MOJA YA PICHA ADIMU ZA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Iko siku miaka michache iliyopita nilikwenda kumtembelea nyumbani kwake Magomeni Mikumi Kisiwani, rafiki yangu toka udogoni...
WASIFU WA JULIUS NYERERE: COMBINED DANCING CLUB TABORA 1945
Katika Wasifu wa Julius Nyerere mwandishi kaeleza uhusiano wa Mwalimu Nyerere na Maulidi Kivuruga mmoja wa wanachama wa Combined Club...
MASIJALA YA KITUME YA VATIKANI - Vatican Apostle Archive.
Imekuwepo zaidi ya karne 3 sasa, ni KIINI cha SIRI za Kanisa KATOLIKI Duniani. Mwanzoni iliitwa MASIJALA YA SIRI ikabadilishwa jina...
Kabla ya Mwaka 1920 Hakukuweko na nchi ikiitwa Tanganyika Kwa kuwa chini ya utawala wa Kijerumani Tanzania Bara iliitwa Deustche Ost-Afrika, ilikuwa lazima Waingereza kutafuta jina lingine mara...
VIPI ILIUNDWA TANU NA NANI WALIUNDA TANU 1954?
Nimeulizwa swali hilo hapo juu katika group moja.
Swali nimelifanyia uhariri kidogo ili mada ikae vyema.
Jibu la swali hili ni hili hapa chini...
Kuna mtu alisoma makala hiyo hapo chini niliyomtaja Baba wa Taifa
Mwalimu Julius Nyerere kuwa mwaka wa 1956 alishiriki dua shambani
kwa Sheikh Abdallah Iddi Chaurembo, Mtoni yeye akahangaika...
Katika Maisha Kuna Milima Mabonde, Na Yote Tumeumbiwa Binaadamu Hatuna Budi Kuyavuka.
Kwenye Maisha Feli,Kosea, Anguka Mara 100 Ili Ufaulu Mara Moja
Ben Carson Alibaguliwa Sana Kutokana Na Rangi...
Wakuu habari za mchana, naomba anayejua kuhusu hii marshal plan ya US baada ya vita kuu ya pili ya dunia ilikuwa ni nini haswa, anisaidie, ikiwezekana kwa Kiswahili nitashukuru sana.
Miaka ya 1990 mchoraji maarufu mwanamama Laura P raia wa US aliichukua picha orijino iliyopigwa na mpiga picha James Kidd katika mashindano ya kukimbiza farasi huko Tombstones, Arizona US na kisha...
Majanga yanaanzia Septemba 23, 1955, ambapo James Dean raia wa Los Angeles US alinunua gari yake ya michezo aina ya Porsche 550 kwa muuzaji George Barris na akaenda kuiboresha zaidi ionekane vile...
KWENYE PICHA
Kwenye picha hii kuna watu Wanne.
Hao wanaume Weusi
Mmoja ni Susi
Na mwingine ni Chuma Wakiwa Nchini Uingereza Kwenye Mazishi.
Chuma na Susi ndio Waafrika Pekee waliobeba Mwili wa...
Mtawala wa Saadani, Alitawala chini ya Sultani wa Zanzibar kama mkubwa wake lakini akafaulu kutetea nafasi yake kama sultani aliejitegemea.
Mwaka 1882 aliweza kushinda jeshi la Sultani Sayyid...
Umuofia kwenu!
Naomba kujuzwa machache kuhusu Taifa hili, linaloongozwa na Mfalme Mswati (kwa sasa). Kijiografia limezungukwa (limemezwa) na nchi ya Africa Kusini, machache kati ya mengi ni kama...
THE 1966 CRISS; TO ATTACK THE MENGO KABAKA'S PALACE ON MAY 24th 1966
By Comred Mbwana Allyamtu
mbwanaallyamtu990@gmail.com
At the time of the attack, Sir Edward Muteesa, the then 35th Kabaka of...
HOTUBA YA RAIS WA TANGANYIKA JULIUS NYERERE BUNGENI 10 DESEMBA 1962 WAKATI TANGANYIKA INAKUWA JAMUHURI
‘’Hakuna njia nyepesi ya kuondoa tafauti baina ya raia wetu Waafrika na wasio Waafrika...
Kuna muda huwa nawaza kuhusu Iddi Amin nikagundua alikuwa kiongozi mzuri aliyeandikwa vibaya
Iddi Amini angekuwa hai pengine Uganda ingekuwa na maendeleo kupita hata Marekani. Iddi Amini...
(MAZINGE WA INDIA)
Dr. Zakir Naik
Dr. Zakir Naik kwa wale watazamaji wa TV iitwayo Peace Tv inayo endesha vipindi vya dini sio sura ngeni kwa mtaalamu huyu.
Dr. Naik ni mwanaharakati wa dini...
3 Karimjee Jivanjee & Co in Tanzania, 1860–2000: A case for ‘diasporic family firms’1 Gijsbert Oonk Erasmus University Rotterdam Oonk@eshcc.eur.nl To be published in Ute Röschenthaler and...
SAYYID SALIM OMAR L’ATTAS
Nina kawaida kila ninapopata taarifa za historia za watu ambao jamaa zao wapo hai huwa nawapelekea ili ikiwa wana jambo ambalo mimi silijui wapate kunifahamisha na hii...