MFUNGO WA RAMADHANI KATIKA MJI WA HARARE ZIMBABWE
Zamani ilikuwa ukiwa na safari unahitaji vibali kadhaa ili uweze kusafiri, iwe safari ya kikazi au vinginevyo.
Kwanza utahitaji kibali cha Benki...
Jamani hiki kitu nimekuwa nikikiwaza kwa muda mrefu sana, hivi kati ya Mwalimu na Mandela nani alitoa mchango mkubwa zaidi?
Kwa fikra zangu nijuavyo mimi, Nyerere alitoa mchango mkubwa sana...
Alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Alikuwa ni mchapa kazi sana na miongoni mwa Wakuu wa Mikoa waliokuwa kipenzi cha Baba wa Taifa miaka hiyo. Katika uongozi wake, alipandisha hadhi ya...
Binafsi nimejipa utaratibu kuwa vitabu vinavyohusu uafrika na waafri sitavitilia mkazo sana vile vilivyoandikwa na wazungu bali vilivyoandikwa na Waafrika wenyewe! Mfano ukisoma historia ya Mkwawa...
Darsa hii ya Tafsir ya Qur'an hapa Ujiji kila Mwezi wa Ramadhani iliasisiwa na Sheikh Swedi Bin Abdallah Silanda miaka mingi iliyopita.
Sheikh Swedi alikuwa mwanafunzi wa Sheikh Khalfan Zindijali...
Wadau wa historia ya Tanganyika mnisaidie.
Mwaka 1958 uchaguzi ulifanyika Tanganyika na TANU kupata viti 29 kati ya 30 huku kiti kimoja cha ubunge yani Legislative Council kikichukuliwa na UTP...
mwandishi; pia hutaki mapadre wajihusishe na siasa ?
mobutu; ni swala lisilo kubalika,kama ma padre wakigusisha pua zao kwenye siasa za ubelgiji,ni sawa na ni vizuri lakini kwa hapa [zaire]...
Shida kubwa iliyopo Bara la Africa ni kutokuwa na Viongozi jasiri ambao hawawezi kufanya maamuzi pindi wanapotakiwa kufanya hivyo.
Kibaya zaidi Imf na world bank ndio wamekuwa wakitoa ushauri wa...
MFUNGO WA RAMADHANI MJINI BERLIN UJERUMANI
Sijapatapo kuishi mji mgumu duniani kama Berlin na naamini hii ni sawa katika miji yote ya Ujerumani.
Kwanza ni Wajerumani wenyewe na sura zao za...
Nimeiona clip Instagram, sifahamu akiwa wapi lakini ujumbe wake ulisema haya:
Vijana ni hazina ya taifa na hazina ya chama.
Mnapochaguliwa kuwa viongozi si kwakua mna degree na PhD, si kwakua...
RAMADHANI MUBARAK
Observation of the holy month of Ramadhan in actual fact begins when the moon is sighted at the end of Shaaban.
Soon after Magrib prayers all eyes will be in the sky...
VITA YA KAGERA ILIMNYANYUA YOWERI KAGUTA MUSEVENI NA KUWAANGUSHA YUSUPH LULE, GODFREY BINAISA NA TITO OKELLO.
Na.Comred Mbwana Allyamtu
Thursday -18/10/2018
Nimeshawishika kuandika makala hii...
JUVENAL HABYARIMANA: MKOMBOZI ALIYEGEUKA KUWA DIKTETA UCHWARA, KIFO CHAKE CHANZO CHA MAUAJI YA HALAIKI (GENOCIDE) NCHINI RWANDA.
Na. Comred Mbwana Allyamtu
Wednesday- 18/7/2018
Mbinu za...
LOUS RUDOVIKO RWAGASORE SHUJAA NA BABA WA TAIFA WA BURUNDI, CHEMBE CHEMBE ZA UKOMINISTI ZILIMFANYA KUWA MTU HATARI MBELE YA MABEPARI NA KUKATISHIWA MAISHA YAKE KWA KILE KILICHOITWA OPERATION...
-Wilaya yenye wachapakazi wazuri.
-Wilaya ya kwanza kwa shule nyingi za sekondari. Kata inashule zaidi ya 1
-Wafanya biashara wakubwa nchini. Mf. Air Precision, rombo grean view,
- Barabara ya...
MALIKIA NJINGA MBANDE, ALIKUWA MALIKIA SHUPAVU,MAHIRI, MWENYE DIPLOMASIA LAKINI MWENYE MBINU ZA HALI YA JUU ZA KIJESHI KUWAHI KUTOKEA AFRIKA.
Na.Comred Mbwana Allyamtu
Thursday - 17/10/2018...
MIAKA 57 YA UHURU WA TANGANYIKA NI FAHARI YA TANZANIA ILIYOBEBA HISTORIA, UTAJILI NA HESHIMA KUBWA MNO BARANI AFRIKA.
Na. Comred Mbwana Allyamtu
Friday -7/12/2018
Siku ya kesho kutwa yani tarehe...