Alama Mohamed Said ameleta mabadiliko ya historia ya Tanganyika katika medani ya Uhuru na "resistance" iliyofanywa kwa juhudi kubwa ya "Vita ya majimaji" na juhudi binafsi za na nani alikuwa...
Wadau wa JF
Utafiti huu wa imani za Ushirikina (Uchawi) ulifanywa na Serikali mwaka 1978 kupitia Wizara ya Utamaduni wa Taifa na Vijana na lihusisha Mikoa ya Kigoma, Tanga na Rukwa
Hata...
Kama mkiweza kuweka na picha ya Watangazaji mnaowajua itapendeza zaidi. Picha na jina la Mtangazaji.
Wakati huo radio zilizotumika alimaarufu kama redio za phillps, national, panasonic na...
Ndugu yangu mmoja kasoma taazia niliyomwandikia Dr. Mayanja Kiwanuka (Ahmed Kiwanuka) na baada ya kusoma akaniletea picha ya kibao cha Mtaa wa Kiwanuka ulioko Upanga na akanieleza kuwa Mtaa wa...
Mkutano wa Iringa ulipitisha katiba ya jumuiya mpya ya Waislam, katiba ambayo ilikuwa sawasawa na katiba ya TANU.
Hivi ndivyo BAKWATA ilivyoundwa.
BAKWATA ikamchagua Saleh Masasi, Muislam tajiri...
Baada ya uhuru mwaka wa 1961 palizuka hofu kubwa sana ya kuogopa Uislam na Waislam Tanganyika.
Mwaka wa 1963 ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya TANU Ukumbi wa Karimjee palizuka ugomvi kati ya...
https://youtu.be/tpj0t6SIreE?si=gsDZm8sHGCJQkYPJ
Katika mkusanyiko huu wa Waislam chini ya Muslim Development Fund (MDF) Mwenyekiti wake akiwa Mzee Kondo, Mzee Kitwana Kondo alisema kuwa nia ya...
Hawa watu wameacha alama isiyofutika katika mataifa yao.
Maana kazi waliyofanya ilikuwa ngumu na kubwa haswa.
Vita ya kupambana dhidi ya umasikini ni vita ngumu inahitaji viongozi wenye akili ya...
MJADALA WANGU NA MAREHEMU DR. KATAROGE MAYANJA KIWANUKA (AHMED KIWANUKA) 1988
Nimepokea ujumbe huo hapo chini kutoka kwa mmoja wa wasomaji wangu:
‘’Historia hii itufunze mambo mengi.
Kafa...
Leo nimeona niwaletee kisa cha Zambia kupoteza marais wao wawili wakiwa madarakani ndani ya kipindi cha miaka 6.
Levy Patrick Mwanawasa alikuwa Rais wa awamu ya tatu na Rais wa Kwanza kufia...
Kwa wasiofahamu washiraz ni jamii ya ya watu huko iran kama kabila hivi.
Achana na washirazi wa hapo unguja na mafia naongelea washiraz original.
Hawa wanaweza kua ni kabila lililokua na...
Leo tuwakumbuke viongozi mahiri na shupavu kuwahi kutokea Tanzania.
Naanza na Bibi Titi Mohamed, huyu kwangu mimi anabakia kuwa “Iron Lady” mwanamama mahiri zaidi katika ardhi ya Tanzania.
Huyu...
TAHADHARI; NIMAKALA NDEFU KIDOGO,LAKINI NAOMBA USOMA HADI MWISHO
( samahani Ilitolewa vibaya na kwa kichwa tofauti, sasa nimerekibisha kidogo kimwonekano ili isomeke vizuri)
Umeme:
Ni janga la...
AZIZ ALI DOSSA KIDONYO-MMOJA WA WAAFRIKA MATAJIRI WAKATI WA UKOLONI NCHINI TANGANYIKA
AZIZ Ali alijitengenezea umaarufu Kutokana na kwamba aliweza kumiliki majumba mengi na magari ya biashara (...
Kwanini hakuna sanamu ya huyu mwamba wa kiafrica aliyetengeneza Jeshi la Kiafrica lililokua na ufanisi dhidi ya waarabu kama vile IDF ya israel.
Mwamba toka Uganda alikuja Zanzibar akaona...
Kwa ufupi.
Lt. Rajab Ahmed Mlima alizaliwa 30 Agosti 1977 na alifariki 27 Oktoba 2013.
Luteni Rajab Ahmed Mlima alikuwa askari katika jeshi la wananchi JWTZ, alikuwa Komandoo katika kikosi...