JOB LUSINDE (1930 – 2020) AFARIKI
Job Lusinde amefariki dunia leo tarehe 7 Julai siku ambayo mwaka wa 1954 wazalendo 17 walikutana katika ofisi ya TAA New Street, Dar es Salaam kuunda chama cha...
MOHAMED NA MOHAMED SOMO NA SOMO: GUMZO LA MOHAMED GHASSANI
Huwezi kuchoka kumsoma wala huwezi kuchoka kumsikiliza Mohamed Ghassani.
Kipindi chake ''Gumzo la Mohamed Ghassani'' kina wafuatiliaji...
HISTORIA YA TANU KUTOKA NYARAKA ZA SYKES
KISA CHA ALLY SYKES, DENIS PHOMBEAH NA KENNETH KAUNDA TANGANYIKA NA MKUTANO WA WAPIGANIA UHURU KUSINI YA SAHARA 1953
SEHEMU YA KWANZA
Mwaka wa 1953...
kifo cha mwasisi wa Taifa la Zanzibar, na pia mmoja wa waasisi wa Muungano wa Tanzania, hayati Abeid Amani Karume aliyefariki kwa kupigwa risasi na wanajeshi Aprili 7, 1972 mjini Unguja.
Bado...
KISA CHA ALLY SYKES, DENIS PHOMBEAH NA KENNETH KAUNDA TANGANYIKA NA MKUTANO WA WAPIGANIA UHURU KUSINI YA SAHARA 1953
SEHEMU YA KWANZA
Mwaka wa 1953 Harry Nkumbula alikuwa amechaguliwa rais wa...
SHEIKH YUSUF BADI WA LINDI
Inaaminika kuwa hakuna picha ya Sheikh Yusuf Badi popote kwani alikuwa hapendi kupigwa picha.
Juhudi zangu za kupata picha yake hazijafanikiwa hadi hivi sasa.
Rafiki...
Zanzibar na Oman ♥♥♥♥♥♥
Katika historia ya Oman si rahisi kuielezea bila kuhusisha uhusiano wake na kisiwa cha Zanzibar na maeneo mengine ya Afrika Mashariki.
Kuna kipindi katika historia...
Indonesia ilikuwa na utawala uliojulikana kama New Order ulioendeshwa na Rais Surharto. New Order ili sumu madarakani kwa miongo mitatu, watawala walikuwa wamepumzika na hawakuangalia tena...
MANENO YANGU KUHUSU KIFO CHA SHEIKH ISSA BIN NASSER MWANDISHI WA ‘’ZANZIBAR KINYANG’NYIRO NA UTUMWA’’
Na Sheikh Ponda Issa Ponda
Mimi ni mmoja katika watu wanaofanya uchunguzi katika historia ya...
Mwandishi amesimama Lincoln Memorial aliposimama
Dr. Martin Luther King alipotoa hotuba yake, ''I Have a Dream.''
Siku kama ya leo Martin Luther King aliuliwa Memphis kwa kupigwa risasi na hii...
MWANADAMU NA MUUJIZA
Binadamu tunapenda muujiza kwa kuwa inarahishisha kufikiri.
Kwanza nataka kukutoa hofu juu yangu ili nikufahamishe kuwa mimi hupenda kuukubali ukweli unapodhihiri na hii...
Alikua ni raia wa Marekani alizaliwa 18/5/1889 nchini Marekani. Alizaliwa akiwa na miguu mitatu na yote ilikua inafanya kazi alizaliwa akiwa na sehemu za siri za kiume mbili (2)
Shemu za siri...
HAZINA YA MZEE KISSINGER KATIKA MAKTABA YA MOHAMED SAID
Kama waandishi wa Wasifu wa Julius Nyerere wasingesema kuwa Maktaba yangu ni katika maktaba tatu bora walizoziona wakati wanatafiti maisha...
TAAZIA: BENJAMIN WILLIAM MKAPA NA KITWANA SELEMANI KONDO MARAFIKI WALIOPENDANA KWA DHATI
Kitwana Selemani Kondo wengi huenda watashangaa kusikia kuwa alikuwa rafiki kipenzi wa wa Benjamin William...
TAAZIA YA DR. DAU KWA BENJAMIN WILLIAM MKAPA NA YALE MAKUBWA NA MAZITO AMBAYO HAKUYASEMA
Hakuna kitu kinagusa fikra na linabaki akilini na kuhifadhika kwengineko kama neno lililoandikwa...
WAKILI MUSA KWIKIMA (1939 – 2020)
KATIBU TUME YA WAISLAM YA MGOGORO WA EAMWS, 1968
Unaanzaje kuandika historia ya mtu kama Musa Kwikima katika Mgogoro wa EAMWS?
Unaanzaje?
Historia ya Musa...
Kuna mtu kaniletea makala ya Bi. Titi Mohamed na akaniuliza usahihi
wa makala hiyo.
Nimeisoma na mimi nikawa mwanafunzi makala ina mengi ambayo
kwangu sikuyajua kwa undani wa kiasi kilichoandikwa...
DR. RAMADHANI KITWANA DAU ANAVYOMKUMBUKA RAFIKI NA KIONGOZI WAKE RAIS MSTAAFU BENJAMIN WILLIAM MKAPA
KWA NINI NAMLILIA MZEE BENJAMIN WILLIAM MKAPA
Dkt. Ramadhani K Dau
Ilikuwa siku ya Ijumaa...
Wale ambao hawawezi kukumbuka historia, ndiyo ambao kimakosa wanarudia makosa ya kihistoria” - George Santayana
Rais wa 40 wa taifa la Marekani, mwenye daraja la 33 kwenye asasi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.