(1) Tarehe 26/04/1964 Ndio siku ambayo Jamhuri ya Watu wa ZANZIBAR iliuwawa [State death]
(2) Tarehe 26/04/1964 Ndio siku ambayo Wazanzibar walipoteza mamlaka yao [Sovereignty] ya Nchi yao.
(3)...
Kutoka gazeti la leo la THE CITIZEN
ON THIS DAY
1993: President Ali Hassan Mwinyi, sends condolences to ANC President, National Chairman Oliver Tambo. In the condolences, President Mwinyi asked...
Tarehe 26/4/2019 ni maadhimisho ya Muungano wa Tanzania. Tukio la kitaifa linalochagizwa siku hiyo ni mkutano wa Mh Rais na Wananchi wa Mbeya katika uwanja wa Rwanda Nzovwe. Katika kudadisi...
Akili inapozoea kitu kwa muda mrefu sana na kukiamini huwa inapata tabu kuamini elimu mpya inayokinzana na yale aliyofundishwa kwa muda
mrefu.
Nimeandika kitabu cha maisha ya Abdul Sykes na ndani...
John F Kennedy, Julius K Nyerere, Oscar N Kambona and Erasto Mang’enya they had a meeting in the Oval Office.
Erasto Mang’enya was the first Speaker of Tanzania after independence.
UKWELI KUHUSU NYOKA MWENYE VICHWA VIWILI
Ukweli ni kwamba nyoka mwenye vichwa viwili yupo, lakini ni wachache sana. Hawa nyoka ni kama mapacha walioungana au unaweza kusema kuwa ni nyoka...
Utakaposikia stori ya kijana Boriska Kipriyanovich anayeishi eneo liitwalo Volvograd nchini Urusi, unaweza usiamini hata kidogo, sanasana utamuona dogo huyu kama amechanganyikiwa.
Hebu sikia...
Hapo juu ni sehemu ya taarifa za Abdul Sykes kutoka kumbukumbu za Waingereza.
Nikisoma hii taarifa nimekutana na makosa mengi sana kuanzia majina yake, umri,
kabila yake hadi kazi alizofanya...
Kushoto: Iddi Faiz Mafungo, Sheikh Mohamed Ramiya, Julius Nyerere, Saadan
Abdu Kandoro na Haruna Taratibu Dodoma Railway Station, 1955
Leo Rais John Pombe Magufuli amefanya kitendo cha...
Wenyeji wa Papua New Guinea na IRIAN JAYA huishi maisha kama ilivyokuwa Enzi za Adam na Eva
Mila za wenyeni hawa neno kusjisiriri linahusu sehemu moja tu kwa wamaume sehemu yenuewe ni muhimu...
Kitabu cha maisha ya Sheikh Sayyid Omar Abdallah maarufu kwa jina la Mwinyi Baraka kilochoandikwa na Prof. Mohamed Bakari kimewasili nchini.
Naogopa kuandika pitio la kitabu hiki kwa kuwa nahisi...
In 2019, mwaka mpya wa kibiblia ulianza April 6th 2019 (juzi).
Siku hiyo ndio ilikuwa siku ya kwanza, ya mwezi wa kwanza wa kibiblia unaoitwa Abib.
Sometimes milango ya kiroho ya maombi ya muda...
DOLA YA WACHAGGA MIAKA MICHACHE KABLA YA UHURU.
By Malisa GJ,
Wakati wazungu wanagawana bara la Afrika, walipokuja walikuta baadhi ya maeneo kuna tawala zenye nguvu, zilizokua na mfumo rasmi wa...
MODS mmeondoa thread hiyo hapo juu, ambayo kuna member aliulizia.
Nampa ukweli wa Gibbons Mwaikambo kwa ufupi.
Hii mada hata leo ina somo kubwa.
Watoto waliozaliwa majuzi hawawezi kumfahamu...
Asili ya neno Daladala ni jina tulilolitohoa kutoka sarafu ya Marekani, yaani, Dola. Nakumbuka kwenye miaka ya 80 mwanzoni , na katikati ya shida kubwa ya usafiri Dar, nauli za usafiri wa vibasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.