghrib wakati wa adhana na kufungua.
Nikaona itapendeza...
Leo alfajir nimeikuta video ya Mwalimu wangu wa masafa marefu Prof. Ali Mazrui.bImenikumbusha mbali.
Nina umri wa miaka 15/16 namsoma Ali Mazrui katika Sunday Nation kutoka Kenya.
Siku moja...
Historia hii ya Wahaya na Wanyambo ina ukweli gani?[emoji1427]
Je, ni kweli % kubwa ya wanakagera hawakwenda shule?
[emoji1427]
Kama kuna upotoshwaji kwanini Wanakagera tumekaa kimya...
Anasimulia mzee wangu ambaye alikuwa Mwalimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka hiyo Che Guavera alikuja Tanzania mwaka 1965. Anasema Che alijaribu kuulizia habari za Mwanamapinduzi aliyesaidia...
MOHAMED SAID NA MAUREEN TBC 1 HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA
Taarifa zimenifikia kuwa TBC1 watarusha kipindi cha historia ya uhuru wa Tanganyika leo saa sita na nusu mchana.
Haya ni mahojiano...
Mapinduzi ya Zanzibar yalitokea mwaka 1964 ili kumuondoa madarakani Sultani wa Zanzibar na serikali yake, iliyoundwa hasa na Waarabu, na hatimaye kuweka uongozi mikononi mwa Waafrika, ambao ndio...
Hamisi Hababi: Assalaam Alaikum, jana nilikuwa na Mzee Kissinger na nikamsimulia andiko lako mtandaoni kuhusiana yeye na Hafidh Kido, na akafurahi sana nilimpomwambia yeye ni Mwalim na wewe ni...
Leo tunatimiza miaka 500 tangu Kanisa Katoliki lilipotoa waraka wa Kipapa wa kumfukuza aliyekuwa padre wake Martin Luther Januari 3, 1521. Papa alifikia uamuzi huo baada ya miaka minne ya...
Mzee Kissinger
Nimefika kwenye walima wa harusi ya bint wa ndugu zangu akina Tambaza aliyenipokea Sheikh Ali Sindo.
Uwanja umejaa lakini badala ya kunitafutia mahali pa kukaa ananipeleka kwa...
Wakuu habari ya muda huu, ni matumaini yangu kuwa mpo salama mkiendelea na shughuli za ujenzi wa Taifa. Kwa wale wenye matatizo ya hapa na pale nawaombea kwa MUNGU awafanyie wepesi ili mfanikiwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.