JE UNAFAHAMU KUWA UMEDI NA UAJEMI/IRAN (PERSIA) KATIKA KARNE YA TANO B.C.E (500 BC – 330 BC) ILITAWALA DUNIA KWA MIAKA “200” KAMA DOLA-HIMAYA NA MILIKI KUU YA ULIMWENGU YA PILI YA DUNIA (THE 2ND...
UZINDUZI WA KITABU: ‘’RAJABU IBRAHIM KIRAMA
JEMADARI WA VITA KUWA JEMADARI WA UISLAM’’
(Kirama Muro, Rajabu Kirama, Rajabu Ibrahim Kirama)
MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO
(MUM)
Mzungumzaji...
Modibo Mohammed Al-Kaburi was a distinguished scholar and professor at the Sankoré University, Mali Empire, in the 14th Century.
The Sankoré University was capable of housing 25,000 students and...
Leyla na majnun ni kisa maarufu duniani kilichotokea kweli katika eneo la uarabuni... Na kwa kisa hiki kimepelekea kutungiwa mashairi mbali mbali duniani.... Wengine hukiita kisa hiki kama "Romeo...
VIJANA NA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MOHAMED SAID NA BELINDA SEMTANDI EATV
EATV wamenihoji vipi vijana wahamasike katika kuyaenzi mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964.
Nimewashauri vijana kwanza...
Unapaswa kufanya nini unapopaswa kufanya uamuzi mzito?
Paula Cristina Ghibut alihitajika kufanya uamuzi mkubwa. Alikuwa na umri wa miaka 14, naye alikuwa mbioni kumaliza darasa la nane nchini...
Kisayansi inasemekana binadamu ali evolve kutoka kwenye mnyama anayefanana na sokwe. Mnyama huyu alikuwa na ngozi nyeupe na alikuwa na manyoya mengi. Aliishi kwenye misitu ya Afrika Mashariki...
MJELEDI WA ASKARI WA KIRUMI ULIOKATAA KUMCHAPA YESU KRISTO
Wasomaji wangu nimekuelezeni mara nyingi kuwa katika utoto wangu nikipenda sana kuangalia senema, senema za maana zinazoeleimisha...
KITABU KIPYA: UISLAM ULIVYOINGIA UCHAGGANI
Rajabu Ibrahim Kirama alikuwa mtoto mdogo wakati Wamishionari wanaingia Kilimanjaro baada ya Mkutano wa Berlin mwaka wa 1884 na Wajerumani wakaingia...
KIPINDI ''KURASA DARASA'' TBC MAUREEN MINANAGO NA MOHAMED SAID WANAKICHAMBUA KITABU CHA JUDITH LISTOWEL, ''THE MAKING OF TANGANYIKA,'' (1965)
Kitabu hiki cha Lady Judith Listowel kwa mara ya...
HAMZA KASONGO ON SUNDAY MAZUNGUMZO NA MOHAMED SAID KITARUDIWA JUMAMOSI 2 JANUARI 2021 SAA TISA MCHANA
Marudio ya "Hamza Kassongo on Sunday," TVE kitarushwa In Shaa Allah Jumamosi ijayo saa tisa...
Haya nimeyatoa katika mswada wa kitabu nilichoandika na Ally Sykes ''Under the Shadow of British Colonialism,'' yapata miaka 20 iliyopita.
Ananihadithia safari yake ya kwenda Accra, Ghana mwaka...
Vitabu shuleni tuliaminishww kuwa Kinjekitile alifanya vile ili kuwapa wanajeshi moyo wa kupigana. Mi natilia shaka hili jambo. Limepotoshwa tu kumfichia aibu yule mzee. Kwa jinsi tunavyoamini...
Kitabu hicho hapo chini kina makosa katika kufundisha historia ya Tanzania.
''In 1929 Kleist and some close friends, namely, Mzee bin Sudi, a Manyema, Ibrahim Hamis, a Nubi, Zibe Kidasi, Ali Said...
SHEIKH RAJAB IBRAHIM KIRAMA NA ADHABU YA VIBOKO 1930
Naweka hapa kutoka kitabu, ''Rajab Ibrahim Kirama Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam,'' yale ambayo yamo humo kuhusu adhabu ya viboko...
Mahajub Adam Mohamed ambaye pia alifahamika kwa jina la Bayume Mohmed Husen alizaliwa Dar es Salaam mwaka 1904 kipindi hiko Tanganyika ikiwa ni koloni la Ujerumani
Bayume alipigana vita ya Kwanza...
Nilisoma kwenye Raia mwema kuwa baada ya uhuru kulikuwa na mpango wa kuunda shirikisho la Africa. Ilitokea tofauti kubwa ya mawazo ya jinsi ya kuanza umoja huo.
Kwame wa Ghana alitaka shirikisho...
Naomba sana Mungu atupe neema ili katika mwaka huu mpya zisiwe mpya namba za tarehe, yaani Januari Mosi, 2021.
Bali tufanywe wapya, tuvae utu mpya ulioumbwa kwa namna ya Mungu katika roho zetu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.