BARAZANI
Na Ahmed Rajab
SIKU moja, siku yenyewe hasa nimeisahau,lakini ilikuwa Juni mwaka 1973, nilijikuta ndani ya lifti iliyojaa watu kwenye jengo la Bush House, katikati ya jiji la London...
SAFARI YA NYERERE SUMBAWANGA KAMA ALIVYONIHADITHIA ABDALLAH SAID KASSONGO 1987
TANU Youth League ya Tabora chini ya uongozi wa Abdallah Said Kassongo ilikuja kuwa tawi hodari sana na lenye...
Safe haven: Fatebenefratelli Hospital, Tiber Island, Rome, 2019.
Hospitali ya Fatebenefratelli Hospital, iliyopo katika Kisiwa cha Tiber huko Roma, nchini Italia ilikuwa na Wodi maalumu iliyojawa...
KISA CHA VIDKUN QUISLING
Naamini itawashangaza wengi nikiwaeleza kuwa jina la Jecha na jinsi Wazanzibari walivyoliingiza katika msamiati wao ni sawa na jina la Vidkun Quisling nalo pia...
MOJA YA PICHA ADIMU YA CAPTAIN MALIK
Picha hiyo hapo chini ni katika Khitma ya Saigon kushoto ni Boi Iddi maarufu kwa jina la Boi Wickens, Captain Malik, Emmanuel Albert Mbele na Khalid Abeid...
CAPTAIN MALIK ENCYCLOPEDIA YA HISTORIA YA MPIRA WA TANZANIA
Jina lake ni Captain Malik na Mji mzima wa Dar es Salaam ukimjua kwa majina yake haya mawili.
Hii ilikuwa Encyclopedia ya historia ya...
Nilisoma primary mpaka Form Six inchini Uganda. Baada ya hapo mzee wangu amabaye alikuwa mwambata wa balozi kule Kampala nchini Uganda alirejeshwa makao makuu ya JWTZ ngome. So mimi naye na...
Nilikuwa Zanzibar siku ile ya kupiga kura tarehe 22 siku ya Jumapili Oktoba mwaka wa 1995.
Mvua kubwa sana ilinyesha.
Katika shajara yangu nimeandika mengi hadi majumuisho ya kura zote pamoja...
MAULIDI YA MFUNGO SITA UCHAGGANI 1950s
(KUTOKA KITABU CHA MAISHA YA RAJABU IBRAHIM KIRAMA)
Maulid ya Mfungo Sita Moshi Uislamu ulipopata nguvu Machame na vijiji vingine Kilimanjaro kwa kuleta...
Je, wajua kua mwanasayansi nguli Isaac Newton aliwahi kua mbunge akiwakilisha mbungeni Kama muwakilishi wa chuo Kikuu cha Harvard?
Basi ndo hivyo.
Pia kipindi chake Cha ubunge hakuwahi kuchangia...
Isaac Newton:
Isaac Newton (25 Desemba 1642 – 20 Machi 1727) alikuwa mwanahisabati, mwanafizikia na mwanateolojia kutoka nchi ya Uingereza.
Anakumbukwa duniani kote kutokana na michango yake...
Jean Bokhasa alikua mwanajeshi aliyepigana WWII Katika jeshi la Ufaransa. Katika maisha yake jeshini kiongozi aliyemhusudu na kupenda kufuata nyayo zake alikua Napoleon.
Bhokassa alikua mfujaji...
Uchaguzi huo ulifanyika nchini Liberia mwaka 1927. Ilikuwa ni uchaguzi wa raisi na mshindi akawa Charles D.B. King wa chama cha True whig ambapo alichaguliwa kwa kipindi cha tatu. Alimshinda...
Aboud Nadhif Abdallah, arrested and disappeared since 1969 The weekly Dira, in its issue of July 18–24, 2003, published an article on the demands for compensationmade by Ibrahim Aboud Nadhif...
Binadamu anapokata tamaa ya kupata Haki, Kisa cha Anerigo Bonasera na Don Veto Corleone. Mfano wa Sheikh Ponda.
Katika kitabu cha "The Godfather," kuna watu wawili muhimu katika kueleza nini...
CROSSING THE RUBICON
Julius Caesar alivuka Mto Rubicon mwezi Januari 49 BC akiwa na jeshi kubwa nyuma yake na baada ya mguu wake kukanyaga upande wa pili wa mto vita ya wenyewe kwa wenyewe baina...
Baada ya kugundulika mwili wa Pharaoh Ramesses 2 katika makabuli ya wafalme (Valley of Kings) huko Misri Rais wa Ufaransa Valéry Giscard d'Estaing katika miaka ya 1980 alifanikiwa kuishauri...
NYUMBA YA MWALIMU NYERERE MAGOMENI MADUKA SITA 1955
Rafiki yangu kanipatia picha ya nyumba aliyokaa Mwalimu Nyerere Magomeni Maduka Sita.
Mwalimu Nyerere anaonekana nje ya nyumba yake akiingia...
Habarini Wakuu
Katika kukaa kwangu na kutafakari katika muonekano na katika biblia tunasoma siku ya sabato yapaswa kufuatwa sawa lkn nina mtazamo chanya ambao wasabato wanaupuuzia siku hizi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.