WASIFU WA SHEIKH ABDILATIF ABDALLA
Umetolewa na Prof. David P. B. Massamba tarehe 13 Aprili, 2012, kabla ya kumkaribisha Abdilatif Abdalla kutoa Mhadhara Maalumu (“Nafasi ya Wasanii Katika...
Miji mikongwe zaidi duniani!
Kadri idadi ya watu inavyoongezeka duniani, kwa baadhi ya nchi hulazimu kuunda mikoa mipya au miji mipya ili kuendana na kasi ya ukuaji huo kwa ajili ya kurahisisha...
Gazeti la Uhuru la leo Jumanne 18 Desemba 2018 limachapa makala ya mwendelezo kuhusu mgomo wa makuli wa Dar es Salaam mwaka 1947 mgomo na harakati ambazo ndizo zilipelekea Abdul Sykes kuja...
Give a brief account of Uganda -tanzania war of 1978/79.focus on the causes, stages of the war ,brigade name ,comanders participate in tz and lessons. Please anyone who can help me this contact me...
Bwana Edward Heath alikuwa mwanasiasa aliyefanikiwa kuingoza nchi yake chini ya chawa cha Conservative kuanzia 1970-1974. Pamoja na mafanikio yake makubwa ni maisha katika maisha yake binafsi...
Katika kufuatilia historia yangu, ukoo wangu na baadhi ya watu maarufu wanaonizunguka ndipo nikagundua kuwa, kumbe 'Nyerere' ni jina la utani!
Nyerere ambaye alikuwa ni chifu wa pili wa Butiama...
Kitabu hicho hapo juu ni moja ya vitabu katika mradi wa Oxford University Press (OUP) wa kufundisha wanafunzi wa shule za msingi lugha ya Kiingereza lakini pia wakati huo huo kuwafundisha...
Leo katika maziko ya Mzee Kitwana Kondo niliombwa nizungumze maneno machache kuhusu mzee wangu huyu. Ukweli ni kuwa nilikuwa nimeshtukizwa kwani sikutaarifiwa kabla kuwa niko katika orodha ya...
Unakumbuka Tarehe na Mwezi Kama Wa Jana Mnamo Mwaka 1961 Lt. Alexander Gwembe Nyirenda Ndio Alikua Mzalendo Wa Kwanza Kupandisha Bendera Ya Tanganyika Juu Ya Mlima KILIMANJARO Miaka 57 Iliyopita...
Nani angeamini kuwa baada ya Rais kuitumikia nchi kwa miaka minne na kuweka miundo mbinu ya demokrasia bila kuiba hata shilingi moja angejikuta akifadhiliwa na mama yake kwenye mabanda...
Mohamed Said
Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania
Mwanzo
Uchunguzi
Taazia
Nyakati
Makala
Historia
Mohamed Said June 07, 2017 0
Amenipigia simu mhariri wa gazeti moja...
Kurasa kutoka shajara ya Mwandishi, May 1991, London
Leo alfajir nilikuwa napitia maktaba yangu nikakumbana na shajara (diary) yangu ya 1991.
Hapo juu ni ukurasa wa tarehe 9 May. Huyo...
Nani anayajua majina ya wanawake hawa wanne wanachama wa mwanzo wa TANU
na wanawake waliomsindikiza Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere Uwanja wa
Ndege wa Dar es Salaam safari ya kwanza UNO 1955...
Kulia Bi. Chiku Kisusa (Mama Sakina), Bi. Titi Mohamed, wa kwanza kushoto
Bi. Tatu bint Mzee wakiwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam safari ya...
Abdallah Tambaza, Nairobi 1972
ASALAMAALEKUM mpendwa msomaji wa Shajara ya Mwana Mzizima. Juma lilopita tulimwangalia shujaa wa ukombozi wa taifa letu, hayati Dossa Azizi, ambaye ametufanyia...
Shajara ya Mwana Mzizima:
TAARABU NA UHURU WA TANGANYIKA
Na Alhaji Abdallah Tambaza
Mwalimu Subeti Salum Subeti
(1903 - 1974) mmoja katika wapiga
fidla (violin) maarufu wa Egyptian
katika...
SHAJARA ZA VITA ZA LANCE CORPORAL KLEIST SYKES
(1894 - 1949)
VITA VYA KWANZA VYA DUNIA 1914- 1918
Utangulizi
November 11, 1918 ndiyo siku Vita Vya Kwanza Vya Dunia...
Ni
Ni miaka mitano sasa tokea kuuwawa kwa Gaddafi, walibya waliamini uhuru wao na maendeleo yapo katika kumuangusha kwake lakini toka kuuwawa kwake nchi haina Amani tena imepoteza nguvu na...
Jina kamili : Ernesto Guevara
Kazi : Daktari, mwanamapinduzi wa kijamaa (marxist)
Uraia : Argentina
Kuzaliwa : June 14 1928
Kufariki : October 9, 1967 ,Bolivia milima ya La heguera
Chanzo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.