Hawa ni Wanandoa ambao waliishi katika himaya ya Ottoman huko Uturuki katika miaka ya 1500
Rustem Pasha alifariki akiwa na miaka 61 na Mihrma Sultan mtoto wa Sultan The magnificent alifariki...
Unajua Kwanini Wachagga Hawali Muhogo?
Na Mwandishi Wetu
WACHAGGA ni kabila la watu wenye asili ya Kibantu wanaoishi au kaskazini mwa Tanzania kandokando ya Mlima Kilimanjaro, huku mkoa wao...
Ali Mahfoudh na Samora Machel baada ya ukombozi wa Msumbiji
Ali Mahfoudh, Samora Machel na Julius Nyerere wakati wa mapambano ya
kuiomboa Msumbiji, Mahfoudh anampa Nyerere taarifa za vita...
Ukisikia jina la Ernesto che guevera… kama wewe ni mhenga , msomi mzuri wa historia au mtu ambaye anapenda kujipatika elumu katika mambo mbalimbali hasa ya kisiasa akili yako haraka sana...
Nimefuatilia baadhi ya hotuba za rais Magufuli, Hotuba hizo zipo "vague" na zimekosa coherent na mvuto kwa wananchi wengi isipokuwa kwa wachache walio makada wa CCM wanaojilazimisha kufurahia...
Mwl J.K Nyerere, muasisi wa taifa hili na amani tuliyonayo hadi leo hii. Japo alichemka kidogo kwenye siasa ya ujamaa na kujitegenea lakini alikuwa analitakia mema taifa hili. Hakukuwa na ufisadi...
Baada ya vita ya pili ya dunia Uingereza ilipata upungufu mkubwa sana wa mafuta ya kupikia hivyo wakafanya mpango wa kulima karanga ili kutengeneza mafuta. Hapo ndiyo ikazaliwa Tanganyika...
Kati ya miji tajika katika pwani, Malindi ni moja wapo wa miji yenye historia kubwa baada ya miji kama Zanzibar na Mombasa. Inakisiwa kuuanzishwa karne ya kumi na tatu, ikiwa katika dola ya...
VITA Kuu ya Kwanza ya Dunia (WWI), ilianzia na kuhusisha mataifa ya Ulaya lakini ikasambaa ulimwenguni kote.
Vita hii ilianza Julai 28, 1914 na kufikia tamati Novemba 11, 1918. Tangu kuanza kwa...
Kila nikiwaona watu wa dini wananikumbusha namna ukoloni ulivyofika Afrika ikiwemo Tanzania.
Hawa ni watu ambao walikuja Kwanza kabla ya wakoloni (wanyonyaji) kufika na kuua machifu wetu...
Marie Aude mama wa Kifaransa Mkurugenzi wa French- Institute for Research in Africa (IFRA) Nairobi alinialika mkutano Nairobi na ‘’theme’’ ya mkutano ule ilikuwa miaka 50 ya kuwakumbuka mashujaa...
SAMWELI DANIEL SHAFIIHUNA NUJONA- "SAM NUJONA"
Barabara na mitaa mingi nchuni hasa Dar-es-Salam "zimebatizwa"majina ya watu mashuhuri nyakati za ukombozi wa kupigania uhuru wa Afrika mfano Bibi...
Na huko upande wa kaskazini wa Koloni la Wajerumani la Afrika ya Mashariki, Wachagga nao, chini ya Mangi (Mteni) Meli wa Moshi, walikataa katakata kutawaliwa na Wajerumani.
Katika jitihada za...
SIKU BABU YANGU SALUM ABDALLAH ALIPOMKABILI FREDERICK MCHAURU KATIKA MGOMO WA WAFANYAKAZI WA TANGANYIKA RAILWAYS TABORA 1947
Frederick Mchauru
Ndani ya gazeti la Raia Mwema (Januari 3-9, 2018)...
Na Alastair Leithead
Mto Congo ni mmojawapo wa mito mirefu zaidi duniani.
Mto huu urefu wake ni 4,700km (maili 2,920) kutoka ndani kwenye kitovu cha bara Afrika hadi Bahari ya...
Kushoto Netanyahu na David Kimche
Nimeikuta picha hiyo hapo juu katika group moja na chini yake huyo aliyeiweka akaandika maneno haya: ‘’ Duh! Watu muhimu sana hawa katika historia ya Zanzibar!’’...
Wanahistoria naomba mnijuze. Vyanzo mbalimbali vinaonyesha wangoni waliingia kwa kuchelewa sana vita ikikaribia kuisha na wakajitoa fasta baada ya kugundua maji ni uongo.
Inaonekana centre ya...
Barabara inayotoka Mwenge kuanzia kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo inaitwa bara bara ya Sam Nujoma (Sam Nujoma road). Hili ni jina lililotOlewa kuenzi harakati za mpigania...
Naomba kupata ufafanuzi wakati wanagawana bara la Afrika nani alipewa Tanganyika, na Muingereza alipewa kututawala ama kutusimamia mpaka tukipata uwezo wa kujisimamia wenyewe ama?
Nashindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.