Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

The aircraft involved was a Boeing 727-223 manufactured in 1975 and formerly operated by American Airlines for 25 years. Its last owner was reported to be Miami-based company Aerospace Sales &...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Historia ya uhuru wa Tanganyika itachukua miaka mingi hadi itulie na watu waseme hakika hii sasa ndiyo historia yetu. Leo katika pita pita yangu nimekuta kitabu hicho hapo chini, ''The Media...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
HISTORIA YA MACEDONIA Masedonia ya Kale Katika karne za kabla ya Kristo Masedonia ilikuwa eneo la kaskazini la Ugiriki. Wakazi wake wanaaminiwa walisema lahaja za Kigiriki, lakini mara nyingi...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwenye kilele cha kutamba kwao ushindi wa asilimia 98 ilikuwa kawaida sana. Ilikuwa Sherehe nchi nzima wakishatangazwa washindi. Ungeweza fikiria ni kweli wanaungwa mkono Kwa asilimia 99. Chama...
19 Reactions
57 Replies
5K Views
Wanakaba ni jamii ya wamakonde ambao wanaishi kandokando na bahari ya Hindi wakiwa na utofauti kidogo wa lugha na wamakonde wa bara kwani wao maneno mengi uchanganya na maneno ya kiswahili...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba kufahamishwa vizuri kuhusu hii kitu ya Westphalian kuanzia mwaka na mafanikio gani waliyapataa na inatusaidiaa vipi wakati huu.
2 Reactions
5 Replies
1K Views
HAMZA KASSONGO ON SUNDAY: MCHAKATO WA UHURU WA TANGANYIKA Leo Jumapili Hamza Kassongo katika TVE saa tatu usiku anafanya mazungumzo na Mohamed Said kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
NATAFUTA NA NATAFITI HISTORIA YA RASHID ALI MELI NA SAFARI YA NYERERE UNO 1955 Tafadhali nitafutie watoto au ndugu wa Rashid Ali Meli hapo Zanzibar. Kijana wa Kingazija. Aliishi Dar katika...
7 Reactions
18 Replies
3K Views
Kila mwizi na vituko vyake,kuna wapenda udokozi kama mbonga, kuna wengine wana kila wizi na vituko vyake. Hapa nazungumzia mhalifu aliye tawala kwenye Moja ya uhalifu wa kushangaza wa historia ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Utangulizi Nimeona katika Group ya Saigon Sports Club kumbukumbu ya mzee wetu marehemu Rashid Mfaume Kawawa wanae tumemkumbuka katika siku hii ya leo alipotutoka duniani. Wajibu wetu kumuombea dua...
3 Reactions
4 Replies
5K Views
IJUE VITA FUPI ZAIDI KUTOKEA Vita hii ilitokea tr 27-8-1896 ilikua kati ya Zanzibar vs Uingereza ilidumu kwa dk38 tu Alipewa jina la "The Anglo Zanzibar War" Kwa muda wa dk38 ya vita hivi zaidi...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
MAKALA YA DR. MZINDAKAYA KATIKA HABARI LEO: NYERERE ALITEULIWA AKIWA SUMBAWANGA Naweka hapo chini makala kuhusu harakati za kudai uhuru wa Tanganyika kama alivyosimulia Dr. Mzindakaya kisha nami...
5 Reactions
10 Replies
5K Views
VYOMBO VYA HAKI VINAPOSHINDWA KUTOA HAKI NINI MATOKEO YAKE? Nimepata kuandika hapa kisa cha Amerigo Bonasera na Godfather Don Veto Corleone mkasa maarufu katika kitabu cha Mario Puzo, "The...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
HAMZA KASSONGO ON SUNDAY ETV "MCHAKATO WA UHURU" SAA TATU USIKU 27 DECEMBER 2020 Dudu... Nashukuru sana kwa kutazama vipindi nilivyohojiwa. Kuna kipindi kingine nimefanya, "Hamza Kassongo on...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Najua historia ina mambo mengi na mtu mmoja hawezi elezea yote. Tuelezee sehemu unayoifahamu. Mkusanyiko ukiwa mkubwa tutapata mwanga. Tujuzane kuhusu historia ya elimu, siasa, uchumi, ulinzi...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Mzee Jumbe Muhammad Tambaza, alizaliwa January 1891 ni mmoja katika wapigania uhuru mashuhuri wa nchi hii ambao, historia inawataja kama ni watu waliotoa mchango mkubwa sana katika kufanikisha...
14 Reactions
24 Replies
6K Views
Sikumbuki ilikuwa kitu gani lakini ninachokumbuka ni kuwa nilikuwa likizo Tabora niko uani na bibi yangu Zena bint Farijala 1965 nadhani ilipigwa nyimbo ya Salum Abdallah katika radio bibi...
6 Reactions
4 Replies
2K Views
1) Nchi ya Ugiriki/ Uyunani inapatikana upande Kusini Mashariki mwa bara ka Ulaya. Nchi hii imepakana na nchi ya Albania, Macedonia Kaskazini, Uturuki na Bulgaria na pia imepakana na bahari ya...
73 Reactions
128 Replies
32K Views
UTABIRI WA AL HABIB SAYYID OMAR BIN SUMEIT Al Habib Sayyid Omar bin Sumeit alitabiri kuwa Zanzibar itarejea katika hali yake. Alisema maneno haya ya kutia matumaini baada ya kushuhudia mapinduzi...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Back
Top Bottom