Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Kutoka mwaka 1995. Baada ya mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM. Akiwa anatoa hotuba ya kukubali matokeo, Rais mstaafu Kikwete aliongea maneno ambayo yalionekana kumgusa kwa furaha Rais...
12 Reactions
42 Replies
8K Views
HISTORIA YA MJI WA MOSHI Mji wa Moshi Ulitokea Eneo La Old Moshi, Tsudunyi huko Mlimani Ambapo Ndipo Palikuwa Panaitwa "Moshi" Hapo Kabla. MARANGU, KILEMA, ROSHO NA MAENEO MENGINE pia ni sehemu...
10 Reactions
16 Replies
4K Views
UTANGULIZI Kabla ya kujua habari ya vita kati ya Wangoni na Wandendeule yafaa tujue kwanza historia fupi juu ya kabila la Wandendeule ambao walikuwa ni wenyeji wa nchi ya ungoni ya leo, pia tujue...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
WASIFU WA JULIUS NYERERE: MIKUTANO YA TANU JANGWANI 1950s Bibi Titi Mohamed yuko pembeni kwa Julius Nyerere juu ya jukwaa dogo la miti. Angalia hizo nyumba nyuma ya Nyerere hivyo ndivyo Kariakoo...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Alikataliwa na vyuo vikuu 29 akaambiwa mwanamke hawezi kuwa daktari labda ajifanye mwanaume. Kwa bahati chuo kimoja kikampokea kwa makosa na 1849 Elizabeth Blackwell akawa mwanamke wakwanza...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Kichwa Kikuu NGAZI ISIYOHAMISHIKA. Kwa wale waliobahatika kwenda kuhiji Jerusalem bila shaka watakuwa wanalifahamu kanisa kongwe la Sepulchre lililojengwa mnamo mwaka 326 likiaminika kuwa ndimo...
13 Reactions
23 Replies
8K Views
Wazungu aka Mabeberu wana wivu sana, halafu wanataka kutuaminisha eti harakaharaka haina baraka na kutangulia sio kufika, kama sio wivu nini? Eti nimesikia miongoni mwa nchi 54 zilizoruhusiwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
NDOTO KUTOKA MTAA WA KIUNGANI GEREZANI 1957 Ali umenirudisha nyuma mbali sana katika maisha ya utoto wangu. Nilikuwa nakaa Manhattan jirani na Hudson River New York. Mwenyeji wangu akaniambia...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Je, wangapi wanafahamu historia ya Mansa Mussa mtu anayetajwa katika vitabu vya historia kuwa mtu tajiri zaidi duniani kuwahi kutokea. Historia inasema alikuwa ni mfalme maarufu zaidi na...
4 Reactions
8 Replies
4K Views
KUTOKA ZIRPP: ABDALLAH KASSIM HANGA Yaliyotokea kifo cha Abdallah Kassim Hanga Mohamed Said Toleo la 405 13 May 2015 WAKATI Dk. Harith Ghassany anaandika kitabu chake, ''Kwaheri Ukoloni...
5 Reactions
22 Replies
10K Views
  • Closed
MATESO YA MASHEIKH WETU Ananiambia, ‘’Nakwenda sijda natamani nilie kwenye sijda lakini nyoyo hizi ngumu zimekufa ganzi na pengine hata kuta zake zimesinyaa machozi ya wapi ndugu yangu...
17 Reactions
78 Replies
8K Views
VITA KATI YA WANGONI NA WAMATENGO (sehemu ya kwanza) Kabila la Wamatengo ni Kabila la Asili, halijaundwa kwa kutokana na makabila mengi yaliyochanganyika kama ilivyokuwa kwa kabila la Wangoni...
6 Reactions
38 Replies
10K Views
BENJAMIN WILLIAM MKAPA MHARIRI WA ‘’UHURU’’ NA ‘’THE NATIONALIST’’ KATIKA MGOGORO WA EAST AFRICAN MUSLIM WELFARE SOCIETY (EAMWS) 1968 Katika utafiti wakati naandika historia ya TANU kupitia...
9 Reactions
39 Replies
4K Views
Hapa Tanzania kuna sehemu ukienda na ukapewa historia zake unaweza kubaki mdomo wazi, kwa kuwa ukiangalia mji huo kama hauendani na hiyo historia. Lakini kimsingi kuna miji hapa Tanzania kwa kweli...
4 Reactions
12 Replies
4K Views
Join our Cloud HD Video Meeting
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Kevin Poulsen alizaliwa tarehe 30 mwezi Novemba mwaka wa 1965. Moja ya udukuzu wake muhimu ni udukuzi wa redio ya LA kwa jina la KIIS-FM. Kwa kudukua nambari za simu za shirika hilo la redio...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Jonathan alizaliwa tarehe 12 mwezi Desemba mwaka wa 1983. Alipata umaarufu alipohukumiwa kifungo akiwa na umri wa miaka 16 [emoji16]kwa makosa ya udukuzi aliyofanya akiwa na umri wa miaka 15...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
MFAHAMU DIKTETA WA MALAWI ALIYEPIGA MARUFUKU KUVAA SURUALI Baba wa Taifa la Malawi, Dikteta Hastings Kamuzu Banda aliingia Malawi mwaka 1958 akitokea Uingereza alikoenda kusoma tangu 1925...
5 Reactions
23 Replies
7K Views
Gusa link ukaitazame
0 Reactions
2 Replies
3K Views
SAFARI ya kumsaka Khadija binti Kamba, haikuwa nyepesi. Ilianza kwa kudadisi, kupiga simu na kuzunguka hapa na pale hadi kufika katika ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala...
9 Reactions
21 Replies
8K Views
Back
Top Bottom