Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

UZOEFU WANGU WA MAANDAMANO UINGEREZA NA MAREKANI Nimesoma hapa kuhusu mapokezi ya Tundu Lisu na maandamano yake na jinsi polisi walivyolitawala jambo lote kwa hekima na likapita salama salmini...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
NIMEITOA KUTOKA THESIS: TANZANIAN CHRISTIANS PERCEPTION OF MUSLIMS IN THE CONTEXT OF NATION'S CHRISTIAN - MUSLIMS RELATIONS BY JONATHAN JOUNG SUN LEE 2019 Among the authors, I found Mohamed Said...
0 Reactions
1 Replies
836 Views
Utangulizi Kalamu ya Mh. Ally Saleh haiandiki bali inazungumza. Siku zote ninapomsoma Alberto siishi kushangazwa na uwezo wa fikra zake na jinsi anavyojua kuchagua maneno ya kutumia kumfanya...
4 Reactions
17 Replies
5K Views
Picha hii nilimpiga Rais Mkapa siku alipozindua kitabu cha hotuba zake kilichochapwa na Mkuki na Nyota. Nilijulishwa kwake na Bwana Walter Bgoya Mkurugenzi Mkuu wa Mkuki na Nyota tukapeana...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Unaweza ukashangaa akikwambia yeye ni dalali na anataka kuliuza jengo la Taj Mahal? Ingawa inaweza kuonekana kuwa ni vigumu kuamini miaka ya sasa lakini ukweli ni kwamba miongo michache...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Did you know.....?? They used to use urine to tan animal skins, so families used to all pee in a pot & then once a day it was taken & sold to the tannery. If you had to do this to survive you...
1 Reactions
3 Replies
991 Views
Upo mstari mwembamba sana kati ya akili (intelligence) na uchizi (craziness). Mara nyingi watu wenye akili nyingi sana huwa na uchizi fulani. Ukipata nafasi ya kuwasikiliza machizi waliopo mtaani...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu stori inayotrend saivi ni tamko la mamlaka za Uturuki kubadili matumizi ya jengo la kale la Hagia Sophia lililojengwa mwaka 537 (yapata miaka 1,500 iliyopita) kutoka kuwa makumbusho na sasa...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
BARAKA SHAMTE MTOTO WA WAZIRI MKUU WA KWANZA WA ZANZIBAR SHEIKH MOHAMED SHAMTE Kama isingekuwa kushiriki kama Mtafiti Msaidizi wa Dr. Harith Ghassany wakati anatafiti kitabu chake ‘’Kwaheri...
5 Reactions
2 Replies
39K Views
EDWARD MORDRAKE BINADAMU MWENYE SURA MBILI ALIYEISHI KARNE YA 19 By Mfalme Mastories NI vigumu kuamini lakini ndiyo ukweli ulivyo! Edward Mordrake ni Mwingereza mashuhuri wa karne ya 19 ambaye...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
KANALI KASHMIR NA KANALI MAHFOUDH WALIVYOSAIDIA KUPATIKANA KWA UHURU WA MSUMBIJI Na. Simon Noel Jeshi letu la wananchi wa Tanzania JWTZ limetimiza miaka zaidi ya hamsini sasa huku likiwa na...
5 Reactions
5 Replies
4K Views
Mtunzi wa melody ya wimbo wa Taifa letu; Mungu Ibariki Afrika ni mwafrika anaitwa Enock Mankayi Sontonga (Enoch Sontonga - Wikipedia )ambaye aliutunga kama Nkosi Sikelei iAfrika mwaka 1897 huko...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Ureno kwa nchi za Afrika Mashariki iko pembe ya mbali sana na mbele ya kaskazini magharibi ya Afrika.Hata hivyo eneo hili la Afrika limejaa historia inayofungamana na Ureno kuanzia Kenya mpaka...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Luteni Jenerali Madeline Swegle amekuwa mwanamke wa kwanza Mmarekani mweusi kuendesha ndege ya kivita inayotumiwa na kikosi cha wanamaji cha Marekani. Ameandika historia kwa kupaa angani kama...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Henry VIII might be famous for killing two of his wives, but there was a lot more to the life of this early modern monarch than marital madness. So just who was Henry VIII? A superior athlete, a...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"Shikamoo" limekuwa ni neno linalotumika kuonesha heshima baina ya watu. Desturi na tamaduni za Afrika mashariki hutumia neno hili kama salamu ambapo anayeitikia husema "Marhaba". Pengine umewahi...
4 Reactions
25 Replies
8K Views
Mnaemuita firauni ni babu yenu, wa asili! alikuwa ni Mweusi tii!! jina lake aliitwa Mkuu Ramesses wa II au Sese. Nimekuwa nikiona habari kutoka kwa watu, kuwa mwili wa Ramesses ll huwa ukizikwa...
11 Reactions
30 Replies
10K Views
NANI ANAWAKUMBUKA BANTU GROUP WAHAMASISHAJI WA TANU NA WALINZI WA MWALIMU NYERERE? Bantu Group lilikuwa kundi la vijana wanachama wa TANU waliokuwa wahamasishaji wa TANU na walinzi wa viongozi na...
6 Reactions
6 Replies
3K Views
A beautifully preserved footprint from Engare Sero, Tanzania. Credit: William Harcourt-Smith. Credit: Beth Harpaz ''Paleontologists “are as much detectives as they are scientists,” said...
0 Reactions
0 Replies
439 Views
HISTORIA YA UDHALIMU IKIHIFADHIWA NI SILAHA KWA ALIYEDHULUMIWA NA HUWA FUNZO JEMA KWA DHALIMU Mgahawa mpya ulitangazwa kuwa utafuguliwa tarehe kadhaa na ukawa unafanyiwa matangazo katika gazeti...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom