Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Perpetua alizaliwa huko Tunis (Mji mkuu wa Tunisia) Afrika ya Kaskazini mwaka unaokadiriwa kuwa wa 182, alizaliwa katika familia ya kitajiri, yenye kuheshimika sana, baba yake alikuwa ni mpagani...
8 Reactions
51 Replies
8K Views
Tarehe 12 January 1964 ni siku itakayoendelea kukumbukwa kama siku ya mwisho ya ukomo wa utawala wa KiSultani visiwani Zanzibar. Kuna mambo mengi ambayo hayakuwekwa wazi kuhusiana na mapinduzi...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Katika gazeti la Hoja (Ijumaa, Novemba 15 – 21, 2019), kuna makala ‘’Mufti Zubeir alivyoikarabati BAKWATA,'' iliyoandikwa na Hemed Kimwanga. Makala hii ingepita kama makala nyingine yeyote ile...
16 Reactions
142 Replies
16K Views
NYERERE KATIKA MACHO YA PROFESA AHMED MUHIDIN Gazeti la Raia Mwema Machi 25 - 31, 2020 wamechapa makala ya Prof. Ahmed Muhidin akimzungumza Mwalimu Julius Nyerere. PROF. AHMED MUHIDIN ANAMUELEZA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MAJINA YA KINYAKYUSA NA MAANA YAKE. LUSAKO. BAHATI LUSAJO. BARAKA LUGHANO. UPENDO LUTENGANO. AMANI LUSEKELO. FURAHA LUSUBILO. TUMAINI TUPOKIGWE. TUMEOKOLEWA TUPOKE. TUOKOE MPELI. MUUMBA NTULI...
13 Reactions
102 Replies
57K Views
Interesting history! They used to use urine to tan animal skins, so families used to all pee in a pot & then once a day it was taken & sold to the tannery. If you had to do this to survive you...
1 Reactions
2 Replies
830 Views
HUYU NDO CARL PETERS ALMAARUFU "MKONO WA DAMU" ANAYECHUKIWA MNO NA WATANZANIA. Carl Peters mjerumani tapeli aliyewazuga machifu na kupoteza uhuru wao aliwahi kutamka kwamba, "kuwapa uhuru watu...
12 Reactions
42 Replies
11K Views
Habari wakuu bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada Natumaini wote tumeshasikia mengi sana kuhusu alexander the great ila kuna mambo machache yananitatiza na tusaidiane kujuzana...
2 Reactions
11 Replies
6K Views
Musa Keita I came into power in 1312. When he was crowned, he was given the name Mansa, meaning king. It is said that Mansa Musa had conquered 24 cities, each with surrounding districts containing...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Inafahamika kwamba binadamu wa kawaida, akizidi sana basi anakuwa na urefu wa futi 7 na hapo kila mtu anamshangaa! Hashim Thabeet, mcheza kikapu wa nchini Marekani mwenye asili ya Tanzania, ana...
9 Reactions
25 Replies
43K Views
Kila karne, hususan katika kilele cha kipindi kinchoishia '20' dunia inakumbwa na maradhi makubwa ya kufisha? Yaani namaanisha: 1120, 1220, 1320, 1420, 1520, 1620, 1720, 1820, 1920, 2020, 2120...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Dunia ina maajabu yake. Basi leo tuangalie baadhi tu ya maeneo ambayo hukufikiria kama yanaweza kuwepo duniani na utastaajabia maajabu ya Mungu katika uumbaji wake. 1. Gates of Hell Eneo hili...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
John F Kennedy JFK anafahamika kama miongoni mwa marais wa Marekani waliokaa madarakani muda mchache zaidi Sasa leo tunawajadili viongozi waliokaa madarakani(walioyatumikia madaraka) kwa muda...
13 Reactions
90 Replies
15K Views
Habari wadau? Sikumbuki kama mada ya aina hii imewahi kutoka. Ila Kama Bado, nataka kuchangia na wadau kwamba, historia ya dunia tangu kuumbwa kwa ulimwengu, mtu wa karibu amekuwa akitajwa sana...
5 Reactions
16 Replies
4K Views
ANTONINE PLAGUE (165 AD) daeth toll: 5 million cause: Unknown Location: Rome ( uliambukizwa na askari ya waliofika Rome kutoka mesopotania- 165AD) maeneo yaliyo athirika zaidi Greece, egypt...
5 Reactions
29 Replies
6K Views
Makambako ni sehemu maarufu Sana hapa nchini kwakuwa ipo katika njia panda ya kwenda Mbeya, Songea na Iringa Makambako kwa Sasa inapatikana katika mkoa wa Njombe HISTORIA YAKE Kipindi cha ngoni...
13 Reactions
39 Replies
10K Views
WAMAKONDE na Wameto wa Msumbiji wanaishi katika Mkoa wa Cabo Delgado Kaskazini-Mashariki mwa nchi hiyo na Wamakonde wa Tanzania wanaishi zaidi katika wilaya zote za Mkoa wa Mtwara ila Masasi na...
2 Reactions
17 Replies
12K Views
Samahani wadau ambao ni manguli wa historia, naomba mnipe ukweli kuhusu mwisho wa vita ya pili ya dunia na kifo cha adolph hitra na alizikwa wapi??? Nisaidieni hili
4 Reactions
50 Replies
19K Views
Mbunifu wa bunduki aina ya AK 47, iliyomuua Rais Abeid Amani Karume Mikhail Timofeyevich Kalashnikov APRILI mwaka 1972, Rais Abeid Amani Karume wa Zanzibar, aliuawa akiwa anacheza bao na...
15 Reactions
61 Replies
38K Views
Huyu ndiye Mehmet Emin Pasha ambao ni jina la kupewa...Eduard Schnitzer ndio jina lake halisi... hawa ni wenzake akiwemo Mwandishi wa habari na mtafiti...Mwingereza... Henry Morton Stanley...
4 Reactions
12 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…