TEAM YA AL FATAH ONLINE TV WALIOPOTEMBELEA MAKTABA KWA MAHOJIANO
Sijawahi kufanya kipindi cha namna hii na kwa mtindo huu.
Nilimwambia Rashid na wenzake Talib na Juma kuwa Maktaba ina mitaa na...
Wakristo na Waislamu waliomiliki watumwa kabla biashara ya utumwa haijakomeshwa walikuwa watu wema wa dini zao au waovu watakaochomwa moto?
Kwa nini inaonekana watu wa hizi dini kubwa mbili...
Historia ya Mkwawa na Uhehe.
Mkwawa au kwa jina defu Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga (19 Julai 1898) alikuwa chifu na kiongozi mkuu wa Wahehe katika Tanzania wakati wa upanuzi wa ukoloni wa...
Akiwa na umri wa miaka kumi tu tayari alikuwa ameshauwa watu watatu na cha kushangaza zaidi mmoja kati ya hao waanga mmoja alikua ni dada yake wa tumbo moja.
NI NANI HUYO.
Kwa majina anafahamika...
habari.
Jukwaa hili ni kwaajili ya kukumbushana maisha ya zamani, zana zilizotumika zamani michezo na masomo ya zamani na mengineyo yote ili vizazi vijavyo viweze kujifunza.
Karibuni nyote.
Lucy Lameck amezaliwa huko mkoani Kilimanjaro mnamo mwaka 1934, alikuwa Mwanamke msomi ndani ya TANU, aliyehimu Vyuo Vikuu vya Oxford Nchini Uingereza na Michigan, Marekani
Alikuwa mwanamke wa...
PITIO LA KITABU: BARAZA YA MAJESTIC NA MACHINJIONI KWA BAMKWE
Hiki ni kitabu cha nne ambacho nimekifanyia patio katika vitabu ambavyo vinaeleza mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka wa 1964. Kitabu cha...
SMAIL BAYUMI MUASISI WA TANU CLUB MOMBASA 1950s
Nimemjua Ismail Bayumi Moshi mimi nikiwa mtoto mdogo wa darasa la pili au la tatu miaka ya mwanzoni 1960s.
Naukumbuka utanashati wake na gari yake...
Nilikuwa nasoma kitabu Desturi za Wachagga, by S. J. Ntiro, 1953. Jisomee mwenyewe.
MLANGO WA 5
ASILI YA WACHAGGA
Wachagga ni kabila lenye mchanganyiko wa makabila mengi sana. Makabila haya...
Malcom x alikua anatuchanganya sisi wabantu.Haiwezekani unatuambia tuachane na tamaduni za kizungu na tuache dini za kizungu na taratibu za maisha ya kizungu.
Afu wakati huo huo unatushauri...
Kitabu hiki kilichapwa mara ya kwanza mwaka 1930.
HABARI ZA NCHI ZILIZO MAGHARIBI
Somo 1-Wahima
KATIKA sura ya kwanza tulisoma ya kuwa sisi Wabantu si watu wa asili wa nchi tunazokaa sasa maana...
Jina Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya au Mkushi sio jina maarufu kama walivyo wanasiasa, wanamichezo na wasanii.
Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya a.k.a Mkushi, yeye ndio muasisi wa makundi...
Marehemu Major Gen. Muhiddin Kimario, mmoja ya mawaziri wawili tu wa Mambo ya Ndani katika historia ya Tanzania kuwahi kudumu katika nafasi hiyo kwa zaidi ya miaka 5.
Alitumwa na Mwl Nyerere...
Asema katika Vita ya Kegara udhibiti wa mawasiliano na taarifa ulikuwa wa kiwango cha
Raia Mwema: Hali ilikuwaje kule eneo la mapambano wakati wa vita ya Kagera?
Jenerali Kikwelu: Kazi ilikuwa...
Hapo zamani za kale, Kuku na Tai walikuwa marafiki. Waliishi kwa amani na ndege wengine. Hakuna kati yao aliyeweza kupaa.
Kuna siku njaa ilitokea. Ikamlazimu Tai kutembea umbali mrefu kutafuta...
#MAKINIKIA: HEKAYA FUPI YA KABURI LA WAPENDANAO LILILOPO KATIKA JIJI KONGWE LA TANGA AMBALO LINASEMWA KUWA NDIO KITOVU CHA MAPENZI
Jijini Tanga, katika kata ya Usagara karibu na uwanja wa hockey...