Ni kweli Watz. sio wajinga na wana uelewa sana. Ukiangalia mambo yenye akili wayafanyayo kibinafsi utashangaa sana.
Lakini wanasiasa wanawaona hawana akili , wenye akili ni wao tuu.
Wazee wawili...
Raia Mwema Jumatano 3 March, 2019
Mwaka wa 1950 uongozi wa TAA ulikuwa chini ya Dr. Vedasto Kyaruzi kama Rais na Abdulwahid Sykes akiwa Katibu na ikaundwa TAA Political Subcommittee (Kamati ya...
Daraja la Salender lilijengwa mwaka 1929 kuungunisha mji wa Dar-Es-Salaam na Oyster Bay iliyo Kaskazini ya Dar. Wakati huo iliwekwa kuwa eneo la makazi wa viongozi wa serikali.
Jina la Salender...
Wamarekani wamekataa kunza historia ya kutawaliwa na England. Walifanya ivyo ili kuwafanya watoto wao wasijione dhaifu dhidi ya waingereza. Baadhi ya mambo waliyoyabadilisha ni pamoja na kutumia...
Earle Seaton na Rais Nyerere baada ya uhuru
Kipande cha gazeti hapo chini kinamzunguza Liwali Ahmed Saleh na Sheikh Said Chaurembo aliyekuwa Hakimu Mahkama ya Kariakoo.
1950 Sheikh Said...
Mkutano wa TANU Mnazi Mmoja 1950s
Inategemea watu watakavyoitumia dini.
Dini inaweza kutumika kuwaunganisha watu na pia inaweza kutumika kuwagawa.
Mikutano ya mwanzo ya TANU pale Mnazi Mmoja...
Mvutano wa kimaslahi baina ya Waingereza na Wajerumani huenda ni sababu mojawapo inayofanya Tanzania isiwe na rais mprotestanti.
Muingereza anahisi akipatikana rais mprotestanti kuna possibility...
Paka wanahitajika hapa dar!!! Na bei yake ni kwanzia 2M!!
Ila swal linakuja hapa wanafanyia nn!!! Kuna jamaa!! kila siku anapewa order na bonus nyingi sana!!! Sasa hawa paka wanapelekwaa wap...
Elizabeth Bathory Alizaliwa Augost 7, 1560 Huko Hungary na Kufariki Augost 14, 1614 na Anatajwa Kuwa ni Mmoja Kati Wanawake Wauwaji Hatari zaidi Kuwahi Kutokea Katika Historia ya Dunia.
Alikua...
Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir katika nasaha zake
amesema historia ya Saigon Club iandikwe kwani kiandikwacho
hudumu.
Mufti akaendelea kusema kuwa Saigon Club ni kielelezo cha
historia...
By Hamis Hababi.
Kijana huyu Abdul Mahmoud Omar Athuman Kagobe, (Abdu Nondo) ni mjukuu wa Omar Athuman Kagobe, ambaye ni veteran wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia (1914 – 1918), na baadae alijiunga...
Vyama vya upinzani ni demokrasia na ni chachu ya kuleta maendeleo.Ni kama vile zilivyo dini mbalimbali na waumini wake.Kwa Tanzania vyama vya upinzani imekua ni uadui mkubwa na uhasama...
Makabila mengi yaliyopo Tanzania siyo ya asili ya hapa mengi yalihamia miaka ya zamani na kuweka makazi haswa kutokana ardhi hii kuwa na ardhi yenye rutuba kwaajili ya kilimo na malisho ya...
Lugha inayojulikana leo kama kibantu, ni lugha ya zamani sana. Kama wewe ni mbantu ukisoma maneno ya ancient Sumeria (wakati inakaliwa na watu weusi, Hamites) utashangaa kwamba unaelewa baadhi ya...