Kila sehemu walikoenda, lengo kuu la wazungu ilikuwa na kuanzisha makazi napya na kuangamiza jamii ya hapo.
Wamewaangamiza wa Aborigines wa Australia hadi wamebaki wa kuhesabu. Huko Amerika...
MICHAEL LOTITO : MTU PEKEE DUNIANI ALIYEKULA NDEGE YA ABIRIA (aeroplane)
Sijajua ni jina gani unaweza ukampa mtu huyu baada ya kusoma kisa chake, ila huko kwao Ufaransa wanamuita bwana mla vyote...
POSTA HIZI ZINASEMA NINI KUHUSU ZANZIBAR?
Nimeitazama picha ya Ismail Jussa akipokelewa uwanja wa ndege Zanzibar akitokea Nairobi kwenye matibabu.
Ismail yuko kwenye kiti cha magurudumu...
KWAHERI KAKA YANGU BURIANI MZUNGUMZAJI WANGU JIMMY MDOE
Nilikuwa nakaribia kufunga ofisi yangu ujumbe ukaingia kunipa kifo cha Jimmy Mdoe.
Nilifahamiana na Jimmy Mdoe kwa karibu katika miaka ya...
Historia Ya Vita Vya majimaji.
MTU yeyote anayeijua vizuri historia ya Tanzania na akabahatika kufika Mjini Songea Mkoani Ruvuma asipotembelea makumbusho ya vita vya majimaji yaliyopo katika eneo...
TAFSIRI YA KISWAHILI ''KUVULI CHA BABA ZAO KINAPOWAFUNIKA WATOTO NA WAJUKUU''
Serikali ya kikoloni ilikuwa kila kukicha inabadili mitindo, hila na mbinu za ukandamizaji ili kuendeleza utawala...
Leo asubuhi katika matembezi yangu Maktaba nimekuta picha ya kaburi la Sheikh Haydar Mwinyimvua (1905 - 1987) ambae mwanae Sheikh Ahmed Haydar tumemzika siku chache zilizopita.
Picha hii nilipiga...
Katika tafiti zangu za hapa na pale kuna mgodi mmoja mpk leo naona kama vile umesahauliwa kabisa ....mgodi huu upo Afrika mashariki , katika nchi ya Tanzania
Mgodi huu unasadikika kuwa ni mgodi...
MKONO WA BURIANI WA MAMA SYKES KWANGU
Hii picha nimepiga na mama Bi. Zainab Sykes tarehe 12 January 2021 nyumbani Mbezi.
Nilikuwa natoka kufanya kipindi cha Mapinduzi ya Zanzibar, Studio za...
KUTOKA GAZETI LA JAMVI LA HABARI: KITABU NILICHOSOMA
RAJABU KIRAMA JEMEDARI WA VITA KUWA JEMEDARI WA UISLAMU: MOHAMED SAID
Na Hafidh Kido
NIMEKUWA na utaratibu wa kufanya ziara za mara kwa mara...
Alli Migeyo maarufu kama "ALLI MATATA" ni Mtanzania wa kwanza kupigwa bomu la machozi. Alipigwa mabomu manne ya machozi Desember 2, 1953.
Alipigwa mabomu hayo na askari wa kikoloni wa kiingereza...
SATURDAY, SEPTEMBER 15, 2012
IN MEMORIAM
The late Hamza K.B. Mwapachu
50 years ago, on 17th September, 1962, Hamza Kibwana Bakari Mwapachu, father to Harith Bakari Mwapachu, Rahma Mark...
Subash Patel nilimjua katika miaka ya mwishoni 1970 au mwanzoni 1980 kupitia rafiki yake Said Ibrahim ambaye mimi pia ni rafiki ndugu.
Said ndiye alinipeleka nyumbani kwake.
Miaka hiyo alikuwa...
KILIO CHA MJANE WA ALI MIGEYO
Mohamed Said June 11, 2017 0
Gazeti la Mwananchi la leo Jumapili 11 June, 2017 imechapa makala inayoeleza hali ya umasikini anayoishinayo Janath Migeyo mjane wa...
Anaandika Alexandr Solzhenitsyn kwenye Gulag Archipelago.
Anasema kuwa wakati wa ukomunist huko USSR kulikuwa na mambo ya kushangaza sana.
Siku moja katibu wa chama alitembelea mji fulani. Ndani...
Na Alhaji Abdallah Tambaza
MKOANI Dar es Salaam, kwenye Wilaya ya Ilala kuna eneo linaloitwa Kisutu, ambalo historia yake inaanzia karne ya 1800 hivi wakati wa Utawala wa Kiarabu wa Seyyid Majid...
Habari wana historia wa JF na wadau mbalimbali,
Binafsi nimekua nikiwaza sana ni kwanini walichagua jina la Tanganyika wakati kulikua na ziwa Victoria ambalo ni kubwa kuliko ziwa Tanganyika...
BURIANI SALUM ZAHORO
Makala hiyo hapo chini niliandika miezi miwili iliyopita.
Naiweka tena tuisome kama kumbukumbu ya Salum Zahoro aliyefariki jana na kuzikwa jana hiyo hiyo:
SALUM ZAHORO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.