Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Rafiki yangu Fredy Nyaluchi kaweka hapa barzani picha ya Lucy Lameck na maelezo kidogo ya maisha yake katika siasa za Tanzania. Nataka kumuunga mkono kwa kuongeza kidogo katika maisha ya Lucy...
1 Reactions
24 Replies
10K Views
Baada ya kuhangaika kwa miaka mingi sana leo nimejaaliwa kupata picha ya Mzee bin Sudi na picha hii kanipatia mjukuu wake Bi. Subira Mohamed Sudi. Rafiki yangu na mzungumzaji wangu marehemu...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa miaka mingi sana nimekuwa nikitafuta picha ya Bi. Halima Selengia wa Moshi mmoja wa akina mama waliokuwa waasisi wa TANU na wapigania uhuru wa Tanganyika. Leo asubuhi nimepokea picha yake...
1 Reactions
0 Replies
787 Views
Unapokumbuka juu ya viongozi wazalendo na wa kupigiwa mfano nchini lazima umtaje Sheik Abeid Amani Karume. Huyu alikubali kwa ujasiri mkubwa kuungana na Tanganyika na kuzaa Tanzania. Busara...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu baada ya kitabu hiki "The Torch on Kilimanjaro," kuhujumiwa nikajituliza. OUP wakanirudishia kwa masikitiko makubwa mswada wangu mpya niliowapa wakaniambia kuwa inaelekea sipendeki...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
MJEE/MZEE WA MUSOMA. Katika wilaya ya Musoma kuna eneo mashuhuri kwa uvuvi na shughuli za kilimo linaitwa Majita,hili ni eneo linalokaliwa na Wajita kwa sehemu kubwa na Wakwaya ambao pia ni jamii...
4 Reactions
31 Replies
9K Views
Hakuna kitu hunipa furaha kama niandikapo historia ya mtu kisha akatokea msomaji akaniandikia kuniambia huyo uliyemtaja ni babu au bibi yangu. Hivi karibuni niliandikiwa na Adam Ahmed kuhusu...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
''THE TORCH ON KILIMANJARO'' KITABU CHA SHULE ZA MSINGI KINACHOELEZA HISTORIA YA MWALIMU NYERERE WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA OUP walialika waandishi wa Afrika ya Mashariki kupeleka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Miaka zaidi ya 643 iliyopita, katika mji wa Aachen huko Ujerumani watu walianza kumiminika mitaani kutoka kwenye majumba yao na kuanza kusaka rhumba kwa kila aina ya staili. Wengine walicheza...
6 Reactions
9 Replies
3K Views
ALIPOTOKA MAALIM HADI KUFIKA HAPA Uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka wa 1995 ulijaa hamasa nyingi kwa chama cha CUF kwa namna ya pekee hasa Zanzibar. Nimeeleza hapa nini kilitokea baada ya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
IJUE HISTORIA YA VATICAN Vatikani Mji wa Vatikani ni dola-mji lenye eneo lakilomita za mraba 0,44 tu. Hivyo ni nchi ndogo kuliko zote duniani. Pande zote inazungukwa na Italia. Dola la Mji wa...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Kuna mtu kaniuliza ni nani Iddi Faiz Mafungo? Maswali kwangu yanakuwa mengi mno kuhusu historia ya TANU na Mwalimu Julius Nyerere kiasi naelemewa. Muulizaji angeweza kuingia Google angemsoma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Yapata takribani miaka 36 tangu waziri mkuu Edward Moringe Sokoine afariki kwa ajali ya gari huko Wami-Dakawa akitokea Dodoma baada ya kuahirisha bunge tarehe 12/4/1984 akielekea Jijini...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Mnara huu upo kaskazini mashariki mwa Uwanja wa Taifa, ni mnara wa kumbukumbu ya marubani wawili wa ndege vita ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambao ndege yao ilianguka wakati wa maonyesho ya...
9 Reactions
24 Replies
5K Views
ATHMANI SALUM MATENGA MWANA TANU WA TAWU LA ALI MSHAM Mzee Athumani Salum Matenga hivi sasa umri wake unakisiwa kufikia miaka 90. Anasema alikuwa mwanakamati wa tawi la TANU lililoanzishwa na...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
J. EDGAR HOOVER MKURUGENZI WA FBI NA "FILE" LA SIRI KUBWA J. Edgar Hoover ndiye Mkurugenzi wa kwanza wa FBI na alikikalia kiti kwa nusu karne. Lilikuwa jitu la mikasa likitisha na kuogopewa na...
3 Reactions
38 Replies
5K Views
KITABU HIKI NI ''MASTERPIECE'' JOHARI - ''KANZU YA UKUBWA'' RIWAYA ALIYOANDIKA HAFIDH KIDO Kitabu hiki ni kitabu mihumu sana katika uandishi wa lugha ya Kiswahili. Maisha yangu toka udogoni ni...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
BURIANI CAPTAIN MALIKI Dr. Ramadhani Kitwana Dau Jumatano tarehe 11 Novemba 2020 ni siku ambayo soka la Tanzania limepatwa na pigo kubwa kwa kuondokewa na mmoja wa watu waliohifadhi kumbukumbu...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
‘’SISI NI WAYAHUDI’’ (THE BOY IN STRIPPED PYJAMAS) Hiki ni kitabu kilichoandikwa na John Boyne na kikafanywa filamu. Hii ni hadith katika mambo ya kweli kuhusu kijana wa miaka tisa Bruno ambae...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Rais Omar Bongo wa Gabon ni Rais anayeshikilia rekodi ya dunia ya kuwa Rais aliyeongoza muda mrefu zaidi duniani. Rais huyo aliongoza Gabon kwa miaka 42 tangu Desemba 2, 1967 hadi alipofariki Juni...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…