FROM HIS OWN WORDS - YOWERI KAGUTA MUSEVENI, the President of UGANDA. " We were gaining ground of Kampala, lead by Colonel Mahfoudh and we three of us, Me, Major Marwa and Major Isonda IN A...
KATIKA sehemu ya kwanza tulizungumzia kidogo namna Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) lilivyoshiriki katika mapambano ya kuzikomboa nchi za Afrika.
Baadhi ya Watanzania ambao walijitoa kikamilifu...
KITABU KIPYA: UISLAM ULIVYOINGIA UCHAGGANI
Rajabu Ibrahim Kirama alikuwa mtoto mdogo wakati Wamishionari wanaingia Kilimanjaro baada ya Mkutano wa Berlin mwaka wa 1884 na Wajerumani wakaingia...
Kwasasa imekua lugha inayotumika kwenye mambo maalumu tu, je kuna ubaya nikisema hii lugha imekufa?, kama ulikua hujui kuwa lugha inakufa ndio ujue leo, wataalam wa lugha wanaweza kuelezea lugha...
Watu watano muhimu sana katika historia ya uasisi wa CCM ni hawa:
1: Mwalimu Julius K. Nyerere
2: Sheikh Aboud Jumbe
3: Sheikh Rashid M. Kawawa
4: Sheikh Thabit Kombo
5: Mhe. Pius Msekwa
Inabidi...
Ilikuwa mwaka 1964 jamaa mmoja anaitwa . Edward Makuka Nkoloso , alitaka kuwapeleka wazambia 15 pamoja na paka wake, kwenye sayari ya Mars, Hilo kundi kulikuwa na wahubiri ambao kazi yao ilikuwa...
Ni takribani miaka 44 sasa tokea kuuawa kwa aliyekuwa rais wa kwanza wa Zanzibar marehemu sheikh Abeid Karume.
Tukio hilo lililotokea katika ofisi za makao makuu ya A.S.P huko kisiwa Ndui mjini...
Hicho anachoita kitabu wala hakina publisher wala mswada haukusomwa na mhariri yeyote aijuae historia ya mapinduzi ni sawa na mtu aliyejifungia chumbani kwake anaandika katika mtandao wa kijamii...
BINGWA WA PROPAGANDA OSAMA EL BAZ WA MISRI
Osama El Baz hujapata kukutana na mtu kama huyu.
Achilia mbali kuwa alikuwa ni Mmisri.
Wamisri wana sifa ya maneno matamu na ghilba.
Osama El Baz...
Wakuu habari za huko kwenyu?
Mimi ni mkurya muhili ketosho nyumbani ghwetu ni kule tarime kijijini kongoto.
Naomba kwa wale bhakurya bhenzangu mnisaidie kunielezea historia na chimbuko la...
Wapogoro ni kabila la watu kutoka kusini-kati ya nchi ya Tanzania, hususan mkoa wa Morogoro.
Lugha yao ni Kipogoro .
HISTORIA
Inasemekana asili yao ni Afrika Magharibi, hasa katika nchi ya...
Historia inavyosema, Marehemu MzeeKarume alikuja Zanzibar na wazazi wake wakitokea Malawi, walikuwa ni wananchi wa Malawi, lakini wakati huo Tnaganyika, Zanzibar na Maliwa zilikuwa chini ya...
Moulay Ismail Ibn Sharif ndiye mtu mwenye watoto wengi kuliko wote Duniani. Alikuwa ni mfalme wa Morocco kuanzia miaka ya 1672 hadi 1727.
Alikuwa na watoto waliosajiliwa 867 kati ya hao watoto wa...
Ukitazama filamu iitwayo “The Dictator” iliyoingia sokoni kwa mara ya kwanza mwaka 2012 (sasa inapatikana katika mtandao wa Netflix na Youtube) utabaini kuwa kuna taifa barani Afrika linaloitwa...
file:///storage/emulated/0/Download/Seif_Sharif_Hamad%20(1).jpg
MAALIM SEIF ALIPOGEUKA KUWA NGUVU YA UMMA
Na: Ahmed Rajab
ahmed@ahmedrajab.com
“NIMEPATA habari kuwa huenda kesho ukaondoka na...
Kwenye neno Sumbu wanga, likiwa na maana ya tupa uchawi , na lilianzishwa na mtawala mmoja wa zamani wa eneo hilo
aliyeitwa Mwene Ngalu.
Sumbawanga ni makao makuu ya mkoani Rukwa, uliopo Nyanda...
Benedict Daswa alizaliwa mnamo tarehe 16 Juni 1946,huko nchini Afrika ya Kusini,alizaliwa ktk kabila la Wavenda.Utotoni aliitwa Tshimangazbo Samwel Daswa,kabla ya kuwa Mkristo Mkatoliki kwani...
Ni wazi wazee na waasisi wa Tanganyika wanapukutika
TANGANYIKA ilipokea uhuru wake kutoka kwa mkoloni wa kiingereza hata hivyo uhuru huu haukuwa ni ule wa kushika mtutu pamoja nakuwa nyuma kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.