The aircraft involved was a Boeing 727-223 manufactured in 1975 and formerly operated by American Airlines for 25 years. Its last
owner was reported to be Miami-based company Aerospace Sales &...
Historia ya uhuru wa Tanganyika itachukua miaka mingi hadi itulie na watu waseme hakika hii sasa ndiyo historia yetu.
Leo katika pita pita yangu nimekuta kitabu hicho hapo chini, ''The Media...
HISTORIA YA MACEDONIA
Masedonia ya Kale
Katika karne za kabla ya Kristo Masedonia ilikuwa eneo la kaskazini la Ugiriki. Wakazi wake wanaaminiwa walisema lahaja za Kigiriki, lakini mara nyingi...
Kwenye kilele cha kutamba kwao ushindi wa asilimia 98 ilikuwa kawaida sana.
Ilikuwa Sherehe nchi nzima wakishatangazwa washindi.
Ungeweza fikiria ni kweli wanaungwa mkono Kwa asilimia 99.
Chama...
Wanakaba ni jamii ya wamakonde ambao wanaishi kandokando na bahari ya Hindi wakiwa na utofauti kidogo wa lugha na wamakonde wa bara kwani wao maneno mengi uchanganya na maneno ya kiswahili...
HAMZA KASSONGO ON SUNDAY: MCHAKATO WA UHURU WA TANGANYIKA
Leo Jumapili Hamza Kassongo katika TVE saa tatu usiku anafanya mazungumzo na Mohamed Said kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika.
NATAFUTA NA NATAFITI HISTORIA YA RASHID ALI MELI NA SAFARI YA NYERERE UNO 1955
Tafadhali nitafutie watoto au ndugu wa Rashid Ali Meli hapo Zanzibar.
Kijana wa Kingazija.
Aliishi Dar katika...
Kila mwizi na vituko vyake,kuna wapenda udokozi kama mbonga, kuna wengine wana kila wizi na vituko vyake. Hapa nazungumzia mhalifu aliye tawala kwenye Moja ya uhalifu wa kushangaza wa historia ya...
Utangulizi
Nimeona katika Group ya Saigon Sports Club kumbukumbu ya mzee wetu marehemu Rashid Mfaume Kawawa wanae tumemkumbuka katika siku hii ya leo alipotutoka duniani. Wajibu wetu kumuombea dua...
IJUE VITA FUPI ZAIDI KUTOKEA
Vita hii ilitokea tr 27-8-1896 ilikua kati ya Zanzibar vs Uingereza ilidumu kwa dk38 tu
Alipewa jina la "The Anglo Zanzibar War"
Kwa muda wa dk38 ya vita hivi zaidi...
MAKALA YA DR. MZINDAKAYA KATIKA HABARI LEO: NYERERE ALITEULIWA AKIWA SUMBAWANGA
Naweka hapo chini makala kuhusu harakati za kudai uhuru wa Tanganyika kama alivyosimulia Dr. Mzindakaya kisha nami...
VYOMBO VYA HAKI VINAPOSHINDWA KUTOA HAKI NINI MATOKEO YAKE?
Nimepata kuandika hapa kisa cha Amerigo Bonasera na Godfather Don Veto Corleone mkasa maarufu katika kitabu cha Mario Puzo, "The...
HAMZA KASSONGO ON SUNDAY ETV "MCHAKATO WA UHURU" SAA TATU USIKU 27 DECEMBER 2020
Dudu...
Nashukuru sana kwa kutazama vipindi nilivyohojiwa.
Kuna kipindi kingine nimefanya, "Hamza Kassongo on...
Najua historia ina mambo mengi na mtu mmoja hawezi elezea yote. Tuelezee sehemu unayoifahamu. Mkusanyiko ukiwa mkubwa tutapata mwanga.
Tujuzane kuhusu historia ya elimu, siasa, uchumi, ulinzi...
Mzee Jumbe Muhammad Tambaza, alizaliwa January 1891 ni mmoja katika wapigania uhuru mashuhuri wa nchi hii ambao, historia inawataja kama ni watu waliotoa mchango mkubwa sana katika kufanikisha...
Sikumbuki ilikuwa kitu gani lakini ninachokumbuka ni kuwa nilikuwa likizo Tabora niko uani na bibi yangu Zena bint Farijala 1965 nadhani ilipigwa nyimbo ya Salum Abdallah katika radio bibi...
1) Nchi ya Ugiriki/ Uyunani inapatikana upande Kusini Mashariki mwa bara ka Ulaya. Nchi hii imepakana na nchi ya Albania, Macedonia Kaskazini, Uturuki na Bulgaria na pia imepakana na bahari ya...
UTABIRI WA AL HABIB SAYYID OMAR BIN SUMEIT
Al Habib Sayyid Omar bin Sumeit alitabiri kuwa Zanzibar itarejea katika hali yake.
Alisema maneno haya ya kutia matumaini baada ya kushuhudia mapinduzi...