Habari wanajamvi,
Naombeni kama kuna mtu anaye fahamu au mwenye historia ya watu waliokuwa wanaishi katika eneo la Engaruka Wilayani Monduli Mkoani Arusha.
Wenyeji/watu waliokuwa wanahishi eneo...
The Bunge can be a very interesting theatre for epic stories of which authors like Irving Wallace could be inspired to write best seller tantalising novels which film makers like Oliver Stone or...
The Danube, known by various names in other languages, is Europe's second longest river, after the Volga. It is located in Central and Eastern Europe. The Danube was once a long-standing frontier...
Ukiachilia mbali kuwa Wilaya ya Manyoni kuna Kijiji kinaitwa Chisingisa ambapo ndio ipo alama ya kuonyesha pale ndio katikati kabisa ya Tanzania, lakini nimekutana na hichi kisa hivi karibuni...
Naomba mwenye kukumbuka anisaidie hiyo statement aliitoa Nyerere, mwaka gani na kwenye tukio gani. Ikiwezekana na kitabu chenye quotation ya hiyo statement nitafurahi
kati ya mwaka 1330 hadi 1355 duniani kuliibuka plague au tauni kali sana maarufu kama black death. Kitabu hiki kinaelezea chanzo, madhara na matokea ya Tauni hii huko ulaya. Tauni hii inasemekana...
Habari zenu wakuu,
Ninapenda kuwasilisha historia fupi ya 'double agent' Juan Pujol Garcia almaarufu 'Agent Garbo' au Alaric Arabel.
Garbo ni mzaliwa wa Spain(Barcelona) katika familia ya...
kwa wenye historia ya mzee Bakari Mfaranyaki alikuwa na mchango gani huyu mzee maana mi nimesikia habari zake juu juu tu sasa sijajua imekaaje historia yake
Singida ni moja ya mkoa unaopatikana katika nchi ya Tanzania. Wakazi asilia wa mji huu ni Wanyaturu na Wanyiramba (habari zao tulishaandika).
Mji wa singida ni moja ya maeneo yenye historia kubwa...
Kwa kuwa historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika haifahamiki na wengi hii imepelekea pia kwa wanawake wanachama wa mwanzo kujiunga na TANU kupigania uhuru wa Tanganyika wengi wao hawafahamiki...
Jean Bedel Bokassa alikuwa dikteta wa CAR, alikuwa na wake 17 na watoto hamsini. Alifanywa yatima wafaransa walipomuua baba yake akiwa na miaka 6.
Baada ya baba yake kufa mama yake naye...
wala kuanzia mwaka 1885, yeye alikuwa mtoto wa Mt Kiyungi kama alivyokuwa Swetu Kalonga ambaye aliwaua nduguze wa tumbo la Fundikira ili tumbo la Kiyungi litawale kwa nafasi bila kuingiliwa na...
Katika kupenda kwangu kudadisi mambo na kukaa na wazee wa zamani nilipata kupewa simulizi juu ya vita ambayo haiku andikwa sana ya Wasambaa na Wajerumani.
Ikumbukwe kwamba Chifu wa wasambaa miaka...
Hili kaburi liko Bagamoyo, nila Distritc Commissioner wa Kwanza wa Waingereza, Honorable William Francis Bamphylde, (1892-1930).
Alijiua baada ya kugundua houseboi wake anafanya mapenzi na mkewe...
Jimbo la California kule marekani lilipata jina lake kutoka kwa Malkia mweusi aliye itwa Califia . Kwa mujibu wa historia, California kilikuwa kisiwa ambapo wanawake weusi tuu waliishi. Wanawake...
OLAUDAH EQUANO (1745 -1797)
Ifahamike kuwa katika histori ya Afrika hasa kwa upande wa Afrika magharibi, biashara ya utumwa ilishamili kwa kiasi kikubwa sana. Kulikuwa na idadi kubwa ya Waafrika...
Siku ya leo nilikuwa najisomea kitabu changu kiitwacho THE HISTORY OF THE WANGONI kilichoandikwa na Father ELZEAR EBNER, OSB..Nitawaonyesha siku nyingine. Nachotaka kusema hapa ni kwamba mara...
*THE SOMALI EMPIRE IN 1000 worldwide
Last week, my colleagues and I were traveling from Nakuru to Nairobi; and, along the way, we talked about the quarrel between Kenya and Somalia over their...
KUTOKA MAKTABA ZA KIJESHI
Baada ya jaribio la mapinduzi kushindwa, Nyerere aliamua kuchukua hatua kadhaa zilizobadili taswira ya jeshi la Tanzania.
Muhtasari.
Ilikuwa jioni ya January 20...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.