Azarel kaandika maneno hayo hapo chini:
"Nyerere alikuwa mwerevu na mwenye uwezo mkubwa wa kuongoza.
Aliwafumbua macho wacheza bao, wale wavaa kobasi waliokuwa na Ilmu Akhera tu." Azarel (JForum)...
Kikosi cha kumlinda rais Marekani , kupendekeza msafara wa huyu jamaa uwe kwenye gari ya limousine convertible kuliyagharimu maisha yake.
Natumaini vitengo vya ulinzi wa rais duniani kote...
Moja ya mambo makubwa niliyojifunza Ughaibuni ni namna wenzetu (hasa weupe) wanavyothamini mambo yao ya kale. Na tunaposema “kuhifadhi” si tu watu maarufu au kadhia fulani za kiserikali. Zamani...
KHITMA YA SAIGON CLUB YA IDDI SIMBA MSIKITI WA MTORO
Msikiti wa Mtoro kwa baadhi yetu tuliokulia Dar es Salaam unatukumbusha wengi katika wapendwa wetu ambao wametangulia mbele ya haki.
Binafsi...
Ni kwamba Marehemu Satta,wazazi wake wana asili ya Tabora inaposemekana pia hadi leo pana hotel iitwayo Satta na ndugu zake wengine wapo huko.Inadaiwa hivyo jameni.
Alizaliwa 1937 lakini critics...
MAKARATASI YA "UCHOCHEZI" DHIDI YA SERIKALI SEHEMU YA KWANZA
Wakati natafiti kitabu cha Abdul Sykes nilipata taarifa za kachero Amiri Kweyamba kutoka kwa kinywa cha Ally Sykes.
Ikatokea nikaja...
Katika mambo ambayo mpaka leo yameshindwa kujulikana, ni nani allitengeza sarafu ya Bitcoin ambaye alijipachika jina la Satoshi Nakamoto.
Watu wengi wamekuwa wakihisiwa lakini mwisho inagundulika...
MAKARATASI YA "UCHOCHEZI" DHIDI YA SERIKALI SEHEMU YA PILI NA YA MWISHO
Wakati Ally Sykes yuko ndani nyumbani kwake Mtaa wa Kipata anachapa mikaratasi yake ya "kuchochea," wananchi kujiunga na...
MARA YANGU YA KWANZA KUMTIA MACHONI IDDI SIMBA 1980s
Ilikuwa miaka ya 1980 tuko nyumbani kwa marehemu Bi. Mruguru bint Mussa, mama yake Ally Sykes Mtaa wa Lindi.
Pametokea msiba Bi. Mariamu...
Serikali ya Mkoa wa Singida imefanya uamuzi wa kubadili jina la uwanja wa mpira wa MAMFUA STADIUM na sasa umepewa jina la LITTI STADIUM ikiwa ni hatua muhimu za kumuenzi mwanamke shujaa wa Singida...
Hii sio AFRIKA NA UAFRIKA. Leo nakusimulia kuhusu paka aliyenusurika kufa vitani mara tatu.
Paka ana roho ngapi? Utaskia watoto wanajibu ANA ROHO SABA Labda theory hii ya kikatili ya kumsifu paka...
NIMEULIZWA KUHUSU HISTORIA YA BABA WA TAIFA NA UVUTAJI SIGARA, KUSUDIO NINI?
Mtoto...
Nimekutana na picha za vitu vya zamani hapa mtandaoni vitu ambavyo vimenikumbusha historia niijuayo katika...
KISA CHA ZAHAKI RASHID: KUTOKA MAUAJI YA MWEMBECHAI 1998 HADI MAUAJI YA STAKISHARI 2015
Zahaki Rashidi
Ndugu msomaji,
Ili uweze kufaidikia na kisa cha Zahaki Rashid ni muhimu kwanza...
Anaitwa Annora Petrova, alizaliwa Mei 5, 1991 mjini Portland, Oregon US, alikuwa ni mchezaji maarufu wa mchezo wa 'skating' kutoka US tangu akiwa bado binti mdogo tuu.
Mchezo huu unaochezwa zaidi...
Habari binafsi
Tufuatane hapa chini
Aliingia Kyoto mwaka 1579 mamia walikusanyika kumuona mtu wa kwanza mweusi kuingia mjini hapo. Kiongozi wa mji aliamuru aoshwe kwa kile alichoamini kuwa ile...
KAMA NILIVYOWAONA KATIKA UTAFITI WA HISTORIA YA TANGANYIKA
BARAZA LA MAWAZIRI WA TANGANYIKA 1963
Julius K. Nyerere, 41 years old, President
Rashidi Mfaume Kawawa, 34 years old, Vice-President...
Leo katika Historia
siku kama ya leo ambayo ilikuwa tarehe 2 May,1980 takribani miaka 40 iliyopita kiongozi mkuu wa kanisa katoriki duniani pope John paul wa pili alifanya Ziara ya kikazi nchini...
EVERTON FOOTBALL CLUB MTAA WA NARUNG'OMBE, 1966
Mwaka wa 1966 wastani wa umri takriban sote tuliokuwa Everton ni miaka 15/16.
Kulikuwa na wenzetu mimi sina taarifa zao kabisa na kwa hakika huwa...
JUMA VOLTER MWAPACHU ANAKUMBUKA MAZUNGUMZO KATI YA BABA YAKE HAMZA KIBWANA MWAPACHU NA ABDULWAHID KLEIST SYKES NANSIO UKEREWE 1953
''I still recall the visit vividly. I was a standard three pupil...