Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

BARAZANI Na Ahmed Rajab SIKU moja, siku yenyewe hasa nimeisahau,lakini ilikuwa Juni mwaka 1973, nilijikuta ndani ya lifti iliyojaa watu kwenye jengo la Bush House, katikati ya jiji la London...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
SAFARI YA NYERERE SUMBAWANGA KAMA ALIVYONIHADITHIA ABDALLAH SAID KASSONGO 1987 TANU Youth League ya Tabora chini ya uongozi wa Abdallah Said Kassongo ilikuja kuwa tawi hodari sana na lenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Safe haven: Fatebenefratelli Hospital, Tiber Island, Rome, 2019. Hospitali ya Fatebenefratelli Hospital, iliyopo katika Kisiwa cha Tiber huko Roma, nchini Italia ilikuwa na Wodi maalumu iliyojawa...
0 Reactions
0 Replies
992 Views
KISA CHA VIDKUN QUISLING Naamini itawashangaza wengi nikiwaeleza kuwa jina la Jecha na jinsi Wazanzibari walivyoliingiza katika msamiati wao ni sawa na jina la Vidkun Quisling nalo pia...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
MOJA YA PICHA ADIMU YA CAPTAIN MALIK Picha hiyo hapo chini ni katika Khitma ya Saigon kushoto ni Boi Iddi maarufu kwa jina la Boi Wickens, Captain Malik, Emmanuel Albert Mbele na Khalid Abeid...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
CAPTAIN MALIK ENCYCLOPEDIA YA HISTORIA YA MPIRA WA TANZANIA Jina lake ni Captain Malik na Mji mzima wa Dar es Salaam ukimjua kwa majina yake haya mawili. Hii ilikuwa Encyclopedia ya historia ya...
6 Reactions
43 Replies
5K Views
Nilisoma primary mpaka Form Six inchini Uganda. Baada ya hapo mzee wangu amabaye alikuwa mwambata wa balozi kule Kampala nchini Uganda alirejeshwa makao makuu ya JWTZ ngome. So mimi naye na...
12 Reactions
106 Replies
21K Views
Nilikuwa Zanzibar siku ile ya kupiga kura tarehe 22 siku ya Jumapili Oktoba mwaka wa 1995. Mvua kubwa sana ilinyesha. Katika shajara yangu nimeandika mengi hadi majumuisho ya kura zote pamoja...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MAULIDI YA MFUNGO SITA UCHAGGANI 1950s (KUTOKA KITABU CHA MAISHA YA RAJABU IBRAHIM KIRAMA) Maulid ya Mfungo Sita Moshi Uislamu ulipopata nguvu Machame na vijiji vingine Kilimanjaro kwa kuleta...
7 Reactions
23 Replies
4K Views
Je, wajua kua mwanasayansi nguli Isaac Newton aliwahi kua mbunge akiwakilisha mbungeni Kama muwakilishi wa chuo Kikuu cha Harvard? Basi ndo hivyo. Pia kipindi chake Cha ubunge hakuwahi kuchangia...
0 Reactions
1 Replies
898 Views
Isaac Newton: Isaac Newton (25 Desemba 1642 – 20 Machi 1727) alikuwa mwanahisabati, mwanafizikia na mwanateolojia kutoka nchi ya Uingereza. Anakumbukwa duniani kote kutokana na michango yake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jean Bokhasa alikua mwanajeshi aliyepigana WWII Katika jeshi la Ufaransa. Katika maisha yake jeshini kiongozi aliyemhusudu na kupenda kufuata nyayo zake alikua Napoleon. Bhokassa alikua mfujaji...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Uchaguzi huo ulifanyika nchini Liberia mwaka 1927. Ilikuwa ni uchaguzi wa raisi na mshindi akawa Charles D.B. King wa chama cha True whig ambapo alichaguliwa kwa kipindi cha tatu. Alimshinda...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Aboud Nadhif Abdallah, arrested and disappeared since 1969 The weekly Dira, in its issue of July 18–24, 2003, published an article on the demands for compensationmade by Ibrahim Aboud Nadhif...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Binadamu anapokata tamaa ya kupata Haki, Kisa cha Anerigo Bonasera na Don Veto Corleone. Mfano wa Sheikh Ponda. Katika kitabu cha "The Godfather," kuna watu wawili muhimu katika kueleza nini...
22 Reactions
37 Replies
4K Views
CROSSING THE RUBICON Julius Caesar alivuka Mto Rubicon mwezi Januari 49 BC akiwa na jeshi kubwa nyuma yake na baada ya mguu wake kukanyaga upande wa pili wa mto vita ya wenyewe kwa wenyewe baina...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Baada ya kugundulika mwili wa Pharaoh Ramesses 2 katika makabuli ya wafalme (Valley of Kings) huko Misri Rais wa Ufaransa Valéry Giscard d'Estaing katika miaka ya 1980 alifanikiwa kuishauri...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
NYUMBA YA MWALIMU NYERERE MAGOMENI MADUKA SITA 1955 Rafiki yangu kanipatia picha ya nyumba aliyokaa Mwalimu Nyerere Magomeni Maduka Sita. Mwalimu Nyerere anaonekana nje ya nyumba yake akiingia...
7 Reactions
28 Replies
6K Views
Habarini Wakuu Katika kukaa kwangu na kutafakari katika muonekano na katika biblia tunasoma siku ya sabato yapaswa kufuatwa sawa lkn nina mtazamo chanya ambao wasabato wanaupuuzia siku hizi na...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…