Georgia, Marekani, hili ndilo tulio la kwanza kwa mtu aliyehukumiwa kifo kutoroka gerezani. Alitoroka siku moja kabla ya hukumu yake ya kifo. Bahati mbaya mtu huyo, alifariki kesho yake kwenye...
Siku njema ya kuzaliwa kwa Billclinton
SIJASOMA KITABU CHA MZEE MKAPA, ILA HILI SIDHANI KAMA HILI LIMEANDIKWA.
Twende pamoja kwa haya machache na mwisho uone mbwembwe za mwandishi wa habari huko...
THE butcher of uganda. brigadier isaac maliyamungu, chief of operations in the ugandan army, responsible for the brutal killings of thousands of ugandans during the 1971 to 1979 nightmare in the...
7SHEBE MOHAMED AWADH MZALENDO ALIYEHIFADHI HISTORIA YA TANU NA HISTORIA YA JULIUS KAMBARAGE NYERERE KWA JICHO LA CAMERA YAKE
Katika ukuta wa nyumba ya mama yangu mkubwa Bi. Mwanaisha bint Mohamed...
MZEE MOYO KATANGULIA KWENYE HAKI NA HAMZAH RIJAL
Anapotangulia mmoja kati yetu kwenye haki huzungumzwa marehemu kwa yale aliyoyafanya yakiwa ya kheri huzidi kupambwa, kuna wengine hufanya kila...
TUJIKUMBUSHE: SHEIKH ALI MUHSIN BARWANI MMOJA WA WAPIGANIA UHURU WA ZANZIBAR
Historia ni mwalimu tosha
Huwezi kuijua leo yako ikiwa huifahamu jana yako
Akudanganyae historia ya nchi yako
Ana lake...
BENARD MEMBE KUTOKA CCM KUNANIKUMBUSHA SIKU PROF. MALIMA ALIPOTOKA CCM 1995
Ilikuwa siku ya Ijumaa tarehe 15 Julai 1995, magazeti ya siku hiyo ‘’Majira,’’ ‘’Nipashe,’’ pamoja na gazeti la CCM...
ABDULWAHID SYKES NA HISTORIA YA TANU: "WE MZEE!" LUGHA YA DHARAU, KEJELI NA VITISHO''
Baada ya uhuru zilipoanza kauli ya kukashifu TAA na yeye mwenyewe Abdul kuwa hakuwa anaongoza chama cha siasa...
TAAZIA: PROF. IMMANUEL KILIMA BAVU HUPIGI GOTI KWAKE KUSOMA ILA ATAKUACHA NA ELIMU YA KUDUMU
Miaka mingi sasa imepita lakini mengi ya yale aliyonifunza Prof. Immanuel Kilima Bavu bado nayakumbuka...
Nimeona picha ya Baraza la Wazee wa TANU hapo juu.
Picha hii mimi ndiye niliye ‘’digitise’’ miaka ya mwanzoni 2000 na kuiweka mtandaoni kwa kila mtu aione ikiwa ushahidi wa mchango wa wazee wetu...
GUMZO LA HARITH GHASSANI: MOHAMED SAID ANAMWELEZA ABDUL SYKES KUTOKEA BURMA INFANTRY 1945, DOCKWORKERS UNION 1949 HADI TAA 1950 NA KUUNDA CHAMA CHA TANU 1954
Baada ya Kipindi Cha Kwanza...
WASIFU WA JULIUS NYERERE: HOTUBA KWA WAZEE WA DAR ES SALAAM KUWAAGA WATANZANIA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE NOVEMBA 5 MWAKA,1985
"Mimi nimeanza siasa na wazee wa Dar es Salaam; na wazee wa Tanzania...
KHITMA YA SALUM SHAMTE TANGA: SAYYID MUHAMMAD HASHIM AMEULIZA, ''YUKO WAPI SALUM SHAMTE MWINGINE?''
Moja katika siku kubwa za kukumbukwa katika mji wa Tanga ilikuwa siku mamudir wote wa mji wa...
Ukimtizama Dragon kwa makini kabisa kisha umtathimini halafu umng'oe mabawa na miguu kwenye ufahamu wako utapata taswira ya kiumbe fulani.
Umegundua nini?
Dragon ni Joka. Isipokuwa joka huyu ana...
NAFSI INAPOGHADHIBIKA
Kuna mtu alisema maneno yasiyopendeza miaka miwili iliyopita siku kama ya leo ikabidi nimjibu lakini nilikuwa nimeghadhibika:
"Jack kadri utakavyojua na kujua huwezi...
SIKUKUU YA WACHAGGA DUNIANI (WACHAGGA DAY FESTIVAL)
- Kila Tarehe 10/Novemba Ya Kila Mwaka Ilikuwa Ni Sikukuu Kubwa Sana Ya Maadhimisho Ya Siku Ya Wachagga Duniani Yaliyoendelea Kufanyika Mpaka...
Kwamba askari wa Uganda aliyotoka kambi ya Mtukula alivuka mpaka na kwenda kunywa kwenye baa ya Tanzania,huko kwenye baa ugomvi ukaanza akapigwa na raia wa Tanzania akarudi kambini kwakwe,kesho...
WIKI iliyopita nilielezea habari za vivutio vya utalii ambavyo havitangazwi na kwa kweli havitunzwi kabisa kwani hakuna miundo mbinu iliyowekwa ili vifikike kwa urahisi na watalii wa ndani.
Mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.